Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  Katiba Inayopendekezwa: Ibara ya 9 na 133

  Baba Mkwe, Katiba Pendekezwa unayo? Haya ni baadhi tu.

  Ukuu na utii wa Katiba

  Ibara ya 9 (1) Katiba hii ni sheria kuu katika Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na Katiba hii.
  (2) Kwa madhumuni ya ibara ndogo ya (1), endapo masharti ya sheria yoyote itakayotungwa na vyombo vyenye mamlaka ya kutunga sheria yatatofautiana na masharti ya Katiba hii, masharti ya sheria hiyo yatakuwa batili na yatatenguka kwa kiwango kile kinachotofautiana na masharti ya Katiba hii.

  Mamlaka ya kutunga Sheria

  Ibara ya 133 (3) Endapo sheria yoyote iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi inahusu jambo lolote katika Zanzibar ambalo liko chini ya mamlaka ya Bunge, sheria hiyo itakuwa batili na itatenguka na pia endapo sheria yoyote iliyotungwa na Bunge inahusu jambo lolote ambalo liko chini ya mamlaka ya Baraza la Wawakilishi, sheria hiyo itakuwa batili na itatenguka.
  UKWELI UTAKUWEKA HURU DAIMA

 2. #2
  Banned
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibara ya 9 na 133

  I like this thread.

 3. #3
  Banned
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibara ya 9 na 133

  H?r har du en s?kl?nk:

 4. #4
  Banned
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibara ya 9 na 133

  Web decay.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •