Nilifanya mapenzi na shemeji yangu kwa bahati mbaya nikidhani kuwa ni mume wangu.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 29, na mume wangu anamiaka 31.Siku hiyo wazazi wake waliandaa party ya mtoto wao wa mwisho aliyetimiza miaka18.
Watu wengi walihudhulia sherehe hiyo akiwemo huyo shemeji yangu ambaye alikuwa akifanya kazi Nje za Nchi anaumri wa miaka36
Wote tulifurahia sana sherehe hiyo, kulikuwa na vyakula vya kila aina pamoja na pombe za kila aina na kila mmoja wetu alifurahi na kucheza kwa namna alivyoweza.
Mume wangu alienda kulala kabla yangu na alinambia ananisubili chumbani, nilimfata baada ya dakika20 nilipoingia tulicheza sana na hatimaye tukafanya tendo la ndoa.
Niliamka baada ya masaa machache kwa sababu nilishikwa sana na kiu ya maji nikaenda dirishana kufunua panzia ili nipate mwanga nitafute maji nikatoka hadi nje kuchukua maji.
Baada ya kurudi kitandani ndipo nilipogundua kuwa nilikuwa nimelala na kaka wa mume wangu ambaye ni shemeji yangu nilipatwa na mshituko mkubwa sana, nikahisi shemeji yangu siku hiyo aliona kama ni bahati kwake maana wote tulikuwa tumelewa.
Nilikimbia sana na kwenda kwenye chumba cha Mume wangu nilikuta bado amelala usizingizi mzito sana nilipokuwa pale nikagundua kuwa nimesahau nguo yangu ya ndani kwenye chumba kile cha shemeji yangu ndipo nikarudi tena kuchukua.
Niliporudi nilikuta shemeji yangu ameshaamka nikawa sina wasiwasi kwasabu nilijua tu asingeweza kuitoa siri hiyo kwa mtu yoyote.Pia nikamuomba asije mwambia kaka yake siri hiyo ila tu akanijibu ‘Vyovyote vile”.
Kwa sasa ameshaondoka, sasa sielewi kama anaweza kumueleza kaka yake kila kitu kilichotokea? Na je kama akimweleza itakuaje? Na ninampenda sana mume wangu kuliko kitu chochote kile na ni baba wa watoto wangu.
Nombeni ushauri wenu.
Connect With Us