Kama mfanyabiashara ,nazurula mikoani kwa ajili ya soko ili kukuza biashara yangu. Mimi kama mdau wa Mawio sipendi kulikosa gazeti hili kila wiki ifikapo alhamisi lakini sasa nina mwezi sasa sijawahi kusoma hili gazeti. Natembelea wauza magazeti kuulizia kwanini hili gazeti linaisha mapema .Wanadai kuna uhitaji mkubwa mno wa gazeti hili. Kwa uzoefu wangu gazeti hili waweza kupata mpaka jpili mkoani Morogoro,Tanga,nk. sasa ni tofauti mana alhamisi mwisho saa 4 kulipata. Please Mawio management angalieni hili.. Tunahitaji taarifa!!!!!