Close

Page 4 of 4 FirstFirst 1234
Results 76 to 85 of 85
Like Tree34Likes

Thread: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

  Hivyo ndivyo vinavyowaumiza wapinzani wake.

  Huyu Nambalapala, hawezi kukimbia kitu alichokianzisha mwenyewe. Ameingia hapa akaweza uzi, lakini mashambulizi yalipokuwa makali ameamua kuufuta. Akaweka vijineno hivyo hapo juu vyenye rangi nyekundu.

  Nimeamua kuurejesha ili kulinda heshima ya jukwaa.

  Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara.

  Katika taarifa hizo, Madafa amepewa sifa mbaya ambazo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kujinasibisha nazo. Kwamba, Madafa ni muuaji na mtesaji wakimpachika sifa ambazo hapo awali alipachikwa aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TISS, Jack Zoka hasa baada ya tukio la kutekwa na kuumizwa Dr Steven Ulimboka. Hata hivyo kwenye taarifa hizo, akina Kipara Bonge na genge lake wameshindwa kuthibitisha juu ya sifa hizo.

  Kutokana na taarifa hiyo, nimelazimika kuwasiliana na wadau wangu ambao wapo ndani ya Idara hiyo. Lengo langu ni kutaka kufahamu uhalisia wa hizo sifa ambazo amevikwa George Madafa kama anaishi nazo.

  Kwa hakika wadau wote niliowasiliana nao wamenithibitishia bila chembe ya shaka kwamba Madafa ni muadilifu na ni mchapa kazi mkubwa. Mdau mmoja ambaye amesoma pamoja na Madafa shule ya Sekondari ameniambia kuwa Madafa ana moyo wa huruma na asiyependa kudhulumu haki za watu. Kwamba, Madafa ni mtu ambaye anathamini kazi za wenzake na anawatakia mema. Pia shuhuda mwingine ndani ya Idara hiyo amenidokeza kuwa Madafa ni mtu anayejali taaluma ya mtu na anathamini sana kazi za watu.

  Wadau wangu wamenidokeza kuwa, Baada ya Madafa KUTEULIWA KUWA Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu, mtu mmoja ambaye anatambulika kama Kipara Bonge na ambaye pia ni Ngosha, Duma na KISIKI, alianza kuandika mada za kumchafua Madafa.

  Uchafuzi huo ulikuwa una malengo mawili, kwanza ni kuharibu sifa njema alizonazo Madafa ndani ya Idara hiyo ili waliompa nafasi ya kukaimu wasiwe na fikra ya kumteua kushika nafasi hiyo. Lengo la pili ni kumdisclose kwenye public ili wapinzani wa Zoka waelekeze mapambano yao kwa Madafa.

  Ndivyo inavyojitokeza ambapo kwa hivi sasa kuna mada kadhaa zinaanzishwa kwenye mtandao huu zenye lengo la kumhusisha na matendo kadhaa ikiwa ni pamoja na kudhoofisha wapinzani.

  Inapoonekana ni Kwamba Kipara Bonge ana mtu wake ambaye ndiye chaguo lake lakini kwa bahati mbaya mtu huyo hajapewa madaraka hayo. Ndo maana kila kukicha wanajitahidi kumchafua Madafa huku wakiamini kuwa aliyefanya maamuzi hayo anaweza kuyabatilisha.

  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia.
  Last edited by Kubenea; 27-08-2014 at 22:21.

 2. #76
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post

  Mbona mnajivua nguo.

  Utendaji wa Madafa unazungumziwa kwenye mtandao ili iweje na ni utendaji kwa vigezo vipi?

  Unaurudisha huu uzi kwa manufaa gani ya kitaifa zaidi ya kujaribu kupotosha jukwaa juu ya upuuzi wenu wa TISS na wanasiasa wenu wa kuchonga

  Nakuomba ukue sasa fanya vitu ambavyo ukiviangalia baadae vinakupa faraja. Hapa unaamsha na kukumbusha machungu juu matendo yenu dhidi ya watu wasio na hatia wala uwezo wa kujilinda. Mifano mashambulizi ya Kubenea, na wengine wengi. Kwa sasa nadiriki kuamini pasipo shaka unajinafasi kwenye huu mtandao wakati mmelifungia gazeti la Mwanahalisi; nendeni JF mlikowekeza na kuendesha. Kweli nyie vichwa vyenu ni vifuu ndiyo maana nchi ni kichwa cha mwendawazimu. Wewe na Madafa wako mtalipa uovu wenu hapa hapa duniani

 3. #77
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Hivyo ndivyo vinavyowaumiza wapinzani wake.

  Huyu Nambalapala, hawezi kukimbia kitu alichokianzisha mwenyewe. Ameingia hapa akaweza uzi, lakini mashambulizi yalipokuwa makali ameamua kuufuta. Akaweka vijineno hivyo hapo juu vyenye rangi nyekundu.

  Nimeamua kuurejesha ili kulinda heshima ya jukwaa.

  Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara.

  Katika taarifa hizo, Madafa amepewa sifa mbaya ambazo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kujinasibisha nazo. Kwamba, Madafa ni muuaji na mtesaji wakimpachika sifa ambazo hapo awali alipachikwa aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TISS, Jack Zoka hasa baada ya tukio la kutekwa na kuumizwa Dr Steven Ulimboka. Hata hivyo kwenye taarifa hizo, akina Kipara Bonge na genge lake wameshindwa kuthibitisha juu ya sifa hizo.

  Kutokana na taarifa hiyo, nimelazimika kuwasiliana na wadau wangu ambao wapo ndani ya Idara hiyo. Lengo langu ni kutaka kufahamu uhalisia wa hizo sifa ambazo amevikwa George Madafa kama anaishi nazo.

  Kwa hakika wadau wote niliowasiliana nao wamenithibitishia bila chembe ya shaka kwamba Madafa ni muadilifu na ni mchapa kazi mkubwa. Mdau mmoja ambaye amesoma pamoja na Madafa shule ya Sekondari ameniambia kuwa Madafa ana moyo wa huruma na asiyependa kudhulumu haki za watu. Kwamba, Madafa ni mtu ambaye anathamini kazi za wenzake na anawatakia mema. Pia shuhuda mwingine ndani ya Idara hiyo amenidokeza kuwa Madafa ni mtu anayejali taaluma ya mtu na anathamini sana kazi za watu.

  Wadau wangu wamenidokeza kuwa, Baada ya Madafa KUTEULIWA KUWA Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu, mtu mmoja ambaye anatambulika kama Kipara Bonge na ambaye pia ni Ngosha, Duma na KISIKI, alianza kuandika mada za kumchafua Madafa.

  Uchafuzi huo ulikuwa una malengo mawili, kwanza ni kuharibu sifa njema alizonazo Madafa ndani ya Idara hiyo ili waliompa nafasi ya kukaimu wasiwe na fikra ya kumteua kushika nafasi hiyo. Lengo la pili ni kumdisclose kwenye public ili wapinzani wa Zoka waelekeze mapambano yao kwa Madafa.

  Ndivyo inavyojitokeza ambapo kwa hivi sasa kuna mada kadhaa zinaanzishwa kwenye mtandao huu zenye lengo la kumhusisha na matendo kadhaa ikiwa ni pamoja na kudhoofisha wapinzani.

  Inapoonekana ni Kwamba Kipara Bonge ana mtu wake ambaye ndiye chaguo lake lakini kwa bahati mbaya mtu huyo hajapewa madaraka hayo. Ndo maana kila kukicha wanajitahidi kumchafua Madafa huku wakiamini kuwa aliyefanya maamuzi hayo anaweza kuyabatilisha.

  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia.
  Damu ya Dr. Mvungi inamlilia huyu Madafa wenu

 4. #78
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  97
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  4

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Story hii inakuja kama maji ya bahari yanavyojinasibu pwani mchangani. Yaani mara maji yanajaa, halafu pwani inapungua mara maji yanakupwa halafu upwa unasambaa, nasi tunapata kulambaza macho mpaka umbali mrefu kiasi, kabla hatujaokota konokono wa kutosha, aah! maji ya bahari yanajaa tena na kufunika upwa.

  Hakika mwenye subra anaye mola, yote yanayofunikwa funikwa hapa yataachwa pwani daima dawamu.

 5. #79
  Member Julius Nyerere's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  47
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Kweli kabisa Mkuu Mahakama ya Kadhi. Kipara na Genge lake wanahangaika sana kumchafua Madafa. Huu ni mpango mkakati ambao bila shaka umeratibiww na kuwadi wa fisadi Mkuu

  Ninyi wote mnajua kuwa mnaomtetea ni Kibaka. Muuaji. Madafa ndiye aliyeshirkiana na Membe kumteka Ulimboka, wakiwa pamoja na RZ 1 na Jack Zoka.

  Haya hata Ulimboka mwenyewe anayafahamu. Acheni kudanganya watu vijana.

 6. #80
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Kuliko Membe, bora nchi ikose Rais,

 7. #81
  Senior Member Winnie Mandela's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  264
  Rep Power
  7
  Likes Received
  20
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  Damu ya Dr. Mvungi inamlilia huyu Madafa wenu
  Sasa kama hata damu ya Dk. Mvungi anahusika nayo, huo uadilifu anaonadiwa nao MADAFA unatoka wapi?

 8. #82
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Songea
  Posts
  25
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  2

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Tatizo la idara yetu hii ni kuchukuana kindugu.Wapo vijana wengi sana nje huku wenye moyo na uzalendo wa kufanya kazi lakini hawapewi nafasi hapo.Ukiwa ni mtoto wa mkubwa ndio unaingizwa huko. WEngine ni failures tu lakini wameingizwa huko nao kujifanya wana usalama.

 9. #83
  Senior Member Mchambawima's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  152
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Ndugu Kubenea, kama haumjui aliyekutesa basi ni Kipara bonge manake inaonekana anajua vizuri issue yako, tazama post zake utagungua kuwa yeye ni mhusika na asitake kuchafua watu wengine kama ambavyo anataka kufanya kwa huyo anayemuita Madafa
  Tunakushukuru Tata Madiba, kwa kujiunga na MF na kuleta uzi huu hapa. Tumeweza kumjua mtesaji wa Kubenea, Kibanda, Ulimboka na wale wang'oa kucha wengine. Mungu ashukuriwe.

 10. #84
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  299
  Rep Power
  7
  Likes Received
  6
  Likes Given
  5

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  #Nambalapala na timu yake inaonekana wote ni usalama wa taifa. wamejaribu sana kumtetea Madafa na TISS. kwa jinsi hii hatuna idara ya kusimamia usalama bali idara ya mauaji ya raia na kushirikiana na majambazi. Heko kwa Saed Kubenea unatufanya tunanufaika na vitu vingi sana. MUNGU akujalie maisha Marefu.

 11. #85
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Mwanza
  Posts
  1
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Sasa najaribu kupitia wasifu Wa Huyu George Madafa , kama hivyo ndivyo alivyo kwa mujibu Wa michapo hii si Hatari sana

Page 4 of 4 FirstFirst 1234

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •