Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  Katiba Inayopendekezwa: Ibaraya 21 (2)

  Sura ya Pili toka Ibara ya 11 mpaka 21 zinazungumzia malengo muhimu na shughuli za serikali kiutekelezaji. Cha kushangaza Ibara ya 21 (2) inasema nanukuu "Masharti ya Sura hii hayatatiliwa nguvu ya kisheria na mahakama yoyote.
  Mahakama yoyote nchini haitakuwa na uwezo wa kuamua juu ya suala kama kutenda au kukosa kutenda jambo kwa mtu au mahakama yoyote, au kama sheria, au hukumu yoyote, inaambatana na masharti ya Sura hii." mwisho wa kunukuu.
  Je, huku sio kuwalinda watendaji wa serikali na hasa wanaposababisha hasara, maumivu na vifo? Tukumbuke sura hii inazungumzia malengo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa wananchi.
  Nani anatoa tafsiri au ufafanuzi? Je, vijijini inakuwaje?
  UKWELI UTAKUWEKA HURU DAIMA

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibaraya 21 (2)

  Niliwahi kuiweka ibara hii hapa mara tu walivyomaliza bunge lao.Hii katiba ni mbovu kupindukia.Ipo kwa ajili ya kuwalinda watawala.Ya hovyo kabisa……

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibaraya 21 (2)

  Mhhh! Hii ni shughuli

 4. #4
  Banned
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibaraya 21 (2)

  Taking offers

 5. #5
  Banned
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Katiba Inayopendekezwa: Ibaraya 21 (2)

  Whoa loads of good information.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •