Close

Results 1 to 12 of 12
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Erasmus

Thread: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

 1. #1
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  MAREKEBISHO YA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA NI UCHAKACHUAJI WA MCHAKATO MZIMA. KATIBA ILITAKIWA TUKUBALIANE WANANCHI (TUME YA JAJI WARIOBA) HALAFU TUIPELEKE KWA BUNGE LA KATIBA ILI WAHOJIWE NA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA NA WAO WAJIBU 'NDIYOOOOOOO' KWA KUWA HAYO NI MAONI YA WANANCHI NA WAO NI WAWAKILISHI WA WANANCHI. KISHA BUNGE LA KATIBA LIIPENDEKEZE HIYO KATIBA YA WANANCHI KWA RAIS (SERIKALI) ILI ARIDHIE NA HIVYO HUO NDIO UWE MKATABA (KATIBA YA NCHI). SIO ILIVYO SASA, MAONI YA WANANCHI YAMEWEKWA KANDO NA WABUNGE WA CCM WAMEJIFANYA WAO NDIO WANAYAJUA MATATIZO YA WANANCHI KULIKO WAO WENYEWE WAKATI WAMESHINDWA KUYATATUA KWA ZAIDI YA NUSU KARNE.
  UKWELI UTAKUWEKA HURU DAIMA

 2. #2
  Senior Member Tanzania Nchi Yetu Sote's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  596
  Rep Power
  7
  Likes Received
  34
  Likes Given
  6

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  Hivi kweli katiba ya wananchi iandikwe na Chenge mtu mwenye tuhuma kibao unategemea hiyo itakuwa katiba au waraka wa kuwalinda mafisadi? Ukitaka kujua usanii uliomo kasome Ibara ya 90 (1-4) ndio utajua walivyo wasanii hawa watu.
  Usione niko kimya nakusubiri uropoke

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  MAARUFU WA 'VIJISENTI' NA 'HELA YA MBOGA' HAWAPASWI KUPEWA NAFASI ASLANI KNY KATIBA!

  KIMSINGI WATU WAMESHTUKA, HATA KAMA KWA KUCHELEWA!

 4. #4
  Banned
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  Web decay.

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jul 2015
  Posts
  436
  Rep Power
  5
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  marekebisho ya katiba ilipaswa ichukue maoni ya wananchi wote , ila sio uchuro ambao unafanywa na watu wachache ambao wanafanya mamia ya watanzania kuteseka , nilazima marekebisho ya katiba ianze namaoni watanzania

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  441
  Rep Power
  5
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  Unaambiwa Watanznia kwenye maamuzi hatumo na sisi kila kitu ni ndio wale walio enda kwenye bunge la katiba walijaa wabunge walio kwenye bunge la jamhuri ya muungano cha ajabu hata walio wakilisha makundi mablimbali nao wali kubali kuwa hujumu watanzania nani tumwamini tanzania wote walikuwa wanafiki na Je kulikuwa na umuhimu gani wakualiandaa bunge la katiba! hafu wakaikataaa katiba ya wananchi? na hata kupiga babu walioba kweliiiiiiiiiii CCM msifanye hii nchi ya familia zenu mtuachie nchi yetu

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2015
  Posts
  2,802
  Rep Power
  7
  Likes Received
  89
  Likes Given
  66

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  Ccm wanatengeneza katiba ya kuwalinda wao na familia zao ili watuibie vizuri tusipate haki ya kuwashitaki

 8. #8
  Moderator
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  1,067
  Rep Power
  6
  Likes Received
  21
  Likes Given
  0

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  siwezi kusahau yaliyo tokea dodoma wajumbe wa bunge la katiba walisahau dhima halisi ya wao kuwa kule na kukubaliana kuikataa katiba ya wananchi kibaya zaidi walikuwepo wachungaji ,masheik duuuuuuuuu RIP katiba ya wananchi

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  221
  Rep Power
  5
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  CCM walitaka katiba mpya kwa manufaa yao sio ya wananchi ndio maana wananchi tuliposhituka na kuwa makini na hio katika wakaingia mitiniiiiiiii

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  722
  Rep Power
  5
  Likes Received
  23
  Likes Given
  1

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  ccm mbona hawa kutaka kubadili katiba sisi wananchi ndio tuna itaka

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  Jun 2015
  Posts
  497
  Rep Power
  5
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  WANANCHI WANAHITAJI KATIBA MPYA KWAIYO TUNAHITAJI KIONGOZI ATAKAYEISHUHULIKIA KATIBA MPYA

 12. #12
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2015
  Posts
  473
  Rep Power
  6
  Likes Received
  10
  Likes Given
  6

  Re: ANAYEPENDEKEZA KATIBA NI NANI, NA ANAIPENDEKEZA KWA NANI ILI IKUBALIKE?

  Wananchi ndio tunatakiwa kupendekeza katika na sio serikalii

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •