Close

Page 2 of 2 FirstFirst 12
Results 26 to 45 of 45
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  11
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  kwa mwenendo huu ferguson lazma arud

 2. #26
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  5
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  hamna haja ya kubishana na ww kwan unaonekana ni mihemko wala siyo kujua mpira...yani kwa hali hiyo unategemea mtamwondoa ze blauze,man city wakati mnafungwa na swansea!!!!haahaaaa umeloweka

 3. #27
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  9
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  Quote Originally Posted by Mkandarasi View Post
  INAONESHA KUA MAN U WACHEZAJ WAKE WAKAIDA ILA KOCHA NDO ALIKUA ANAWAMOTIVATE.WAMEFURAI MIAKA MING ZAM YETU THE GUNNERZ
  the gunners? what the he...? yaani nyie mchukue? you better be kidding me! Man City tupooooooooooooooooooooooo?

 4. #28
  Member Tisi's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  5

  Mata asajiliwa na Manchester United

  Ombi la Manchster United la kutaka kumsajili nyota wa Chelsea Juan Matata limekubalika.
  Ripoti zinasema United imetumia takriban kitita cha pauni milioni 37 kumsajili mcheza kiungo huyo wa Chelsea.

  Mata mwenye umri wa miaka 25, anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu baadaye hii leo, kabla ya kukamilisha usajili huo.
  Mchezaji huyo kutoka Uhispania anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne na nusu na klabu hiyo iliyo na makao yake katika uwanja wa Old Trafford.
  Mata ambaye aliichezea Chelsea, mechi 32, aliwaaga wachezaji wenzake na wakufunzi wa Chelsea katika uwanja wao wa mazoezi wa Cobham siku ya Jumatano.

  - - - Updated - - -

  jamaaa mwaka huu wameamua wavunje kibubu chezea kuwadhirishwa na wa watoto wadogo

 5. #29
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Quote Originally Posted by Tisi View Post

  huo ndio ukweli yule kocha ni mzoefu ya kufundisha timu mbovu
  ccm lazima mungoke 2015

 6. #30
  Banned
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  85
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Msinilaumu jameni ila mimi nimehamia anakotoka huyo Malta, nitarudi msimu ujao.

 7. #31
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  1
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  bora anaweza akasaidia kututoa kwenye haibu!!

 8. #32
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Siipendi Man U, ila kwa kitendo cha Mourinho cha kumnyanyasa Matta, namuunga mkono kukimbilia United akaokoe kipaji chake. Nina hakika Mourinho atajutia.

 9. #33
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  45
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  1

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Quote Originally Posted by Tisi View Post
  Ombi la Manchster United la kutaka kumsajili nyota wa Chelsea Juan Matata limekubalika.
  Ripoti zinasema United imetumia takriban kitita cha pauni milioni 37 kumsajili mcheza kiungo huyo wa Chelsea.

  Mata mwenye umri wa miaka 25, anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu baadaye hii leo, kabla ya kukamilisha usajili huo.
  Mchezaji huyo kutoka Uhispania anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne na nusu na klabu hiyo iliyo na makao yake katika uwanja wa Old Trafford.
  Mata ambaye aliichezea Chelsea, mechi 32, aliwaaga wachezaji wenzake na wakufunzi wa Chelsea katika uwanja wao wa mazoezi wa Cobham siku ya Jumatano.

  - - - Updated - - -

  jamaaa mwaka huu wameamua wavunje kibubu chezea kuwadhirishwa na wa watoto wadogo
  mwaka umekuwa mgumu sana kwetu

 10. #34
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Dah.. Sijui Tutarudi 4 Bora.
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

 11. #35
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  15
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Quote Originally Posted by Jadidi View Post
  Siipendi Man U, ila kwa kitendo cha Mourinho cha kumnyanyasa Matta, namuunga mkono kukimbilia United akaokoe kipaji chake. Nina hakika Mourinho atajutia.
  we unamjua Mourinho unamsikia...yaani ajute kwa Mata kuondoka? Mata laini laini sana ha fit kwenye mfumo wa Jose!

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Mozila Fire Fox View Post
  Dah.. Sijui Tutarudi 4 Bora.
  hahaaa kwani hamtaki ubingwa? mtachukua kombe mwaka huu msikate tamaa...

 12. #36
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Mata could be a turning point for us... Time will tell

  Pengo la Scholes halijazibwa bado, ngoja tuone labda Mata atajaribu
  "Unajua kabisa mimi siongei na mbwa bali mwenye mbwa"-Juma Nkamia(MB,NW)

 13. #37
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  75
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Sidhani kama MATA anaweza kuisaidia Man U dakika hizi kukaa penye the best four in the UPL.

  Naona hali ya timu hii this time ni mazonge matupu.

  Watamtumia vizuri msimu ujao.

 14. #38
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  11
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Quote Originally Posted by Akanyonyi Ako View Post
  bora anaweza akasaidia kututoa kwenye haibu!!
  "Kututoa kwenye aibu"

 15. #39
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Quote Originally Posted by kigogo View Post
  we unamjua Mourinho unamsikia...yaani ajute kwa Mata kuondoka? Mata laini laini sana ha fit kwenye mfumo wa Jose!

  - - - Updated - - -  hahaaa kwani hamtaki ubingwa? mtachukua kombe mwaka huu msikate tamaa...
  Kigogo yani tunashinda lakini namba 7 inatuhusu tu kila siku. Au tumchukue Wenger awe kocha mpya nini?
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

 16. #40
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  11
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mata asajiliwa na Manchester United

  Quote Originally Posted by Akanyonyi Ako View Post
  bora anaweza akasaidia kututoa kwenye haibu!!
  Quote Originally Posted by samora View Post
  Mata could be a turning point for us... Time will tell

  Pengo la Scholes halijazibwa bado, ngoja tuone labda Mata atajaribu
  That will not happen!....May be for the coming EPL season! Ts the Gunner's time. Subirini na ninyi miaka sita bila hapa kikombe cha gahawa! Ha ha ha ha ha ha

 17. #41
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  Quote Originally Posted by Ulumba View Post
  Ni hivi; mpaka ligi inaisha msimamo utakuwa hivi:
  1. Alsenal
  2. Liverpool
  3. Man U
  Anayebisha sibishani naye, bali asubiri may mwakani.
  Umenitia Moyo lakini kama nafsi inasitasita hivi...
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

 18. #42
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  122
  Rep Power
  7
  Likes Received
  7
  Likes Given
  2

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  kushuka c rahisi lakini fans wamepoteza mvuto na team.

 19. #43
  Senior Member Ngwindimba's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  235
  Rep Power
  7
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  Quote Originally Posted by Banner View Post
  kwa mwenendo huu ferguson lazma arud

  Hawezi kurudi kwa kuwa anajua kilichomkuta Moyes naye kilimkuta wakati anawatengeneza kina Paul Scholes ambao wengi sasa wamekuwa wazee, Moyes atasimama tu ila msimu huu siyo wao tena

 20. #44
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  10
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  ooooooh man ukitaka raha ya mpira angalia man united ikicheza msimu huu nataman wacheze daily nione raha daah kuanzia kocha wachezaj mpaka washabik hawajiamin na timu yao. ule msemo ukinyanyuka si tunakaa ndo anaupata mourinhohohogoooal

 21. #45
  Senior Member zeroharm's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  mwanza
  Posts
  109
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Manchester united mwaka huu lazma washuke daraja

  hashuki mtu hapa....
  nimeamia Man City kwa mkopo!
  Kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na nguvu zetu wenyewe TUNAWEZA...

Page 2 of 2 FirstFirst 12

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •