Close

Results 1 to 9 of 9
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Mfahamu Sir. Isaac Newton

  Ndiye mwanasayansi aliyegundua kuhusu nguvu ya uvutano kitaalamu ni "gravitational force". Ni mmoja wa wanasayansi wakubwa kwenye upande wa fizikia na hesabu, ambapo kwenye fizikia tunakutana na principals zake zinazojulikana kama laws of motion. Alizaliwa tarehe 25 December 1642 na kufa tarehe 20 March 1727, alifariki akiwa na umri wa miaka 85, atakumbukwa sana kutokana na uwezo wake mkubwa ambapo mpaka leo principals zake ndio zimetuwezesha kufika hapa kwa ugunduzi wa vitu vyote vyenye mwendo kasi ikiwemo magari, meli, treni pamoja na helkopta. Huyo ndiye Sir. Isaac Newton.

 2. #2
  Member Graca Machel's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  61
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0
  Mungu amlaze mahali pema peponi Sir.Isaac.

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Graca Machel View Post
  Mungu amlaze mahali pema peponi Sir.Isaac.
  Aaaamin dada yangu

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  27
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  tupe zaidi mkuu hakuwa na mtoto huyu jamaa maana sijawahi kusikia kama alikuwa na watoto maana alikuwa bize na kugundua vitu.
  Last edited by mwanamwana; 02-01-2014 at 20:11.

 5. #5
  Member Mchambuzi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Precambrian
  Posts
  92
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mfahamu Sir. Isaac Newton

  Quote Originally Posted by mwanamwana View Post
  tupe zaidi mkuu hakuwa na mtoto huyu jamaa maana sijawahi kusikia kama alikuwa na watoto maana alikuwa bize na kugundua vitu.
  Huwa naambiwa eti wagunduzi wengi walikuwa Freemansion hata huyu Newton ni 1 wapo, eti walianza tangu enzi za mfalme Suleiman hivi ni kweli jamani? na kama ni kweli si inamana tunaotumia vitu walivyogundua hawa jamaa na sisi ni freemansion?

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  27
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mfahamu Sir. Isaac Newton

  Quote Originally Posted by Mchambuzi View Post

  ninachojua huyu bwana alishawahi kuwa mbunge.

 7. #7
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  1
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mfahamu Sir. Isaac Newton

  Alikuwa mwanafunzi wangu

 8. #8
  Junior Member apakak's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  11
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Mfahamu Sir. Isaac Newton

  Quote Originally Posted by Jumong View Post
  Ndiye mwanasayansi aliyegundua kuhusu nguvu ya uvutano kitaalamu ni "gravitational force". Ni mmoja wa wanasayansi wakubwa kwenye upande wa fizikia na hesabu, ambapo kwenye fizikia tunakutana na principals zake zinazojulikana kama laws of motion. Alizaliwa tarehe 25 December 1642 na kufa tarehe 20 March 1727, alifariki akiwa na umri wa miaka 85, atakumbukwa sana kutokana na uwezo wake mkubwa ambapo mpaka leo principals zake ndio zimetuwezesha kufika hapa kwa ugunduzi wa vitu vyote vyenye mwendo kasi ikiwemo magari, meli, treni pamoja na helkopta. Huyo ndiye Sir. Isaac Newton.
  Na pia aligundua calcus kushirikiana na leibnitz

  Miaka yake ya mwisho alikuwa na strange obsession na alchemy

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Duduwasha View Post
  Alikuwa mwanafunzi wangu
  Mwanafunzi wako wa mwaka gani?

 9. #9
  Junior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  9
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Mfahamu Sir. Isaac Newton

  Quote Originally Posted by Mchambuzi View Post
  Huwa naambiwa eti wagunduzi wengi walikuwa Freemansion hata huyu Newton ni 1 wapo, eti walianza tangu enzi za mfalme Suleiman hivi ni kweli jamani? na kama ni kweli si inamana tunaotumia vitu walivyogundua hawa jamaa na sisi ni freemansion?
  Katika mojawapo ya nukuu zake enzi za uhai wake alishawahi kukiri kuwa anamwamini MUNGU na yeye (Mungu) ndiye alimuwezesha kufanya mambo yote makuu aliyoyafanya akamaliza kwa kusema "I believe God did not put anything beyond our reach". Quotation hii ilinisaidia sana nilipokuwa mwanafunzi, ilinitia moyo na kunifanya niwe "optimistic" kwa kila nilichoanza kukifanya, na hata sasa inanisaidia pia.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •