Close

Results 1 to 7 of 7
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Mbunga

Thread: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

 1. #1
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  35
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  katika kipindi cha mahojiano kati ya muhadhiri washeria UDSM na mwandishi wahabari Mlimani TV na mjadalakuchangiwa na watu mbalimbali ,

  yafuatayo ni mambo ambayo ameyaweka wazi na kwa ukweli huu hakuna haja yakuendelea na mchakato wa katiba ili kuokoa taifa.

  1. sheria ya uchaguzi ijampa mamlaka rais kutangasiku ya kupigwa kwa kura ya maoni ya katiba. badala yake tume ya uchaguzi ndio ina mamlaka ya kutangaza siku ya kura yamaoni. kwa hiyo siku ya kura ya maoni haijatangazwa bado.

  2. elimu inatakiwa kutolewa siku sitini baada ya kukabidhiwa rasimu pendekezwa kitu ambacho hakijafanyika.

  3.sheria haina mamlaka ya kutumika zanzibar, haikupipelekwa kujadiliwa upande wa zanzibar hivyo kuna takwa la kisheria limevunjwa, kwa maana nyingine zanzibar kisheria hawajui kinachendelea kuhusu katiba mpya.
  4. kurayamtu yoyote kutoka bara inawezwa kuhesabiwa upande wa zanzibar,kasisitiza hili ni kosa kubwa sana ambalo lilionyesha udhaifu wa sheria hiyo. hii inaweza kutumika kubalance kama matokeo upandewa zanzibar isipopitisha.
  5.kwa udhaifu huu mwananchi yoyote anahaki ya kufungua kesi mahakama kuu kupinga katiba hiyo na mchakato mzima na anauhakika wa kushinda asilimia hadi 95.

  wajumbe nimeeleza kwa lugha ya kawaida kwajinsi aliyokuwa akieleza na karibu kila mwananchi aliyepiga simualimuelewa sana mtaalamu huyu. Nakumbuka hata kwenye mjadala wa katiba NKURUMAH HALL UDSM uliotishwa na Udasa Waziri lukuvi alimkubali sana huyu jamaa ahadi akamuomba yeye na wenzake waende bungeni (la katiba) kuwaelimisha zaidi jinsi alivyochambua hoja kuwa serikali tatu zinawezekana.

  chanzo mlimani tv

 2. #2
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  Bahati nzuri aliyezungumza ni mwanasheria mwenye umri zaidi ya miaka 18 kwanini kama anafahamu fika kuwa yapo mapungufu ya kisheria kwanini hajaenda mahakama kupinga?

  Hawa ndiyo wanasheria wa vitumbua na mandazi sasa anataka nani aende kushitaki pengine hata sheria ya mabadiliko ya katiba hajaisoma anapayuka tu kama toto la ndege ambalo limekosa chakula.

  Sikutegemea kwa msomi mzima kuwa mpotoshaji kiasi hiki au hizi ndiyo zile degree zinazoitwa kupeana naye aliipata kwa udanganyifu halafu anajifanya mwansheria kumbe mhuni kama wahuni wengine tu.

  Aacha watanzania watunge katiba yao inayopendekezwa yeye na wanaharakati wenzake waendelee kupokea ujira wao wa kulipwa wanatoa matamko.

 3. #3
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  Re: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  ACHA JAZBA, kilichoongelewa hapo ni matakwa ya Kisheria ili kuandika Katiba ya Nchi (sio ya CCM). Sheria imekiukwa ulitaka asemeje? Suala la kwenda Mahakamani sio tatizo muda upo, Sheria ya Kura ya Maoni imetoa siku 60 za kukata Rufaa, KWA HIYO TULIA.
  UKWELI UTAKUWEKA HURU DAIMA

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  Hivi kwa nini UKAWA wanajadili suala la Kura ya Maoni ya katiba mpya ilhali walisusua Bunge la Katiba?

 5. #5
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  ati Mh; Nambalapala na mimi nashangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaa!

 6. #6
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  Re: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  UKAWA wanatoa elimu juu ya ubaya wa kile ambacho walisusia. Hata wewe ukijua njia yenye mnyama mkali (CCM) utatoa taarifa kwa wenzako kwa sababu una ushahidi wa kukutana uso kwa uso na mnyama huyo (CCM).
  UKWELI UTAKUWEKA HURU DAIMA

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2014
  Posts
  468
  Rep Power
  6
  Likes Received
  28
  Likes Given
  17

  Re: kwa ukweli huu wa mwalimu wa sheria UDSM, katiba mpya ni kupoteza pesa zetu tu

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Bahati nzuri aliyezungumza ni mwanasheria mwenye umri zaidi ya miaka 18 kwanini kama anafahamu fika kuwa yapo mapungufu ya kisheria kwanini hajaenda mahakama kupinga?

  Hawa ndiyo wanasheria wa vitumbua na mandazi sasa anataka nani aende kushitaki pengine hata sheria ya mabadiliko ya katiba hajaisoma anapayuka tu kama toto la ndege ambalo limekosa chakula.

  Sikutegemea kwa msomi mzima kuwa mpotoshaji kiasi hiki au hizi ndiyo zile degree zinazoitwa kupeana naye aliipata kwa udanganyifu halafu anajifanya mwansheria kumbe mhuni kama wahuni wengine tu.

  Aacha watanzania watunge katiba yao inayopendekezwa yeye na wanaharakati wenzake waendelee kupokea ujira wao wa kulipwa wanatoa matamko.
  Wewe unastahili kupuuzwa tu, maana ni mpuuzi kama wenzio kadhaa huko kwenu. Nchi ikikombolewa panapowastahili nyie ni gerezani tu.
  Vizazi vyenu ni vya kuteketezwa kama vya Sadam, Gadafi, Mabutu na matakataka mengine ya aina hiyo.
  Nyaluhala likes this.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •