Habari wadau,
Nyumba kubwa ya vyumba vitatu pamoja na dinning,seating,choo+bafu,jiko inauzwa Kimara Mwisho.
Pia nyumba ina eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine.
Kwa Serious Buyers Only,wasiliana kwa 0755 198216 na 0717 640315.
Bei ni 35,000,000/= (Mazungumzo na makubaliano yapo).