Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  FaizaFoxy, Wamekunyamazisha?

  Ulikuja kwa kasi ya ajabu humu MF, lakini mara baada ya sherehe za Mapinduzi kule Zanzibar umekuwa kimyaaaa..., kulikoni? Au umewaudhi Lumumba ulipoiweka 'katiba pendekezwa' humu mtandaoni?
  UKWELI UTAKUWEKA HURU DAIMA

 2. #2
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: FaizaFoxy, Wamekunyamazisha?

  Achana na huyo mjane mweusi.

 3. #3
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: FaizaFoxy, Wamekunyamazisha?

  Hawa dada zetu wana utafauti kiasi cha maumbile ujue, huenda kipindi hicho alikuwa na kamdoli kwa tumbo sasa kama yupo leba hata sishangai ati......
  Ngoja tumsikilizie lakini, misijui......................................

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: FaizaFoxy, Wamekunyamazisha?

  Dada FaizaFoxy alikuja humu wakati kule JF wanafanya ukarabati. Kwa vile ameshazoea kuchangia ndo maana akajiunga huku. Baada ya kuona kuwa MF ipo doro, ameamua kurudi kwao ambako yupo active muda wote. MF hakuna amsha amsha kama ile ya JF.

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: FaizaFoxy, Wamekunyamazisha?

  Hahaha hana lolote kakimbia makombola humu. Hana uwezo wa kuhimili vishindo. CCM wameshainunua JF na Faiza Foxy nae kanunuliwa ili akapake watu rangi kwani uchaguzi upo karibu.
  "Kila mtu ana haki ya kupa habari. Haki hiyo ikiwa na kikomo, basi haiwezi kuitwa haki."

 6. #6
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: FaizaFoxy, Wamekunyamazisha?

  Wewe Akili Pana, Wacha basi................

  haa... kumbe.......,

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •