Close

Results 1 to 20 of 20
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Wahudumu wa baa sasa too much

  Jamani naomba kuuliza humu ndani, kwani wahudumu wa baa na hoteli, nani anawaambia wavae viguo vifupi namna ile, ni wao wenyewe au ni maagizo kutokwa kwa walimiki wa baa?

  maana sasa imekuwa too much maana hadi sisi wanawake wenzao tunaona aibu, kiguo ni kifupi mno kiasi ukiinama tu mambo yote hadharani, au ndiyo technique ya kutuchukulia waume zetu tuambiane coz kwenye meza kukiwa na mwanamke basi huduma haiwi nzuri kama meza ya wanaume watupu

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Na weye kavae kasketi kaduchu ubong'oe uweke mambo hadharani halafu upime faida na hasara ndio uje hapa tuzungumze.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0
  Biashara matangazo mama.

 4. #4
  Senior Member Ngwindimba's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  235
  Rep Power
  6
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Tetekuwanga View Post
  Na weye kavae kasketi kaduchu ubong'oe uweke mambo hadharani halafu upime faida na hasara ndio uje hapa tuzungumze.
  teh teh teh patia sana, natamani nikuone unavaaje

 5. #5
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  km hutak kuibiwa baa unafata nn kunywa nae chumban

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Chiku sei Unyu View Post
  Jamani naomba kuuliza humu ndani, kwani wahudumu wa baa na hoteli, nani anawaambia wavae viguo vifupi namna ile, ni wao wenyewe au ni maagizo kutokwa kwa walimiki wa baa?

  maana sasa imekuwa too much maana hadi sisi wanawake wenzao tunaona aibu, kiguo ni kifupi mno kiasi ukiinama tu mambo yote hadharani, au ndiyo technique ya kutuchukulia waume zetu tuambiane coz kwenye meza kukiwa na mwanamke basi huduma haiwi nzuri kama meza ya wanaume watupu
  Hapo abiria chunga mzigo wako bwana

 7. #7
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  21

  Fanya research ndogo, angalia baa zenye wahudumu wabaya uone kama kuna wateja wengi, lakini hizo unazolalama, angalia zinavyojaa waume zenu wanapenda kuona chakula ya mtoto na mapaja yao

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Chiku sei Unyu View Post
  Jamani naomba kuuliza humu ndani, kwani wahudumu wa baa na hoteli, nani anawaambia wavae viguo vifupi namna ile, ni wao wenyewe au ni maagizo kutokwa kwa walimiki wa baa?

  maana sasa imekuwa too much maana hadi sisi wanawake wenzao tunaona aibu, kiguo ni kifupi mno kiasi ukiinama tu mambo yote hadharani, au ndiyo technique ya kutuchukulia waume zetu tuambiane coz kwenye meza kukiwa na mwanamke basi huduma haiwi nzuri kama meza ya wanaume watupu
  umenifurahisha hapo kwenye meza yenye mwanamke hudumu haiwi nzuri, kweli kabisa maana mi nikienda Bar na yf huduma shida, ila nikiwa na washikaji aaa meza inagombaniwa kuhudumiwa

 9. #9
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Waacheni wajiachie kwani serikali ya mtu ni mawazo yake, hata wakiamua kutuhudumia bila nguo hakuna shida ila hammati mtu hapa

 10. #10
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Tetekuwanga View Post
  Na weye kavae kasketi kaduchu ubong'oe uweke mambo hadharani halafu upime faida na hasara ndio uje hapa tuzungumze.

  Mimi najiheshimu na najua nini thamani ya mwili wangu, siwezi kufanya upuuzi huo hata siku moja, utaona miili ya wapuuzi kama wewe

 11. #11
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Ngwindimba View Post
  teh teh teh patia sana, natamani nikuone unavaaje

  hakuna siku ambayo unaweza kufanikiwa kuniona nikiwa nimevaa hivyo, mwenye uhuru wa kuona ni mume wangu pekee

 12. #12
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Kilaza View Post
  km hutak kuibiwa baa unafata nn kunywa nae chumban

  Baa zimeweka kwa ajili ya kupata viburudisho na siyo sehemu ya kujipatia wanawake na wanaume

 13. #13
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  wanawake ni sehemu moja ya kiburudisho cha wanaumme umeskia chiku.

 14. #14
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Jadidi View Post
  Biashara matangazo mama.

  Siyo kila mmvaa mini anatangaza biashara ya ngono, acheni ushamba! Mavazi ni jinsi mtu anavyopenda kuvaa

 15. #15

 16. #16
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  6
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  hizo ni sare za kazini.

 17. #17
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  KM HAWATANGAZ BIASHARA KWA KUVAA MINI BAS WAHUDUMU WAANZE KUVAA NGUO NDEFU KM ZA MASISTER KANISAN AU WALE MAUSTADHAT MSIKITIN NDO TUTAJUA KUA HAWAFANYI BIASHARA HIYO

 18. #18
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  NA WW AKILIPANA UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AVAE IVO KISA NI SARE ZA KAZ

 19. #19
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  31
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Chiku sei Unyu View Post
  Jamani naomba kuuliza humu ndani, kwani wahudumu wa baa na hoteli, nani anawaambia wavae viguo vifupi namna ile, ni wao wenyewe au ni maagizo kutokwa kwa walimiki wa baa?

  maana sasa imekuwa too much maana hadi sisi wanawake wenzao tunaona aibu, kiguo ni kifupi mno kiasi ukiinama tu mambo yote hadharani, au ndiyo technique ya kutuchukulia waume zetu tuambiane coz kwenye meza kukiwa na mwanamke basi huduma haiwi nzuri kama meza ya wanaume watupu
  Tiba ni kutokwenda baa kabisaaa, igeni mfano wangu hamtakutana na matatizo kama hayo

 20. #20
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Nampungila View Post
  Tiba ni kutokwenda baa kabisaaa, igeni mfano wangu hamtakutana na matatizo kama hayo
  tuache kudanganyana bhana ni ngumu sana kutokwenda baa labda kama ni mkulima wa korosho kule kwenu kusini lakini hata huko mkishauza korosho huwa mnaenda kwenye vilabu vya pombe kunywa ulaka

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •