Close

Results 1 to 6 of 6
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Chikaka Sumuni

Thread: TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHERIA

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  254
  Rep Power
  7
  Likes Received
  17
  Likes Given
  0

  TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHERIA

  Wapendwa ili kumaliza mzizi wa fitna tunawaomba waandae midahalo kujadiliana kuhusu sura moja moja kati ya Waliokuwa wajumbe wa BMK, Wanasheria, Wajumbe waliokuwa Tume ya Jaji Waryoba, Wanaharakati na wanasheria wetu ili tuweze kujuzwa yaliyomo ndani ya katiba pendekezwa.

  Kile kinachofanywa na TBC1 ni usanii uliopindukia, Tunasikitishwa na wale waliokuwa washika dau wakuu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Kamati ya Bunge Mh. W. Ngeleja, Mh. Chenge wametuhumiwa kuwa mstari wa mbele kwenye Mshiko wa ESCROW.

  Sasa hayo maadili yaliyowekwa katika Katiba Pendekezwa ni ya aina gani?

 2. #2
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  Re: TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHE

  Ni kweli, jukumu hilo wapewe TV zote, Radio zote na Magazeti yote yaandike bila ubaguzi ili tuone nani anatoa taarifa sahihi. Wachukuliwe watu 7 katika kila kundi, wanatosha. Hiyo ndio kampeni ya kweli.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2014
  Posts
  468
  Rep Power
  6
  Likes Received
  28
  Likes Given
  17

  Re: TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHE

  TBC1 IMEJITOA KUWA CHOMBO CHA UMMA NA KUWATUMIKIA MAFISADI YA SISIEM.
  OLE WAO WANAOTUMIA MADARAKA YAO VIBAYA, WATAKUA MIKIA SIKU YA KIAMA.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHE

  TBC1 KAMA FURSA NYINGINE, MALI ZA UMMA IMEBINAFSISHWA KIFISADI KUENDELEZA KUTETEA & KUHALALISHA DHULUMA NA DHAMBI NYINGI ZIFANYWAZO NA WATAWALA DHIDI YA WANANCHI!

  TBC1 IBADILISHWE JINA KABISA KUWA REDIO CCM!

 5. #5
  Senior Member Tanzania Nchi Yetu Sote's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  596
  Rep Power
  7
  Likes Received
  34
  Likes Given
  6

  Re: TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHE

  Quote Originally Posted by Chikaka Sumuni View Post
  Wapendwa ili kumaliza mzizi wa fitna tunawaomba waandae midahalo kujadiliana kuhusu sura moja moja kati ya Waliokuwa wajumbe wa BMK, Wanasheria, Wajumbe waliokuwa Tume ya Jaji Waryoba, Wanaharakati na wanasheria wetu ili tuweze kujuzwa yaliyomo ndani ya katiba pendekezwa.

  Kile kinachofanywa na TBC1 ni usanii uliopindukia, Tunasikitishwa na wale waliokuwa washika dau wakuu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Kamati ya Bunge Mh. W. Ngeleja, Mh. Chenge wametuhumiwa kuwa mstari wa mbele kwenye Mshiko wa ESCROW.

  Sasa hayo maadili yaliyowekwa katika Katiba Pendekezwa ni ya aina gani?
  Kwanza hakuna mwenye ujasiri wa kusimama na Tume ya Warioba tok BMK maana wanajua uhuni walioufaya
  Usione niko kimya nakusubiri uropoke

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: TUNATAKA MIDAHALO YA PAMOJA KATI YA BMK, TUME YA WARYOBA, WANAHARAKATI NA WANASHE

  NJIA SAHIHI YA KUWAPIMA WAZALENDO NA WANAOSEMA UKWELI.

  -Mi nadhani katika mdahalo huo kuwepo na kifaa maalum kinachoweza kupima ubongo wa mchangiaji ili kujua uwezo wake wa kufikili, uzalendo wake, na ukweli ulipo katika jambo alichangialo ili tuwatendee haki wananchi.
  "Kila mtu ana haki ya kupa habari. Haki hiyo ikiwa na kikomo, basi haiwezi kuitwa haki."

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •