Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  MAHAKAMA NCHINI TANZANIA.

  Ripoti inaonesha nchini Tanzania MAHAKAMA inaongoza kwa vitendo vya RUSHWA ikifuatiwa na JESHI LA POLISI.

  Swali langu ni , Je, hata swala hili la ESCROW Likiachiwa mahakama kama muhimili wa Serikali wataweza kuupatia ufumbuzi stahiki ?

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  254
  Rep Power
  7
  Likes Received
  17
  Likes Given
  0

  Re: MAHAKAMA NCHINI TANZANIA.

  Du ni ripoti gani hii Kamanda? Kwa hiyo sasa wananchi wachukue hatua gani?

 3. #3
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  10
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: MAHAKAMA NCHINI TANZANIA.

  io kesi ikiachiwa mahakama ni sawa na mzazi kupewa bunduki amuue mtoto wake

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •