Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  35
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBER

  Ndugu wadau wa mwanahalisi forum,,sheria inasemaje kuhusu muumganiko huu? Na je kutakuwa na madhara au kutasaidia kuokoa garama

 2. #2
  Member nyasi nyeusi's Avatar
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  44
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  9

  Re: UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBE

  Unataka uhalali gani zaidi ya sheria na taratibu za kikatiba kuzingatiwa?

 3. #3
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBE

  Hivi utawala huu wa CCM una cha haramu? Kila kitu wakitaka kukifanya watakifanya tu na hakuna wa kuleta fyoko.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBE

  PAMOJA NA UTAWALA WA CCM HII KUTOTAMBUA HARAMU KM KATIBA PENDEKEZWA ILIVYO HARAMU ITAKUWA NI KUJIDANGANYA KUDHANI HAKUNA WA KULETA FYOKO KWA MAMBO NDIVYO SIVYO YANAYOSUKUMWA KWA WANANCHI!

  HII NI KUMAANISHA KWAMBA MAMBO YA KIDUNIA HAYAGANDI MILELE VILE VILE...KWAMBA HATA WATU WALIVYOZOELEKA KUWA WALIVYO HUBADILIKA SIKU ISIYOKUWA NA JINA HATA DUNIA IKASHANGAA!

  SIKU HIYO ISIYO NA JINA YAWEZEKANA TUKAISHUDIA AU IKASHUHUDIWA NA WENGINE ITAKAPOWADIA...HAITABIRIKI!!

 5. #5
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Malambamatatu
  Posts
  70
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  4

  Re: UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBE

  Lubuva athubutu kuonganisha kura ya maoni na General Election aone huo moto utakavyo kuwa. Haya ni mambo mawili makubwa tofauti na yana sheria zake za jinsi ya kuyaendesha. Haiwezekani kufanywa pamoja pamoja kamwe.

 6. #6
  Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  35
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBE

  Nawashukuru kwa michango yenu na majibu mazuri japo tunatofautiana kifikra

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  Re: UHALALI WA KUUNGANISHA KURA YA MAONI YA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUZI MKUU OCTOBE

  Mbadala wa kupata katiba nzuri kwa nchi yetu ni kumng'oa mkoloni huyu,ccm.

 8. 06-09-2015, 09:39

  Banned


 9. 08-09-2015, 05:58

  Banned


Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •