Close

Results 1 to 7 of 7
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  213
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  11

  naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  Wakuu kuna sheria mbalimbali zinatungwa na makampuni na kutumika kuadhibu wafanyakazi kwa mfano kuna kampunu
  ukikutwa na kileo juu ya asilimia 0.02 ni termination upewi onyo wala nini hata kama ni Mara ya kwanza je hii ni sawa? Je sheria imeridhiwa na selikali yetu? Nahisi sheria hii inakinzana na sheria za nchi naomba msaada wa kisheria juu ya jambo hilo
  Last edited by tanira1; 03-01-2015 at 06:54.

 2. #2
  Senior Member Tumbo's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  358
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  22

  Re: naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  Wewe unataka kulewa wakati wa kazi? Chapa kazi kwa mda uliopangwa, ukimaliza nenda kapombeke vizuri kwa raha zako.
  HAKI ikitendeka, AMANI hutamalaki, hakuna AMANI pasipo HAKI.

 3. #3
  Senior Member FaizaFoxy's Avatar
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  171
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  83

  Re: naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  Quote Originally Posted by tanira1 View Post
  Wakuu kuna sheria mbalimbali zinatungwa na makampuni na kutumika kuadhibu wafanyakazi kwa mfano kuna kampunu
  ukikutwa na kileo juu ya asilimia 0.02 ni termination upewi onyo wala nini hata kama ni Mara ya kwanza je hii ni sawa? Je sheria imeridhiwa na selikali yetu? Nahisi sheria hii inakinzana na sheria za nchi naomba msaada wa kisheria juu ya jambo hilo
  Hapo huongelei sheria za makampuni, hapo unaongelea sheria za kazi na si za makampuni. Tanzania ni mwanachama wa ILO, nakushauri zitazame kwa umakini sheria za ILO, zipo mtandaoni, tumia Google.

  Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  213
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  11

  Re: naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  Faidha watu wrote hatuwezi kuwa wataalam was she ria ndio maana ya jukwaa chili tusiojua tunaomba msaada hats wewe ukitaka kujua hatua za Kun'goa kucha tutakufundisha maana hizo ndio fani
  zetu

 5. #5
  Senior Member FaizaFoxy's Avatar
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  171
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  83

  Re: naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  tanira 1

  Naam, nakubaliana na wewe, si kila mtu anaelewa sheria, lakini ni wajibu wetu kujisomea na kufanya kautafiti japo cha mtandaoni kabla hatujauliza maswali muhimu.

  Fursa tunazo, tuzitumie kujielimisha, elimu haipatikani kwenye kuta nne tu.
  Pedagogist At Heart

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2014
  Posts
  468
  Rep Power
  6
  Likes Received
  28
  Likes Given
  17

  Re: naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  Ni kweli, tanira 1 unahitaji kujua sheria za kazi.

  Pamoja na kwamba Tanzania ni mwanachama wa shirika la kazi Duniani (ILO) hata hivyo Tanzania ina sheria ya kazi, inayoitwa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini No 6 ya 2004. Ni sheria nzuri na ndiyo sheria inayotambulika kama sheria MAMA kwa masuala ya kazi Tanzania.

  Sheria hii ipo kwa Kiingereza na Kiswahili. Unaweza kuipata kwenye maduka ya vitabu vya serikali au mtandaoni.

  Ni vizuri ukaipata na kuisoma vizuri, zote kwa maana ya Kiingereza na Kiswahili zinaeleweka vizuri.

  Taarifa nilizonazo ni kwamba baadhi ya watu wakorofi waliopewa dhamana ya KUONGOZA wafanyakazi wengine bado hawaijui au hawatumii sheria hii na hivyo kujikuta katika wakati mgumu na WAFANYAKAZI wenzao wakati fulani.

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  213
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  11

  Re: naomba kujuzwa sheria mbali mbali za makampuni haziitaji baraka za selikalu?

  asante mzee mbuga nimekusoma sheria hiyo namba 6 2004 ninayo ngoja niibukue

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •