OFA KUTOKA TIGO
RAMADHAN hii pata 30 GB kwa sh 1000. Peruzi ,download na stream video saa 5_11 usiku. SMS Hii nimeipokea kupitia tigo
.....
Huu ni wakati wa waislam kufanya ibada misikiti au majumbani. Muda ambao Tigo wanatoa ofa ni muda wa muislam kufanya ibada kipindi hichi cha mwezi mtukufu .
Tigo inatoa ofa hio kubwa kwa jina la RAMADHAN ili kuwapambaza waislam badala ya kusoma Quran kuomba dua na kusawajikite kwenye whatsup, Fb, au mitandao.
Hii sio kejeli kutoka Tigo?
Kwanini watoe ofa kwa jina la ramadhani huku wakijua waislam ramadhan sio mwezi wa kutumia gb zote hizi?
Hivi Tigo wanataka waislam wakati wa usiku wenye heshima laytulqadir iwapitie wakiwa wanaperuzi.?
Kwanini tigo kama kweli wanaimani wasitore miezi mengine
Connect With Us