Close

Results 1 to 12 of 12
 1. #1
  Senior Member Mtambalike's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  156
  Rep Power
  7
  Likes Received
  10
  Likes Given
  75

  UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Wana MF

  Bila shaka wengi wetu tunamfahamu samaki.

  Wengi tunafahamu samaki kwa kuwa chanzo cha Protein katika mwili. Zaidi ya hapo Samaki ni muhimu kwa sababu ni chanzo cha Asidi za mafuta ziitwazo Omega - 3 fatty acid. Omega 3 katika mwili wa binadamu husaidia katika kuzuia magonjwa ya Moyo, Kurahisisha Mzunguko Damu, kusafisha ini n.k.

  Ili uweze kuipata Protein hii ni lazima Samaki aandaliwa kwenye joto linalokubalika kitaalam. Wengi wetu tunampika Samaki moja kwa moja kwenye maji lakini kitaalam inatakiwa maji yachemke kwanza kwa 96 mpaka 100 degree then unamuweka samaki kwa dakika tano katika maji yaliyochemka. Kabla ya hapo Samaki wako anatakiwa kuwa amelowekwa kwenye maji ya Chumvi ya kiwango cha asilimia 6% kwa muda wa dakika thelathini.

  Samaki wenye Omega 3 fatty acid bora kabisa ni Pamoja na Jodari, Sangara, Sato,Kibua na Kamongo.....

  Kwa Tanzania katika asilimia mia moja za ulaji wa Protein Samaki anachangia kwa asilimia 30 na ulaji wa samaki Tanzania ni asilimia 8-9 ingawa kiwango kinachopendekezwa na FAO kwa Tanzania ni asilimia 11. Tuongeze ulaji wa Samaki wadau...

  Asanteni
  Whatever you are, be a man!

 2. #2
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Quote Originally Posted by Mtambalike View Post

  Wana MF tunashukuru na ushauri tutaufanyia kazi.
  Kila la heri MF.

 3. #3
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Quote Originally Posted by Mtambalike View Post
  Wana MF

  Bila shaka wengi wetu tunamfahamu samaki.

  Wengi tunafahamu samaki kwa kuwa chanzo cha Protein katika mwili. Zaidi ya hapo Samaki ni muhimu kwa sababu ni chanzo cha Asidi za mafuta ziitwazo Omega - 3 fatty acid. Omega 3 katika mwili wa binadamu husaidia katika kuzuia magonjwa ya Moyo, Kurahisisha Mzunguko Damu, kusafisha ini n.k.

  Ili uweze kuipata Protein hii ni lazima Samaki aandaliwa kwenye joto linalokubalika kitaalam. Wengi wetu tunampika Samaki moja kwa moja kwenye maji lakini kitaalam inatakiwa maji yachemke kwanza kwa 96 mpaka 100 degree then unamuweka samaki kwa dakika tano katika maji yaliyochemka. Kabla ya hapo Samaki wako anatakiwa kuwa amelowekwa kwenye maji ya Chumvi ya kiwango cha asilimia 6% kwa muda wa dakika thelathini.

  Samaki wenye Omega 3 fatty acid bora kabisa ni Pamoja na Jodari, Sangara, Sato,Kibua na Kamongo.....

  Kwa Tanzania katika asilimia mia moja za ulaji wa Protein Samaki anachangia kwa asilimia 30 na ulaji wa samaki Tanzania ni asilimia 8-9 ingawa kiwango kinachopendekezwa na FAO kwa Tanzania ni asilimia 11. Tuongeze ulaji wa Samaki wadau...

  Asanteni
  Napenda sana supu ya samaki, kwa maelezo yako inanibidi nibadili aina ya mapishi maana mimi natengenezaga moja kwa moja. Any way Shukran kwa kutupa elimu bora nafahamu itatujenga wengi.
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  122
  Rep Power
  7
  Likes Received
  7
  Likes Given
  2

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Ni option nzuri kwa wale wasiokula red meat!

 5. #5
  Banned
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  85
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Ni somo zuri, ubarikiwe kwa kutokuwa mchoyo.

 6. #6
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Malambamatatu
  Posts
  70
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  4

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Mkuu na sisi(Najua Tupo wengi) tunaopenda wa kukaanga hiyo omega 3 twaipata?

 7. #7
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  9
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Quote Originally Posted by Mtambalike View Post
  Wana MF

  Bila shaka wengi wetu tunamfahamu samaki.

  Wengi tunafahamu samaki kwa kuwa chanzo cha Protein katika mwili. Zaidi ya hapo Samaki ni muhimu kwa sababu ni chanzo cha Asidi za mafuta ziitwazo Omega - 3 fatty acid. Omega 3 katika mwili wa binadamu husaidia katika kuzuia magonjwa ya Moyo, Kurahisisha Mzunguko Damu, kusafisha ini n.k.

  Ili uweze kuipata Protein hii ni lazima Samaki aandaliwa kwenye joto linalokubalika kitaalam. Wengi wetu tunampika Samaki moja kwa moja kwenye maji lakini kitaalam inatakiwa maji yachemke kwanza kwa 96 mpaka 100 degree then unamuweka samaki kwa dakika tano katika maji yaliyochemka. Kabla ya hapo Samaki wako anatakiwa kuwa amelowekwa kwenye maji ya Chumvi ya kiwango cha asilimia 6% kwa muda wa dakika thelathini.

  Samaki wenye Omega 3 fatty acid bora kabisa ni Pamoja na Jodari, Sangara, Sato,Kibua na Kamongo.....

  Kwa Tanzania katika asilimia mia moja za ulaji wa Protein Samaki anachangia kwa asilimia 30 na ulaji wa samaki Tanzania ni asilimia 8-9 ingawa kiwango kinachopendekezwa na FAO kwa Tanzania ni asilimia 11. Tuongeze ulaji wa Samaki wadau...

  Asanteni
  ASANTE SANA ILA SASA TUWEKEE NA JINSI YA KUMVUA HUYO SAMAKI....IF YOU LOVE TO EAT, YOU HAVE TO KNOW HOW TO COOK

 8. #8
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  75
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Mwanamume anayependelea kula samaki na ikiwa wanaandaliwa vizuri kimapishi kama alivoandika MTAMBALIKE, anakuwa na nafasi nzuri ya kuongeza nguvu zake katika uzazi.

  Vile mnavowaona watu wanaoishi maeneo ya Pwani au kwenye maziwa, na wakiwa wanakula samaki kwa wingi, basi wanajenga mwili vizuri. Nawaangalia wenzetu wanaoishi kisiwani Pemba, hasa maeneo ambako samaki wanatumika sana kama sehemu ya kitoweleo cha chakula kikuu, wananufaika na ulaji wa samaki.

 9. #9
  Junior Member ichenjezyaa's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  4
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  somo zuri thanks!
  Namuomba mungu anipe busara na hekima ya kugundua jambo zuri kwa wakati sahihi...............!"kwetu Vwawa-Mbozi"

 10. #10
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  75
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  KULENI kuku, mayai, mboga, SAMAKI, maziwa. yule akiimba kwa kuhimiza watu wale chakula bora. Ukila chakula bora, unajenga mwili, afya yako, mtoto anayekula chakula bora, wakiwemo SAMAKI, anajenga ubongo wake kiakili.

  MIMI nakula SAMAKI kila wakati, WEWE JEEEEE?

 11. #11
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Dar es Salaam
  Posts
  1
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Quote Originally Posted by Msemakweli View Post
  KULENI kuku, mayai, mboga, SAMAKI, maziwa. yule akiimba kwa kuhimiza watu wale chakula bora. Ukila chakula bora, unajenga mwili, afya yako, mtoto anayekula chakula bora, wakiwemo SAMAKI, anajenga ubongo wake kiakili.

  MIMI nakula SAMAKI kila wakati, WEWE JEEEEE?
  Nalamba mafuta ya samaki.....

 12. #12
  Junior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  23
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: UMUHIMU WA KULA SAMAKI

  Asante kwa elimu ya bure

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •