Close

Results 1 to 8 of 8
Like Tree4Likes
 • 1 Post By CCM DAIMA
 • 1 Post By PAMBAZUKO
 • 1 Post By Boya
 • 1 Post By kimbache

Thread: MSAFARA WA RAIS WA CHINA WANUNUA MENO YA TEMBO

 1. #1
  Senior Member Ngwindimba's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  235
  Rep Power
  7
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Sababu za Prof, Kikwete kupewa kila kitu alichoomba China ni hii hapa


 2. #2
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Sababu za Prof, Kikwete kupewa kila kitu alichoomba China ni hii hapa

  Tumeona. Hongera ndugu. Tumeona sababu ya JK kuwa Prof.

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  16
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Sababu za Prof, Kikwete kupewa kila kitu alichoomba China ni hii hapa

  nataka kulike lakin nikaona nikilike nitakua km nimeunga mkono ushenzi wa Professor
  dah mheshimiwa ndo maana alikua anatushangaa kwa nin sisi maskini kumbe utajiri anaujua pa kuupata

  kwaio rais wa china akija anaondoka na thousands za contena za pembe na rais akenda safar zake kumbe anaenda kufanya biashara za ndovu

  mungu amlaani na yeyote anaemtetea ingekua Gazeti la Mwanahalisi limeandika wapambe wangesema chuki ila mpaka aljazeera aaaaaaah hiii tooooo muuuuch mzeeee profeeesa

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: Sababu za Prof, Kikwete kupewa kila kitu alichoomba China ni hii hapa

  KWAMBA NCHI IMEGEUZWA PARADISO YA MAFISADI SI HABARI MPYA......AIBU HII KUBWA ITUCHOCHEE SOTE KUUNGANISHA NGUVU KUIKATAA CCM KUENDELEA KUONGOZA TAIFA...VINGINEVYO TUNAJITAKIA JANGA KUBWA KWETU PAMOJA NA KIZAZI CHETU...KWA MIAKA MINGI IJAYO!!

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  145
  Rep Power
  6
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Sababu za Prof, Kikwete kupewa kila kitu alichoomba China ni hii hapa

  - RAIS WA RUSSIA NAYE KASHTUKIA DILI, MWAKANI NAYE ANAKUJA KUMALIZIA

 6. #6
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  77
  Rep Power
  7
  Likes Received
  5
  Likes Given
  4

  MSAFARA WA RAIS WA CHINA WANUNUA MENO YA TEMBO


  Msafara wa Rais wa China wahusishwa na ununuaji haramu wa ndovu za Tembo katika Tanzania.

  BEIJING — Mwezi wa tatu mwaka 2013 Xi Jinping Rais wa China, alikuja Tanzania akiambatana na wasaidizi wake pamoja na wafanyabiashara kwa lengo la kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizi mbili.
  Hata hivyo kwa mujibu wa taharifa ya Environmental Investigation Agency, NGO yeney makao makuu yake London Uingereza, kuwa jopo hilo lilitumia fursa hiyo kama nafasi ya kufanya biashara ya meno ya Tembo, na kutokana na mahitaji yao ilipelekea bei ya meno kupanda mara dufu na kufikia paundi za Uingereza 318 (890,400/=).
  Taarifa hiyo inasema wiki mbili kabla Rais Xi Jinping hajafika Tanzania, wanunuzi hao walinunua maelfu ya kilo za meno ya tembo ambayo baadae yalitumwa kwa ndege ya Rais wa China kwenda China yakiwa yamefungwa kwenye mifuko maalumu ya kidiplomasia.


  Soma report iliyopewa jina VANISHING POINT:Criminality, Corruption and the Devastation of Tanzania’s Elephants
  Kwa mujibu wa ENVIRONMENTAL INVESTIGATION AGENCY (EIA)
  Pakua report hiyo hapa
  Crime & corruption behind Tanzania?s elephant meltdown ? EIA International

 7. #7
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: MSAFARA WA RAIS WA CHINA WANUNUA MENO YA TEMBO

  Kama huwazi mbali tarifa kama hii unaweza kuiamini lakini ukiwa unawaza mbali na kutokuwa msahaulifu huwezi kuamini uzushi huu ambao umeandikwa na wandishi wanaowakiliaha matakwa ya mwingereza na wamarekani lengo kubwa ni kuichafua china katika historia ya dunia ili tanzania isitishe ushirikiano na china ,kiukweli china kwa sasa wazungu inawanyima sana usingizi china lakini hawana jipya kamwe hatuchaguliwi rafiki na mtu yeyote.

 8. #8
  Junior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  16
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: MSAFARA WA RAIS WA CHINA WANUNUA MENO YA TEMBO

  najua sisi ccm hatukosi sababu lakin kiuwel profesa yuko bize na biashara hii ndio maana hatulii au km china wanalipiza dili zetu za unga tulopiga kwao poa

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •