Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  254
  Rep Power
  7
  Likes Received
  17
  Likes Given
  0

  AHADI ZA UDANGANYIFU - MAHAKAMA YA KADHI

  Serikali ya CCM kwa nini msiwe wakweli tu kuwambia wahusika kwamba Mhakama ya Kadhi haitatungiwa sheria? Sasa Miscellaneous amendment inafanywa kwa kutoka kwenye sheria ipi? Kama Jambo halina hata misingi kwenye Katiba ya sasa mtawezaje kulifanyia marekebisho? Du ama kweli sasa nakubali na kuelewa kwamba Watanzania Elimu na uelewa wetu umeshuka kinoma?

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  189
  Rep Power
  6
  Likes Received
  6
  Likes Given
  0

  Re: AHADI ZA UDANGANYIFU - MAHAKAMA YA KADHI

  Hii ndiyo athari ya nchi kuwa na asilimia kubwa ya watu wasiotumia tafakuri tunduizi.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •