Wen ye macho, maono ya mbali na akili za kutulia Alisha Sonya kwamba BVR Kwa sasa nini kujidanganya. Lakini wahusika ambao ndio wenye dhamana wameendelea kuwa na Shingo ngumu. Tukumbuke kauli za wahenga, ashupazae shingo ... Mbio za sakafuni.., njia ya mwongo... Wakuu bado wanaishi kwenye enzi za ubabe wakati dunia IPO digital wao wako analog. Sasa hawasikii, hawaoni, wala hawaonyeki. Aka kweli sikio La kufa.. Kila uamuzi unaochukuliwa unadunda. Kila mbinu wanayofanya inatibuka. Hivi kweli ccm hawaoni kwamba sera zao, kauli zao, mbinu zao zinawagawa zaidi Waranzania kuliko kuwaunganisha?Kama sasa hamuwasikilizi viongozi wa Kiroho mnadhani mtaendelea kuweo tu madarakani kwani hwapo watu wengine? Je mnajua wenzenu wa KANU waliangukaje? UNIP na Makaburu waliachiaje madaraka. Mkataa pema..Kwaherini CCM
Connect With Us