Close

Results 1 to 5 of 5
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA

  Umri wangu 28 years old, natafuta mke awe na usiozidi miaka 28 na usiopungua miaka 20, mkristo mcha Mungu, Elimu yoyote, kabila lolote, mrefu au mrefu wastani, mnene kias . Kama ana mtoto aliyezaa na kumlea asizidi mtoto mmoja, sio lazima sana awe ameajiriwa au kujiajiri kwa sasa, awe mwenye maadili ya kiafrika, awe tayar kujima kwajili ya maendeleo . Na maanisha sana ,sipo kwa lengo kutaniana kama yupo mtu aliye seriouz tu wasiliane hata kwa private meseji.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA

  Nina dada yangu kwa sifa ulizozitaja atakufaa . niibox namba yako na unitumie picha nikampeni haraka mmalizane wenyewe.
  "Kila mtu ana haki ya kupa habari. Haki hiyo ikiwa na kikomo, basi haiwezi kuitwa haki."

 3. #3
  Member
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  38
  Rep Power
  0
  Likes Received
  3
  Likes Given
  12

  Re: NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA

  Akipatikana tualikane pilau basi....

 4. #4
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA

  Kuna sista mmoja hapa jukwaani ana kiavatar cha malaika hebu mjaribu

 5. #5
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA

  Quote Originally Posted by Akili Pana View Post
  Nina dada yangu kwa sifa ulizozitaja atakufaa . niibox namba yako na unitumie picha nikampeni haraka mmalizane wenyewe.
  Mimi nadhani mwambie huyo dada yako kwanza kama atakuwa anaitaji kama kma mm bas mwambie anipe namba mm ntamtafuta, wala hata usisumbuke kupiga kampeni mkuu

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •