Close

Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
Results 51 to 75 of 85
Like Tree34Likes

Thread: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

  Hivyo ndivyo vinavyowaumiza wapinzani wake.

  Huyu Nambalapala, hawezi kukimbia kitu alichokianzisha mwenyewe. Ameingia hapa akaweza uzi, lakini mashambulizi yalipokuwa makali ameamua kuufuta. Akaweka vijineno hivyo hapo juu vyenye rangi nyekundu.

  Nimeamua kuurejesha ili kulinda heshima ya jukwaa.

  Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara.

  Katika taarifa hizo, Madafa amepewa sifa mbaya ambazo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kujinasibisha nazo. Kwamba, Madafa ni muuaji na mtesaji wakimpachika sifa ambazo hapo awali alipachikwa aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TISS, Jack Zoka hasa baada ya tukio la kutekwa na kuumizwa Dr Steven Ulimboka. Hata hivyo kwenye taarifa hizo, akina Kipara Bonge na genge lake wameshindwa kuthibitisha juu ya sifa hizo.

  Kutokana na taarifa hiyo, nimelazimika kuwasiliana na wadau wangu ambao wapo ndani ya Idara hiyo. Lengo langu ni kutaka kufahamu uhalisia wa hizo sifa ambazo amevikwa George Madafa kama anaishi nazo.

  Kwa hakika wadau wote niliowasiliana nao wamenithibitishia bila chembe ya shaka kwamba Madafa ni muadilifu na ni mchapa kazi mkubwa. Mdau mmoja ambaye amesoma pamoja na Madafa shule ya Sekondari ameniambia kuwa Madafa ana moyo wa huruma na asiyependa kudhulumu haki za watu. Kwamba, Madafa ni mtu ambaye anathamini kazi za wenzake na anawatakia mema. Pia shuhuda mwingine ndani ya Idara hiyo amenidokeza kuwa Madafa ni mtu anayejali taaluma ya mtu na anathamini sana kazi za watu.

  Wadau wangu wamenidokeza kuwa, Baada ya Madafa KUTEULIWA KUWA Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu, mtu mmoja ambaye anatambulika kama Kipara Bonge na ambaye pia ni Ngosha, Duma na KISIKI, alianza kuandika mada za kumchafua Madafa.

  Uchafuzi huo ulikuwa una malengo mawili, kwanza ni kuharibu sifa njema alizonazo Madafa ndani ya Idara hiyo ili waliompa nafasi ya kukaimu wasiwe na fikra ya kumteua kushika nafasi hiyo. Lengo la pili ni kumdisclose kwenye public ili wapinzani wa Zoka waelekeze mapambano yao kwa Madafa.

  Ndivyo inavyojitokeza ambapo kwa hivi sasa kuna mada kadhaa zinaanzishwa kwenye mtandao huu zenye lengo la kumhusisha na matendo kadhaa ikiwa ni pamoja na kudhoofisha wapinzani.

  Inapoonekana ni Kwamba Kipara Bonge ana mtu wake ambaye ndiye chaguo lake lakini kwa bahati mbaya mtu huyo hajapewa madaraka hayo. Ndo maana kila kukicha wanajitahidi kumchafua Madafa huku wakiamini kuwa aliyefanya maamuzi hayo anaweza kuyabatilisha.

  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia.
  Last edited by Kubenea; 27-08-2014 at 22:21.

 2. #51
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Sina muda wa kujibizana na nyang'au wewe
  IMEKUUMA EH EH? NA BADO

 3. #52
  Senior Member Winnie Mandela's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  264
  Rep Power
  7
  Likes Received
  20
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by KISIKI View Post
  Movie inaanza kunoga, vijibwa vya muuaji Membe mtakoma.
  Kama mnawajua wauaji, ni lazima waanikwe. Tusisubiri kumaliza wengine. Nimeambiwa Kibanda yuko mbioni naye kuingiaa hapa mtandaoni, kuanika watesaji wake hasa baada ya ninyi kumtaka kufanya hivyo.

  Hongera Kubenea kutuanzishia jukwaa hili huru.
  KISIKI and Mukaruka like this.

 4. #53
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Hakuna msafi hata mmoja ndani ya ccm, wote wameoza.
  KISIKI and Mukaruka like this.

 5. #54
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  KISIKI, afadhali umekuja. Wasaidie nduguzo Kipara Bonge na Ngosha ambao ni wewe huyo. Umemwaga pumba weeeee sasa umeamua kuja na ID ya KISIKI. Sijui kisiki cha Mpingo au mnazi. Taarifa juu ya Kibanda ilishatolewa na MCT na CHADEMA hawawezi kukwepa kuhusika na tukio lile. Kisa ni baada ya kuacha kufanya kazi kwenye gazeti la Mbowe na kuhamia Mtanzania. Mbowe anajua kuwa Kibanda amemtumia kwenye mikakati mingi ya kijinga. Hivyo kitendo cha kwenda Mtanzania, kwa Fisadi Lowasa kilikuwa ni tishio kwa Mbowe hivyo alipanga kummaliza. Ukumbuke kuwa Tanzania Daima licha ya kumilikiwa na Mbowe lakini linafanya kazi za CHADEMA
  Wewe chinga kama umejiridhisha kuwa mimi ndiyo Kipara bonge,Ngosha na kuwa mimi ni shushushu basi umefeli, na hata hao wanaokulipa mshahara ni vilaza kwa kuamini kuwa unauwezo wa kuwafanyia kazi kwa weledi.Naililia sana nchi yangu kwa kodi zetu kuliwa na vilaza kama wewe na mabosi wako.Umefeli kunitambua na kamwe hautanitambua

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Mimibaba View Post
  IMEKUUMA EH EH? NA BADO
  Vijibwa vya muuaji Membe vimeishiwa pumzi vinapumua matusi tu sasa, na bado game ndiyo linaanza, wauaji waanikwe tu maana tumechoka.

 6. #55
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kubenea View Post

  Msijaribu kuficha ukweli. Kama mmeamua kuanikana, basi ni vema mseme ukweli wote na daima ukweli utawaacha huru. Namfahamu Kibanda. Ni rafiki yangu sana. Anawajua watesaji wake. Anawajua waliopanga kuangamiza maisha yake. Anawajua.

  Akiwa hospitari ya taifa (MN), tena akiwa katika wakati mgumu wa kuokoa maisha yake, Kibanda alieleza waliokuwa karibu yake nani anahisi amemteka. Baadaye amerejea maneno hayo akiwa amepata nafuu nchini Afrika Kusini.

  Kibanda anajua kuwa Mbowe siyo miongoni mwa wanatuhumiwa wake. Hivyo basi, kujaribu kutaka kumuingiza Mbowe katika jambo hili, ni kutaka kuficha ukweli. Tunatarajia KIPARA Bonge kwa kuwa ameamua kuwa mzalendo atalisaidia taifa lake kuanika watekaji na watesaji wa Kibanda.
  Mkuu Kubenea, jukwaa linaanza kukomaa, na siku si nyingi tutamtoa nyoka pangoni, wamezoea hawa kufanya mauji na kutesa watu kisha kusingizia watu wasiokuwa na hatia. Siku zote mwisho wa ubaya nia aibu.

 7. #56
  Super Moderator Kubenea's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  710
  Rep Power
  10
  Likes Received
  193
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  [QUOTE=Nambalapala;21423]Kubenea, sasa naanza kufahamu kuwa mnashirikiana na Kipara Bonge katika uovu. Unasema kuwa Kibanda ni Rafiki yako sana. Pia umesema kuwa akiwa Hospitali ya Rufaa na kule Afrika ya kusini, Kibanda alitaja majina ambayo anahisi kuwa ni watekaji na watesaji wake. Hayo maneno Kibanda alinukuliwa na nani? Na je hao waliomtesa ni akina nani? Kwa nini Kubenea utegemee uzalendo wa Kipara Bonge kuanika majina hayo? Ina maana wewe si mzalendo? Na una hakika gani kama Kipara Bonge anajua majina ya watekaji na watesaji wa Kibanda? T[COLOR="#B22222"][SIZE=4]ukisema kuwa mateso ya kibanda ni mkakati wa CHADEMA na wewe unahusika tutakuwa tunakosea?Hakika kwa bandiko hili umeonesha kiwango cha chini kabisa cha kujitetea. Umejiweka kwenye njia ambayo hata ufanyeje huwezi kujinasua na janga hili.

  - - - Updated - - -

  Najua tu kuwa Kipara Bonge una mahusiano na Kubenea kwa vile ni dakika 10 tu tangu aliposema kuwa wewe Kipara Bonge utakuja kuanika majina ya watekaji na watesaji wa Kibanda. Nilisema toka mwanzo kuwa Kipara Bonge ana mahusiano ya moja kwa moja na Kubenea. Ndivyo ilivyo. Amempigia simu au amekaa naye jirani kamweleza kuwa kuna hoja inapaswa aijibu.

  Halafu wewe Kipara Bonge, kila kitu unasema kuwa unajua? Ni mtu gani wewe unayejifanya ni Mungu? Kila kitu unasema kuwa utaweka hadharani halafu unaishia hapo. Kama si uongo ni kitu gani? Najua unamfurahisha bosi wako kubenea ndo maana unajifanya unajua kila kitu al mradi tu mkono uende kinywani. [QUOTE=

  [B] NAMBALAPALA:[/B]. Nilishasema pale awali, kila mjadala huu unavyozidi, ndivyo ukweli unavyojidhirisha. Nimeona juhudi zako za kutaka kunihamisha katika mjadala baada ya kusema Kibanda ni rafiki yangu na kuna mambo aliyesema pale NM. Nataka nikuambie hivi: Ni juha tu, anaweza kusikiliza maneno ya kupika kwamba Kubenea alishiriki kumteka Kibanda.

  Hapa nakuwekea andishi la Kibanda aliloandika wiki iliyopita katika mtandao mmoja wa kijamii. Soma kwa makini, kisha tafakari. Baadaye nitaendelea kujibizana na wewe. Kama kuna maswali niulize.

  Akiandika katika mtandao wa kijamii, Kibanda anasema ifuatayo:

  Ludo (Joseph Ludovick Rwezaula), unamzungumzia Mungu yupi anayekupa jeuri ya kuumiza watu; kutishia kuchafua wengine, kusaliti watu mliopanga njama za mauaji ‎na utekaji?

  Huyo unayemuona na kumtaja kuwa Mungu wako ni Ibilisi. Wewe una roho ya Yuda Iskariote‎. Unacheza na maisha na uhai wa watu halafu unataka utakatifu?

  Kama si wewe, kuna watu wasingekuwa wamemwagiwa tindikali na kuumizwa. Kama si wewe kuna watu wasingekuwa na kesi mahakamani leo. Unakuja kwa mfano wa Malaika wa Nuru ilhali ukiwa umebeba ushetani!

  Tena bila hofu unataja jina la Mungu. Umekwenda hadi kuifukua hiyo unayoiita ripoti ukijifanya unalenga kujisafisha, ilhali lengo lako likiwa la hatari zaidi. Subiri, utajinyonga kwa kamba yako mwenyewe.

  Usihadae watu hapa kwamba eti unaumia ilhali ukiwa tayari kufanya ushetani wako hadharani. Ni bahati mbaya sana kwamba tuna vyombo vya dola vinavyolinda uhalifu na kutumia mawakala wa uhalifu wa aina ya Ludo.

  Sisi katika Jukwaa la Wahariri, tayari tunajua kinachoendelea. Hata wanaodhani kwamba wamejificha hawajulikani wanachokifanya tunawajua na tunazitambua nafasi zao.

  Imani yangu inanifundisha kuamini kwamba huwezi kupata jaribu linalozidi uwezo wako wa kuhimili. Kama nimeweza kustahimili hiki kilichonikumba kwa kiwango cha akina Ludo kukifanyia masihara na dhihaka ni dhahiri huu upuuzi wao mpya hautaweza kamwe kutimiza malengo yao ya kishetani.

  Ludovick alitajwa kuhusika na tukio hilo kunatokana na utata wa kauli na mwenendo wake siku ambayo Kibanda alijeruhiwa.
  .
  Mtambalike and KISIKI like this.

 8. #57
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Winnie Mandela View Post
  Kama mnawajua wauaji, ni lazima waanikwe. Tusisubiri kumaliza wengine. Nimeambiwa Kibanda yuko mbioni naye kuingiaa hapa mtandaoni, kuanika watesaji wake hasa baada ya ninyi kumtaka kufanya hivyo. Hongera Kubenea kutuanzishia jukwaa hili huru.
  Huyu George Madafa ndiye aliyeteuliwa juzi juzi kuwa mkurugenzi wa IT wa usalama wa taifa. Hivi sasa, anakaimu nafasi ya Jack Zoka aliyestaafu. Kama tulidhani Zoka ni mtu mbaya, huyu Madafa ni mbaya mara elfu moja.

  Haya ni maneno mazito sana. Kama tungekuwa na vyombo vya dola thabiti, yangefanyiwa kazi.

 9. #58
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  251
  Rep Power
  7
  Likes Received
  43
  Likes Given
  2

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Huu mjadala mtamu sana. Hakika umewatoa pangoni nyoka na sasa wanajiumbua wenyewe. Ni lazima nyie mnaojiita maafisa usalama muelewe kwamba hiyo kazi mliyopewa ni dhamana. Ifanyeni kwa haki. Usalama wa taifa hautakiwi kuendena na kuuwa watu. Hivi kweli mnafikiri mnaweza kumwaga damu za watu halafu ndugu zao wakanyamaza? Mnafikiri mnaweza kudhulumu haki za watu halafu wakanyamaza kweli?
  Hata wewe Madafa unafikiri fitina unazopiga maafisa wenzako hawatakuja kukujua kweli? Sasa wamekujua na unaumbuka. Nakueleleza utafata nyayo za hao hao uliowapiga fitina. Iko siku utapiga goti kwa kina Mhagama na wengine uliowafitini. Ubaya mwisho wake ni aibu. Yuko wapi Ferdinand Msepa licha ya kuona kazi ya usalama ndiyo kafika, sasa hivi ni kichaa, damu za aliowaumiza zinamlilia. Tena mlitaka kumtosa lakini baada ya kutishwa mkaona haya.

 10. #59
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Hapo Ada Estate kuna misamiati mipya ,Ukatitli unaitwa uadilifu,fitina inaitwa uchapa kazi na majungu yanaitwa usiri.Wale wazee wa Enzi za SB wanasikitika jinsi misingi waliyoiweka ilivyovunjwa na hawa vilaza.
  Mimibaba likes this.

 11. #60
  Junior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  16
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  KISIKI na wengine ekeni mambo wazi sisi raia wa kawaida tujue kama wanaotulinda ndo wanaotuua mnapo andika uvupisho wa majina sisi wengine hatuelewi kueni huru au mnaogopa mnatumika kueni huru kama mwanahalisi

 12. #61
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  CCM DAIMA kipi hujaelewa mdogo wangu?

 13. #62
  Senior Member Malaria Sugu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Location
  Mujini
  Posts
  2,295
  Rep Power
  9
  Likes Received
  169
  Likes Given
  29

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  [QUOTE=Kubenea;21447][QUOTE=Nambalapala;21423]Kubenea, sasa naanza kufahamu kuwa mnashirikiana na Kipara Bonge katika uovu. Unasema kuwa Kibanda ni Rafiki yako sana. Pia umesema kuwa akiwa Hospitali ya Rufaa na kule Afrika ya kusini, Kibanda alitaja majina ambayo anahisi kuwa ni watekaji na watesaji wake. Hayo maneno Kibanda alinukuliwa na nani? Na je hao waliomtesa ni akina nani? Kwa nini Kubenea utegemee uzalendo wa Kipara Bonge kuanika majina hayo? Ina maana wewe si mzalendo? Na una hakika gani kama Kipara Bonge anajua majina ya watekaji na watesaji wa Kibanda? T[COLOR="#B22222"][SIZE=4]ukisema kuwa mateso ya kibanda ni mkakati wa CHADEMA na wewe unahusika tutakuwa tunakosea?Hakika kwa bandiko hili umeonesha kiwango cha chini kabisa cha kujitetea. Umejiweka kwenye njia ambayo hata ufanyeje huwezi kujinasua na janga hili.

  - - - Updated - - -

  Najua tu kuwa Kipara Bonge una mahusiano na Kubenea kwa vile ni dakika 10 tu tangu aliposema kuwa wewe Kipara Bonge utakuja kuanika majina ya watekaji na watesaji wa Kibanda. Nilisema toka mwanzo kuwa Kipara Bonge ana mahusiano ya moja kwa moja na Kubenea. Ndivyo ilivyo. Amempigia simu au amekaa naye jirani kamweleza kuwa kuna hoja inapaswa aijibu.

  Halafu wewe Kipara Bonge, kila kitu unasema kuwa unajua? Ni mtu gani wewe unayejifanya ni Mungu? Kila kitu unasema kuwa utaweka hadharani halafu unaishia hapo. Kama si uongo ni kitu gani? Najua unamfurahisha bosi wako kubenea ndo maana unajifanya unajua kila kitu al mradi tu mkono uende kinywani.
  Quote Originally Posted by

  [B
  NAMBALAPALA:[/B]. Nilishasema pale awali, kila mjadala huu unavyozidi, ndivyo ukweli unavyojidhirisha. Nimeona juhudi zako za kutaka kunihamisha katika mjadala baada ya kusema Kibanda ni rafiki yangu na kuna mambo aliyesema pale NM. Nataka nikuambie hivi: Ni juha tu, anaweza kusikiliza maneno ya kupika kwamba Kubenea alishiriki kumteka Kibanda.

  Hapa nakuwekea andishi la Kibanda aliloandika wiki iliyopita katika mtandao mmoja wa kijamii. Soma kwa makini, kisha tafakari. Baadaye nitaendelea kujibizana na wewe. Kama kuna maswali niulize.

  Akiandika katika mtandao wa kijamii, Kibanda anasema ifuatayo:

  Ludo (Joseph Ludovick Rwezaula), unamzungumzia Mungu yupi anayekupa jeuri ya kuumiza watu; kutishia kuchafua wengine, kusaliti watu mliopanga njama za mauaji ‎na utekaji?

  Huyo unayemuona na kumtaja kuwa Mungu wako ni Ibilisi. Wewe una roho ya Yuda Iskariote‎. Unacheza na maisha na uhai wa watu halafu unataka utakatifu?

  Kama si wewe, kuna watu wasingekuwa wamemwagiwa tindikali na kuumizwa. Kama si wewe kuna watu wasingekuwa na kesi mahakamani leo. Unakuja kwa mfano wa Malaika wa Nuru ilhali ukiwa umebeba ushetani!

  Tena bila hofu unataja jina la Mungu. Umekwenda hadi kuifukua hiyo unayoiita ripoti ukijifanya unalenga kujisafisha, ilhali lengo lako likiwa la hatari zaidi. Subiri, utajinyonga kwa kamba yako mwenyewe.

  Usihadae watu hapa kwamba eti unaumia ilhali ukiwa tayari kufanya ushetani wako hadharani. Ni bahati mbaya sana kwamba tuna vyombo vya dola vinavyolinda uhalifu na kutumia mawakala wa uhalifu wa aina ya Ludo.

  Sisi katika Jukwaa la Wahariri, tayari tunajua kinachoendelea. Hata wanaodhani kwamba wamejificha hawajulikani wanachokifanya tunawajua na tunazitambua nafasi zao.

  Imani yangu inanifundisha kuamini kwamba huwezi kupata jaribu linalozidi uwezo wako wa kuhimili. Kama nimeweza kustahimili hiki kilichonikumba kwa kiwango cha akina Ludo kukifanyia masihara na dhihaka ni dhahiri huu upuuzi wao mpya hautaweza kamwe kutimiza malengo yao ya kishetani.

  Ludovick alitajwa kuhusika na tukio hilo kunatokana na utata wa kauli na mwenendo wake siku ambayo Kibanda alijeruhiwa.
  .

  KIBANDA ALITWEKA BAADA YA KUHAMA TANZANIA DAIMA. PENGINE LILIKUWA BUSINESS ISSUE

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Winnie Mandela View Post
  Kama mnawajua wauaji, ni lazima waanikwe. Tusisubiri kumaliza wengine. Nimeambiwa Kibanda yuko mbioni naye kuingiaa hapa mtandaoni, kuanika watesaji wake hasa baada ya ninyi kumtaka kufanya hivyo.

  Hongera Kubenea kutuanzishia jukwaa hili huru.
  Kibanda anawajua. Jina la Mh MBOWE halikosekani
  Siasa sio Ugomvi, Siasa ni hoja

 14. #63
  Senior Member Servant's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  177
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Nasikia sasa mko mbioni kutaka kumteka Dk. Slaa na Mbowe ili muweze kupata katiba mpya?

 15. #64
  Senior Member Malaria Sugu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Location
  Mujini
  Posts
  2,295
  Rep Power
  9
  Likes Received
  169
  Likes Given
  29

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  servant

  Wanaweza kujiteka ili wawe promoted kwenye media
  Siasa sio Ugomvi, Siasa ni hoja

 16. #65
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  97
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Hakika haya mambo ni mazito sana. Kipara bonge amwage kila kitu kabla hajauawa. Nina wasiwasi MF kufungiwa. Juhudi zifanyike kuuhifadhi uzi huu. Kakobe aliyatabiri haya kabla ya 2015 watagawanyika.

 17. #66
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Hivi inakuwaje mfanyakazi anakuwa nyoka ofisini na kuanza kung'aka wenzake? mbona kati ya taasisi zinazoogobeka nchini ni pamoja na hiyo ya mashushushu, iweje waishi na watu kama akina kipara bonge? Eti kisa rafiki yake hakupata nafasi? Hiyo ni hatari sana

  Ndani ya usalama wa taifa wana hofu kubwa ya mabadiliko, wanaamini Upinzani ukishika nchi, wengi wa vigogo wa usalama watapelekwa jela. Hawa watu wametenda maovu makubwa. Wameumiza watu wengi sana. Wanahofia unyama waliotendea baadhi ya watu hasa wafuasi wa upinzani.

  Namuomba Mungu anipe uhai niione mwaka 2015. Nataka kushuhudia Madafa na wenzake wakiswekwa gerezani.
  Mukaruka likes this.

 18. #67
  Senior Member Chadema Mpya's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  163
  Rep Power
  7
  Likes Received
  8
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Hivyo ndivyo vinavyowaumiza wapinzani wake.

  Huyu Nambalapala, hawezi kukimbia kitu alichokianzisha mwenyewe. Ameingia hapa akaweza uzi, lakini mashambulizi yalipokuwa makali ameamua kuufuta. Akaweka vijineno hivyo hapo juu vyenye rangi nyekundu.

  Nimeamua kuurejesha ili kulinda heshima ya jukwaa.

  Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara.
  Hongera Supe Mod kwa kutuwekea unafiki wa Nambapalala. Huu uzi ni muhimu ukahifadhiwa kwa faida ya kizazi kijacho. Mjadala wa Madafa umetusaidia sana kuifahamu TISS na washirika wao katika vitendo vya mauwaji.
  KISIKI likes this.

 19. #68
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Tumevikimbiza vijibwa vya membe vimeingia mitini.

 20. 28-08-2014, 19:00

  Senior Member

 21. #69
  Senior Member Wagagagigikoko's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  127
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kipara Bonge View Post
  Huyu George Madafa ndiye aliyeteuliwa juzi juzi kuwa mkurugenzi wa IT wa usalama wa taifa. Hivi sasa, anakaimu nafasi ya Jack Zoka aliyestaafu. Kama tulidhani Zoka ni mtu mbaya, huyu Madafa ni mbaya mara elfu moja.

  Haya ni maneno mazito sana. Kama tungekuwa na vyombo vya dola thabiti, yangefanyiwa kazi.
  NINYI WATU WA TISS MSITUHARIBIE NCHI YETU. KAMA MMEZIKANA HUKO, SUBIRINI MKWERE AMALIZE KIPINDI CHAKE CHA URAIS ILI MUSHIKANE ADABU.

 22. #70
  Senior Member Cannibal OX's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Location
  Iron Galaxy
  Posts
  422
  Rep Power
  7
  Likes Received
  26
  Likes Given
  30

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  the battle of unseen personality

 23. #71
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  25
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  [QUOTE=Nambalapala;21402]Mkuu Uwemba 1. Najua umeungana na Bonge si kwa mantiki ya hoja bali kutokana na kushabihiana itikadi zenu za kisiasa. Kipara Bonge yupo ndani ya TISS na ni swahiba mkubwa sana wa kubenea. Wameshirikiana na kubenea kuanzisha mtandao huu na huyu ameajiriwa na kubenea na analipwa kwa kazi yake hiyo. Ila kuna kitu anakosa. Taarifa anazoleta ni za kusadikika na za jumla. Hana ajualo ila kww vile anapaswa kumridhisha bosi wake kuwa anafanya kazi, ndo maana anatengeneza stiry na kusema kuwa taarifa kamili atazitoa siku nyingine. Huyo ndo Kipara bana. Al mradi mkono uende kinywani

  i kwa nini mlimshambulia kubenea?. na kama kazi yenu ni kulinda uhai wa taifa kwa nini muanze kulumbana kama hamjapoteza maadili yenu?. kuwa kipara bonge ni mwenzenu haikataliki lakini maadam mmeamua kutumika kisiasa laana za kutelekeza taifa zinawakumba. Bila kujali nani mbaya na nani mzuri lakini ni aibu sana kwa vyombo vya usalama kutumikia wanasiasa!

 24. #72
  Senior Member Chadema Mpya's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  163
  Rep Power
  7
  Likes Received
  8
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Madafa, ni mchapa kazi. Teheee..

 25. #73
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Nambalapala ule mradi wa kuwanunua wajumbe 19 wa CUF mumefikia wapi? Kumbe uchapa kazi wenyewe unaozungumzia ndiyo hii karata tatu mnayojaribu kucheza, poleni sana imekula kwenu.

 26. #74
  Super Moderator Kubenea's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  710
  Rep Power
  10
  Likes Received
  193
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  [QUOTE=JOHN MTANGOO;21653]
  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mkuu Uwemba 1. Najua umeungana na Bonge si kwa mantiki ya hoja bali kutokana na kushabihiana itikadi zenu za kisiasa. Kipara Bonge yupo ndani ya TISS na ni swahiba mkubwa sana wa kubenea. Wameshirikiana na kubenea kuanzisha mtandao huu na huyu ameajiriwa na kubenea na analipwa kwa kazi yake hiyo. Ila kuna kitu anakosa. Taarifa anazoleta ni za kusadikika na za jumla. Hana ajualo ila kww vile anapaswa kumridhisha bosi wake kuwa anafanya kazi, ndo maana anatengeneza stiry na kusema kuwa taarifa kamili atazitoa siku nyingine. Huyo ndo Kipara bana. Al mradi mkono uende kinywani

  Kwa nini mlimshambulia kubenea?. na kama kazi yenu ni kulinda uhai wa taifa kwa nini muanze kulumbana kama hamjapoteza maadili yenu?. kuwa kipara bonge ni mwenzenu haikataliki lakini maadam mmeamua kutumika kisiasa laana za kutelekeza taifa zinawakumba. Bila kujali nani mbaya na nani mzuri lakini ni aibu sana kwa vyombo vya usalama kutumikia wanasiasa!

  Haya makubwa!

 27. #75
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  32
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  6

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Bernard Membe ndiye anataka kuwa RAIS wa nchi??? si atauwa wengi sasa. Ama kweli ndani ya CCM hakuna msafi.

Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •