Nimeshangaa kuona namna ambavyo Utawala wa Sheria unavyochukua nafasi yake katika Awamu ya Nne, Inaingia akilini kuamini Katiba Mpya chini ya Mh. sana Andrew wa Vijisenti kama anaweza hata kusimamisha mahojiano dhidi yake huko kwenye Katiba Pendekezwa si ndiko atakakokuwa ametuacha Hoi?

O;e wenu Kizazi cha Vijana na Kizazi kijacho mkijidanganya kupitisha Katiba Pendekezwa mjue mpira umekwisha na Timu ya Vijisenti inaongoza kwa mabao ya Miaka mia moja ijayo..