Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  SERIKALI SIKIVU HAIPO TZ

  serikali ilioko madarakani imekuwa ikidai kuwa ni sikivu kwa wananchi wake.Lakini kinachoshangaza hasa ni pale inaposhindwa kuwasikiliza wananchi wake kuwa hakuna uwezekano wa kupiga kura ya maoni kupitisha katiba dhalimu isiyojali matarajio ya wananchi kwa miaka hamsini mingine ijayo.Serikali hii hakika imeshindwa kwenye nyanja zote za uendeshaji kwani hata kulipa watoa huduma wake ineshindwa na imebaki kutoa ahadi feki kila kukicha.Mungu atuvushe salama ili hapo octoba tuiondoe kistaarabu.

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Mar 2015
  Posts
  1
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: SERIKALI SIKIVU HAIPO TZ

  wewe ukisema serikali imeshindwa nyanja za uendeshaji wewe umeshinda nyanja zipi?

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •