Close

Results 1 to 5 of 5
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Chandimu

Thread: CHANDIMU Ndani ya hili Jukwaa

 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  4
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  CHANDIMU Ndani ya hili Jukwaa

  Hodi hapa ndani.

  Kwa majina ni Alhaj Shekh Chandimu.
  Kwa mara ya kwanza nimetembelea huu mtaa.
  Natumai nitakaribishwa ki Mwinyi kabisa Shekh mie.
  Natanguliza Shukran

  Chandimu
  Da Kiboga likes this.

 2. #2
  Member
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  38
  Rep Power
  0
  Likes Received
  3
  Likes Given
  12

  Re: CHANDIMU Ndani ya hili Jukwaa

  Ukaribisho wa kimwinyi ndo ukoje huoo...

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  724
  Rep Power
  7
  Likes Received
  50
  Likes Given
  0

  Re: CHANDIMU Ndani ya hili Jukwaa

  Quote Originally Posted by Chandimu View Post
  Hodi hapa ndani.

  Kwa majina ni Alhaj Shekh Chandimu.
  Kwa mara ya kwanza nimetembelea huu mtaa.
  Natumai nitakaribishwa ki Mwinyi kabisa Shekh mie.
  Natanguliza Shukran

  Chandimu

  Jukwaani unakaribishwa kama mchangiaji yeyote mpya. Hapa Hakuna mabwana wala watwana.
  Habari ya ushekh wako bila shaka itahusu zaidi msikitini kwako na umwinyi ni mtaani kwako siyo MF.

  Zingatia hayo. Tuko pamoja - KARIBU SANA

 4. #4
  Senior Member Tumbo's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  358
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  22

  Re: CHANDIMU Ndani ya hili Jukwaa

  Umemjibu vizuri sana Dani, hatuna matabaka Mf wote sawa.
  HAKI ikitendeka, AMANI hutamalaki, hakuna AMANI pasipo HAKI.

 5. #5
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2015
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1

  Re: CHANDIMU Ndani ya hili Jukwaa

  Basi sawa.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •