Close

Results 1 to 9 of 9
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Chikaka Sumuni

Thread: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  254
  Rep Power
  7
  Likes Received
  17
  Likes Given
  0

  CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Sasa ni dhahiri CCM haipo kwa maslahi ya wananchi ispokuwa kwa genge la wachahche ambao wanajiita ccm ina wenyewe na wenyewe ndio wao. Kama kweli CCM inajidai kuwa kwa ajili ya wakulima na wafanyakazi kama nembo yao inavyotabainisha.

  Kwa vile Tume ya Waryoba ilituwekea viambatanisho kwenye Tovuti ya Tume sasa basi ebu onyesheni utu, utaifa na maslahi mapana ya mustakabali wa taifa letu kwa kuturejeshea Tovuti ya Tume sawasawa na Tovuti ya BMK ili wenye uwezo wa kusoma na kuchambua tuweze kupitia kila neno kwa ajili ya kuujua ukweli.

  KUENDELEA KUFUNGA TOVUTIYA TUME NI SABABU TOSHA KUTUSAIDIA KUIKATAA KATIBA YENU KWANI HATA WALIOKUWA MSTARI WA MBELE KUIANDIKA NA KUIPIGIA DEBE SASA WANAJIUZULU WENYEWE TOKANA NA TUHUMA ZA UFISADI. SASA KAZI KWENU CCM NA SERIKALI YENU KUTUSHAWISHI KWA HOJA AMA KUTUMIA MABAVU AMBAYO HATA SIKU MOJA HAYAJAWAHI KUISHINDA NGUVU YA UMMA.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  CCM ILIACHA SIKU NYINGI KUWA CHAMA CHA MASLAHI YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI-YAANI WANANCHI WA KAWAIDA!

  TAFSIRI NI KWAMBA CCM AWAMU HII NA ZILIZOPITA, TANGU BAADA YA HAYATI MWLM. NYERERE KUONDOKA SASA SI CHAMA CHA SIASA CHA WATU WA KAWAIDA! KIMSINGI NA UKWELI NI KWAMBA CCM NI CHAMA CHA VIGOGO WACHACHE WALIOPO KIMASLAHI ZAIDI - HAWA NDIYO WENYEYWE......NDIYO MAANA INASHANGAZA KUWAONA CCM WALE CHOKA MBAYA KIUCHUMI NA KIJAMII BADO WAKIKUMBATIA NA KUKIUNGA MKONO!!

  NDIYO MAANA CCM HAWAWEZI KAMWE KURUDISHA TOVUTI WALIZO - 'DELETE'......HATA RASIMU HII NYINGINE WALIYOTOA WENYEWE, MAARU KAMA KATIBA PENDEKEZWA HAWATAKUBALI KUIWEKA HADHARANI....NI SAWA NA KUJIMALIZA WENYEWE KWA KUJITIA KITANZI!

  KWA KUTOJITAMBUA VIZURI, HAWA NDIYO MTAJI WA CCM!!

  - - - Updated - - -

 3. #3
  Senior Member FaizaFoxy's Avatar
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  171
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  83

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Tume ya Katiba ilishamaliza kazi yake na ilishafutwa rasmi.

  Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
  Pedagogist At Heart

 4. #4
  TUA
  TUA is offline
  Senior Member
  Join Date
  Oct 2014
  Posts
  677
  Rep Power
  6
  Likes Received
  32
  Likes Given
  0

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  WEWE FAIZA NDIO UMESOMEA UJINGA, MAANA HUWEZI KUWA MLEVI WA CCM MPAKA USIELEWE KWAMBA KAMA TUME ILIMALIZA KAZI TOVUTI ILITAKIWA IWEPO. KUONDOA TOVUTI YA TUME NI KUTOKUJIAMINI KWA CCM HATA NA WEWE PIA, MAANA SIONI KAMA KUNA JAMBO BAYA KUFUNGUA TOVUTI. MNACHOOGOPA NI NINI. LAKINI NIMEJIFUNZA JAMBO MOJA NALO NI HILI: CCM INAANGUKA KWA SABABU YA KUWA NA WASHAURI MABOGASI KAMA NYINYI. HUJENGI HOJA UNAKIMBILIA MANENO YA MKATO. CCM NNATUAIBISHA, ANGALIENI MLIVYOINGIZA WATU WA HOVYO (WALEVI) KWENYE BUNGE LA EAST AFRICA. HAPA MLIWACHAGUA KWA USHABIKI WA KI CCM TU KAMA UNAVYOONGEA KIUSHABI. ALWAYS KWENYE HOJA ZAKO HUJENGI HOJA UNAENDA KIMIPASHO. NI HATARI.

 5. #5
  Senior Member Tanzania Nchi Yetu Sote's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  596
  Rep Power
  7
  Likes Received
  34
  Likes Given
  6

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Quote Originally Posted by Chikaka Sumuni View Post
  Sasa ni dhahiri CCM haipo kwa maslahi ya wananchi ispokuwa kwa genge la wachahche ambao wanajiita ccm ina wenyewe na wenyewe ndio wao. Kama kweli CCM inajidai kuwa kwa ajili ya wakulima na wafanyakazi kama nembo yao inavyotabainisha.

  Kwa vile Tume ya Waryoba ilituwekea viambatanisho kwenye Tovuti ya Tume sasa basi ebu onyesheni utu, utaifa na maslahi mapana ya mustakabali wa taifa letu kwa kuturejeshea Tovuti ya Tume sawasawa na Tovuti ya BMK ili wenye uwezo wa kusoma na kuchambua tuweze kupitia kila neno kwa ajili ya kuujua ukweli.

  KUENDELEA KUFUNGA TOVUTIYA TUME NI SABABU TOSHA KUTUSAIDIA KUIKATAA KATIBA YENU KWANI HATA WALIOKUWA MSTARI WA MBELE KUIANDIKA NA KUIPIGIA DEBE SASA WANAJIUZULU WENYEWE TOKANA NA TUHUMA ZA UFISADI. SASA KAZI KWENU CCM NA SERIKALI YENU KUTUSHAWISHI KWA HOJA AMA KUTUMIA MABAVU AMBAYO HATA SIKU MOJA HAYAJAWAHI KUISHINDA NGUVU YA UMMA.
  CCM hii ninayoifahamu katu haiwezi kupata ujasiri wa kufanya hivyo hata iweje hao ndio waliochakachua maoni ya wananchi halafu walete yaonekane ili wazidi kuumbuka?

  - - - Updated - - -

  Vilaza wapo wengi duniani na wanakuwa mizigo kweli angalia watu kama FaizaFoxy anavyotetea ujinga eti tume ilimaliza kazi yake kwa hiyo na tovuti nayo ilimaliza kazi ipi? Kufungua tovuti maana yake nyaraka ziendelee kupatikana hata vizazi vijavyo sasa unaposema tume ilimaliza kazi ili kuhalalisha kufungwa kwa tovuti basi hata tovuti ya bunge ingekuwa inaanzishwa bunge likianza na likimalizika inafungwa.
  Usione niko kimya nakusubiri uropoke

 6. #6
  Senior Member Erasmus's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  406
  Rep Power
  6
  Likes Received
  7
  Likes Given
  3

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Faiza Foxy, kuwa na fikra za kwenda mbele sio kurudi nyuma. Tume ya Jaji Warioba ilikusanya maoni ya wananchi kwa sababu CCM ilikuwa na maoni 'mgando' na hawakutaka mabadiliko ya katiba ndio maana bado tunadai Katiba itokanayo na Rasimu 2 ya Jaji Warioba iliyosheheni maoni kwa kizazi cha sasa na kijacho na kingine tena. Acha kudumaa na kuturudisha 1977.

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Warudishe kisha waumbuke? hawana hoja za msingi katika kutetea katiba yao. Wnamezwa na hoja za wananchi na tume ya warioba. Kwa kuwa taarifa ni nguvu ya mageuzi wanaogopa Tovuti ikibaki wazi, wananchi wataitumia kupata taarifa na kujielimisha hivyo watazidisha kungu kuipinga CCM.
  "Kila mtu ana haki ya kupa habari. Haki hiyo ikiwa na kikomo, basi haiwezi kuitwa haki."

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  299
  Rep Power
  7
  Likes Received
  6
  Likes Given
  5

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Quote Originally Posted by FaizaFoxy View Post
  Tume ya Katiba ilishamaliza kazi yake na ilishafutwa rasmi.

  Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
  huyu Chizi Hawa Ghasia kahamia huku tena na upunguani wake?????? sikupendi ujue wewe chizi

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: CCM RUDISHENI TOVUTI YA TUME KAMA KWELI MNASIMAMIA MATAKWA YA WANANCHI BILA HILA

  Ummy Mwalimu ataweza kweli mambo ya katiba, wakati nasikia hata mitihani ya chuo alifanyiwa na aliyekuwa mchumba wake?
  "Kila mtu ana haki ya kupa habari. Haki hiyo ikiwa na kikomo, basi haiwezi kuitwa haki."

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •