Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  254
  Rep Power
  7
  Likes Received
  17
  Likes Given
  0

  RE: WANAOINGIA MIKATABA MIBOVU WANATOFAUTI GANI NA ENZI ZA CHIFU MANGUNGO WA MSOVERO

  Wapendwa Mwaka unaisha sasa tunaingia mwaka mpya, Lipo swali la msingi kwetu sote tuliopo leo hii. Hivi ipo tofauti yoyote ya Wasomi wetu wa Leo na wale wazee wetu waliokutana na Carl Peters wakati wa biashara ua Utumwa. Ni nini wanachojivunia kwa usomi wao leo hii? Historia itawakumbuka kwa jema lipi?
  Mikataba ya Madini iliyosainiwa wakati wa Mh. Chenge, Mh. Werema,

  Mwaka unapoisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wanapofanya tathmini wanaona ni kwa kiwango gani wamewajibika kuhalikisha nchi iko salama kiulinzi kiuchumi, kijamii, na kimazingira?

 2. #2
  Senior Member zumbemkuu's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Street Dweller
  Posts
  148
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  23

  Re: WANAOINGIA MIKATABA MIBOVU WANATOFAUTI GANI NA ENZI ZA CHIFU MANGUNGO WA MSOVERO

  hawana, JK alipewa suti safi kabisa
  ''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •