Close

Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
Results 26 to 50 of 85
Like Tree34Likes

Thread: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

  Hivyo ndivyo vinavyowaumiza wapinzani wake.

  Huyu Nambalapala, hawezi kukimbia kitu alichokianzisha mwenyewe. Ameingia hapa akaweza uzi, lakini mashambulizi yalipokuwa makali ameamua kuufuta. Akaweka vijineno hivyo hapo juu vyenye rangi nyekundu.

  Nimeamua kuurejesha ili kulinda heshima ya jukwaa.

  Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara.

  Katika taarifa hizo, Madafa amepewa sifa mbaya ambazo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kujinasibisha nazo. Kwamba, Madafa ni muuaji na mtesaji wakimpachika sifa ambazo hapo awali alipachikwa aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TISS, Jack Zoka hasa baada ya tukio la kutekwa na kuumizwa Dr Steven Ulimboka. Hata hivyo kwenye taarifa hizo, akina Kipara Bonge na genge lake wameshindwa kuthibitisha juu ya sifa hizo.

  Kutokana na taarifa hiyo, nimelazimika kuwasiliana na wadau wangu ambao wapo ndani ya Idara hiyo. Lengo langu ni kutaka kufahamu uhalisia wa hizo sifa ambazo amevikwa George Madafa kama anaishi nazo.

  Kwa hakika wadau wote niliowasiliana nao wamenithibitishia bila chembe ya shaka kwamba Madafa ni muadilifu na ni mchapa kazi mkubwa. Mdau mmoja ambaye amesoma pamoja na Madafa shule ya Sekondari ameniambia kuwa Madafa ana moyo wa huruma na asiyependa kudhulumu haki za watu. Kwamba, Madafa ni mtu ambaye anathamini kazi za wenzake na anawatakia mema. Pia shuhuda mwingine ndani ya Idara hiyo amenidokeza kuwa Madafa ni mtu anayejali taaluma ya mtu na anathamini sana kazi za watu.

  Wadau wangu wamenidokeza kuwa, Baada ya Madafa KUTEULIWA KUWA Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu, mtu mmoja ambaye anatambulika kama Kipara Bonge na ambaye pia ni Ngosha, Duma na KISIKI, alianza kuandika mada za kumchafua Madafa.

  Uchafuzi huo ulikuwa una malengo mawili, kwanza ni kuharibu sifa njema alizonazo Madafa ndani ya Idara hiyo ili waliompa nafasi ya kukaimu wasiwe na fikra ya kumteua kushika nafasi hiyo. Lengo la pili ni kumdisclose kwenye public ili wapinzani wa Zoka waelekeze mapambano yao kwa Madafa.

  Ndivyo inavyojitokeza ambapo kwa hivi sasa kuna mada kadhaa zinaanzishwa kwenye mtandao huu zenye lengo la kumhusisha na matendo kadhaa ikiwa ni pamoja na kudhoofisha wapinzani.

  Inapoonekana ni Kwamba Kipara Bonge ana mtu wake ambaye ndiye chaguo lake lakini kwa bahati mbaya mtu huyo hajapewa madaraka hayo. Ndo maana kila kukicha wanajitahidi kumchafua Madafa huku wakiamini kuwa aliyefanya maamuzi hayo anaweza kuyabatilisha.

  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia.
  Last edited by Kubenea; 27-08-2014 at 22:21.

 2. #26
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Kubenea unajichekesha kweli. Huyu Kipara Bonge anaripoti kwako. Na connection yake ni kwamba Kipara Bonge ni mfuasi wa CHADEMA ndani ya TISS na wewe Kubenea ni Mshauri wa CHADEMA kwenye masuala ya kisiasa na kiusalama. Hivyo haishangai Kipara Bonge kutunga uongo na wewe kuushabikia

  - - - Updated - - -

  Halafu yaonekana Kipara Bonge anafanya jitihada kweli za kuwachonganisha Madafa na Othman. Anajua kuwa kama Othman atakosa imani naye malengo yake yatatimia. Nakuambia wewe Kipara Bonge kwamba, mahusiano ya Othman na Madafa ni katika kazi tu. Najua upo kwenye moja ya kitengo ambacho kipo karibu na Othman na najua kuwa unamshauri vinginevyo huyo boss wako kuhusu Madafa. Kumbuka hiyo kazi unayofanya haina maslahi kwako na soon utaumbuka

  - - - Updated - - -  Ni kweli Mkuu. Hana ajualo. Sana sana amefanikiwa kujua tu kuwa Madafa ni nani na mazingira ya kazi yaliyomzunguka ni yepi
  Bwana Nambalapala, unasema Kipara bonge anafanya mojawapo ya vitengo vya karibu na Othman? Aisee kwa hiyo jamaa anang'ata na kupuliza siyo? Othman kazi unayo. Anatengeneza uzushi kwa sababu tu yuko jikoni utaonekana ni wa kweli na kuipeleka kwa kubenea? Hiyo ni noma na itawagharimu sana mashushushu wakiwndelea kukaa na ndumila kuwili kama Kipara bonge. Sjui Kubenea atakuwa anampa mlungula kiasi gani?

 3. #27
  Senior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  321
  Rep Power
  6
  Likes Received
  12
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Pesa ilimuua mfalme wa dunia, yesu kristo. Hatutashangaa kusikia kuwa ndani ya idara nyeti kama ya Usama wa Taifa kuna watu kama Kipara Bonge. Ni juzi tu tumeshuhudia shushushu wao mmoja akipandishwa kizimbani tena akiwa hoi bin taaban kwa kosa la kuhusika kwenye ujambazi uliopelekea kibosile wa Idara hiyo kuuwawa maeneo ya Airport. Ila jambo la kujiuliza wanakuwa wanajua watu wa aina ya kipara bonge na kuwapuuzia au wanakuwa hawajui? Mbona mambo haya yanatuchanganya sana sisi wananmchi wa kawaida?
  Nambalapala likes this.

 4. #28
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kipara Bonge View Post
  Nimeingia MF na kukutana na mada hii iliyowekwa na huyu kuwadi wa mafisadi na wauaji. Niseme wazi kuwa mimi siyo Kisiki wala Ngosha waliotajwa na mleta mada. Namshauri awatafute hao kina Ngosha na KIsiki. Mimi ni mtu huru, sihusiki na anaowataja.

  Hili la kuwa mimi niko ndani ya Idara, au vinginevyo, nitalieleza wakati mwingine.

  Lakini hizo sifa ulizompa Madafa, nakuapia hana. Hebu muulize yafuatayo:

  Uhusiano wake na Peter Mwakilasa, lile jambazi linalotumiwa na kina Madafa kuendesha mauaji, ni upi? Huyu ndiye yule mmoja kati ya yale majambazi manne yaliyomvamia Kubenea nyumbani kwake kutaka kumdhuru miaka minne iliyopita.

  Anafahamu Msepa - yule afisa usalama aliyekuwa akiendesha genge la wahuni na majambazi kwenye kazi chafu na dhalimu za kumwagia watu tindikali. Hivi sasa yuko Kibaha kwa mganga mmoja wa jadi akitafuta dawa kwa ajili ya anaowaita wabaya wake. Ndugu zake wanaamini amerogwa na Kubenea ndo maana alikuwa akifanyiwa aliyofanyiwa India.

  Anafahamu nini kuhusiana na kifo cha Mzeru, yule afisa usalama aliyeuawa katika mazingira tata? Je, Mohammed Othman alitumwa na nani katika kutekeleza mauaji ya Mzeru?

  Huyu Mzeru ndiye alikuwa mweka fedha mkuu wa Othman. Fedha zinazohifadhiwa na idara yake ni zile ambazo hazipaswi kufanyiwa auditing. Ni fedha maalumu. Ni mfuko huo ndo ambao fedha zake hutumika kuwapoza vigogo wengi wa nchi bila kuacha trace yoyote. Ni mfuko huo ndiyo unatunza fedha za kuhongea watu, hasa wanasiasa.

  Idara yake ina orodha yote ya wahongwaji (hata kina Zitto) na kiasi ambacho kila mmoja anahongwa. Hata orodha ya kina Peter Mwakilasa nayo imo humo.

  Kupitia mfuko wa idara yake, hata michongo fulani ya EPA ilifanyika wakati ule.

  Msipojibu maswali haya, nitakuja kuwaanika.

  Kipala bonge.
  Mbona unakimbia kivuli chako mwenyewe unazungumza habari za kusadikika na kutunga pasipo kuweka bayana chochote cha maana ambacho pengine kingeweza kutufanya tuamini unachoandika lakini unaonekana ni mtu fulani wa kutumiwa na kutumwa kutunga uongo ili kuchafua watu mambo ambayo unapaswa kuyafanya kwenye saluni za kike wakati mnasuka nywele na wenzako.
  Nambalapala likes this.

 5. #29
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by BOENG370MALASYA View Post
  Pesa ilimuua mfalme wa dunia, yesu kristo. Hatutashangaa kusikia kuwa ndani ya idara nyeti kama ya Usama wa Taifa kuna watu kama Kipara Bonge. Ni juzi tu tumeshuhudia shushushu wao mmoja akipandishwa kizimbani tena akiwa hoi bin taaban kwa kosa la kuhusika kwenye ujambazi uliopelekea kibosile wa Idara hiyo kuuwawa maeneo ya Airport. Ila jambo la kujiuliza wanakuwa wanajua watu wa aina ya kipara bonge na kuwapuuzia au wanakuwa hawajui? Mbona mambo haya yanatuchanganya sana sisi wananmchi wa kawaida?
  Mkuu umeongea vema mimi nadhani ndani ya usalama wa taifa wanakazi moja tu ya kuwajua watu kama kipara bonge ambao inawezekana waliingia idarani kwa bahati mbaya yawezekana kwa sababu ya wazee wao walikuwepo idarani au mabaya yake hayakuonekana hapo awali ni vema sasa kuwabaini ni kuwatoa kwenye chombo hiki muhimu ambacho tunakitegemea pia siyo kuwatoa tu kwani inaonekana kipara bonge anafahamiana vema na makundi mengi ya kiharifu paia anafahamu mtandao mzima wa uhalifu ndani ya idara hiyo pengine hata yeye ni jambazi namba moja wakijua haya yote wamuuwe tu basi habari yake iishie hapo.

  - - - Updated - - -

  Kila siku tunasikia usalama wa taifa wako na ile adhabu yao ya kuuwana kwanini watu kama kipara bonge wasiwauwe kwa maneno ya kipara bonge inaonekana anamfahamu vema kazembe yule jambazi ni wazi kuwa wanafanya naye huo ujambazi dawa hapa ni kuwauwa vinginevyo watawachafua mpaka basi.
  Nambalapala likes this.

 6. #30
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  84
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Hata mtoa mada nawe ni wa Idara sema kisiasa upo kambi ile nyingine. Binafsi nayachukulia kwa uzito yale asemayo Bonge maana yanaendana na ukweli. Ila kutuambia tu anawivu kwa kuwa sijui nani hajateuliwa bila kutuambia huyo aliyepaswa kuteuliwa, pia utuambie ni nani kwa Bonge kiasi apate shida. Unaposhindwa haya na kuleta story za kufikirika binafsi napata picha moja tu, wewe unatumika kusafisha yasiyosafishika. Suala la kuua watu na kuwasaidia mafisadi lipo wazi ndio kazi ya TISS kwa sasa, ingawa wapo wasiokubaliana na mambo yanavyoenda huko. Na hii ipo hata huku mitaani wapo wanaofurahia serikali inavyowafanyia wapinzani na kuwaneemesha wateule na wasiokubaliana na hayo pia.

  - - - Updated - - -

  Mtoa mada upo TISS kambi ya Lowasa haihitaji tochi kulijua hilo.

  - - - Updated - - -

  Mtoa mada upo TISS kambi ya Lowasa haihitaji tochi kulijua hilo.

 7. #31
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Mkuu Uwemba 1. Najua umeungana na Bonge si kwa mantiki ya hoja bali kutokana na kushabihiana itikadi zenu za kisiasa. Kipara Bonge yupo ndani ya TISS na ni swahiba mkubwa sana wa kubenea. Wameshirikiana na kubenea kuanzisha mtandao huu na huyu ameajiriwa na kubenea na analipwa kwa kazi yake hiyo. Ila kuna kitu anakosa. Taarifa anazoleta ni za kusadikika na za jumla. Hana ajualo ila kww vile anapaswa kumridhisha bosi wake kuwa anafanya kazi, ndo maana anatengeneza stiry na kusema kuwa taarifa kamili atazitoa siku nyingine. Huyo ndo Kipara bana. Al mradi mkono uende kinywani

  Kuhusu madai kuwa na mimi nipo TISS huo ni mtazamo wako. Mimi ni mwandishi wa habari na ndo maana kazi ninazofanya zinazingatia misingi yote ya uandishi ikiwa ni pamoja na kudisclose source. Huyu Kipara Bonge kama ni Afisa basi Idara imepata hasara

 8. #32
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  251
  Rep Power
  7
  Likes Received
  43
  Likes Given
  2

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Ama kweli mfa maji haishi kutapatapa. Nikisoma namna Madafa unavyojitetea kupitia kijana uzi uliomtuma kijana wako Nampalapala, nacheka sana. Eti wewe siyo muuaji wakati nakumbuka ulikuwa ukimshinikiza Jack Zoka wakati ule kutekeleza na kuhakikisha Kubenea anauwawa. Kumbuka moja ya maazimio ya kikao cha wakurugenzi wa TISS ambapo wewe ulikuwa karani. Kumbuka katika kikao kingine cha wakurugenzi kilipoazimia kina Mnyika wapewe sumu wafe, baada ya hapo ukakaa na Zoka na kumshawishi atumie watu wako kutekeleza ufedhuli huo. Hakika damu za watu wengi zitaendelea kukulia huko ziliko.
  Binafsi nimeongea na watu wawili tu ambao wamenipa profile ya Madafa: Wa kwanza ni kigogo wa PSU na wapili ni kigogo mmoja aliyewahi kuwa mwandishi wa Kikwete kabla ya kupelekwa kuwa katibu mkuu wa wizara moja. Huyu wa pili ni intake yako Madafa mlipokuwa kwenye chuo cha usalama wa taifa. Wote hawa wamenithibitishia ufedhuli wa Madafa kwamba tuhuma zote unazopewa ni sahihi na kwamba sifa zilizoandikwa hapa kwamba unajali taaluma za watu hi UONGO
  KISIKI likes this.

 9. #33
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Ngosha aka Kipara Bonge, inaonekana ni kwa namna gani umedhamiria kumchafua Madafa kwa kumhusisha na matukio mengi mabaya. Hii ni hatari sana na ukumbuke dhambi ya kusema uongo haina toba kwa Mwenyezi Mungu mpaka umwambie yule uliyemzulia. Hakika moto wa Jehannam unakungoja ambapo utalia na kusaga meno kwa uongo huu. Natoa ushauri wa bure kwako kuwa omba radhi kupitia uzi huu na Mungu atakusamehe. Kumbuka si kila anayeandika mema ya mtu si lazima amtume. Wengine tunakerwa na hii tabia ya kutunga uongo kwa madhumuni ya kumchafua. Hakika nitaendelea kuandika kweli daima na wewe endelea namkuandika uongo. Mwisho wa siku ukweli ndo unaibuka mshindi

 10. #34
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Ngosha View Post
  Ama kweli mfa maji haishi kutapatapa. Nikisoma namna Madafa unavyojitetea kupitia kijana uzi uliomtuma kijana wako Nampalapala, nacheka sana. Eti wewe siyo muuaji wakati nakumbuka ulikuwa ukimshinikiza Jack Zoka wakati ule kutekeleza na kuhakikisha Kubenea anauwawa. Kumbuka moja ya maazimio ya kikao cha wakurugenzi wa TISS ambapo wewe ulikuwa karani. Kumbuka katika kikao kingine cha wakurugenzi kilipoazimia kina Mnyika wapewe sumu wafe, baada ya hapo ukakaa na Zoka na kumshawishi atumie watu wako kutekeleza ufedhuli huo. Hakika damu za watu wengi zitaendelea kukulia huko ziliko.
  Binafsi nimeongea na watu wawili tu ambao wamenipa profile ya Madafa: Wa kwanza ni kigogo wa PSU na wapili ni kigogo mmoja aliyewahi kuwa mwandishi wa Kikwete kabla ya kupelekwa kuwa katibu mkuu wa wizara moja. Huyu wa pili ni intake yako Madafa mlipokuwa kwenye chuo cha usalama wa taifa. Wote hawa wamenithibitishia ufedhuli wa Madafa kwamba tuhuma zote unazopewa ni sahihi na kwamba sifa zilizoandikwa hapa kwamba unajali taaluma za watu hi UONGO
  Huu ni uongo mwingine ambao hata haujapinda ungetwambia wakati madafa anamshinikiza zoka kuuwa walikuwa wapi na kati yao nani alikuwa mkuu wa kuweza kumwagiza mwenzake kwenye kuagiza lazima mdogo huagizwa na mkubwa haya mazingira bado yako kisanii tu kutunga vitu ambavyo hata zubeda hutunga kila siku humu ndani.

  - - - Updated - - -

  Kitu amabcho mimi nafurahi ni kwamba maneno hayatoboi mwili wala hayana sumu wala siyo moto kuwa yataunguza mwili ngosha na kikosi chao cha kumwagia watu tindikali kwani wameacha kazi yao kwani wao ndiyo walimwagia kubenea tindikali ndiyo walimuuwa grace mbowe na ndiyo ilikuwa wakamteke msaki kwenye ule mpango wa lwakatare.
  Nambalapala likes this.

 11. #35
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Ngosha, akili za kuambiwa changanya na zako. Umesema kuwa umeambiwa na vigogo wawili juu ya Madafa ambao wamekuambia masuala yote yanayohusu madafa na umeyaamini. Wamekuambia wewe kama nani na unajua malengo yao? Na je umejiridhisha juu ya yale waliyokuambia na umekubaliana nayo? Kiumbuka msemo wetu kuwa Akili za Kuambia changanya na zako. Usiwe kama msukule ndugu. Unajidhalilisha

 12. #36
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Kikundi cha kuuwa watu mimi najua ni ngosha ambaye ndiye kipara bonge na wenzake watatu wote hutumiwa kuuwa watu.
  Nambalapala likes this.

 13. #37
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Huu ni uongo mwingine ambao hata haujapinda ungetwambia wakati madafa anamshinikiza zoka kuuwa walikuwa wapi na kati yao nani alikuwa mkuu wa kuweza kumwagiza mwenzake kwenye kuagiza lazima mdogo huagizwa na mkubwa haya mazingira bado yako kisanii tu kutunga vitu ambavyo hata zubeda hutunga kila siku humu ndani.

  - - - Updated - - -

  Kitu amabcho mimi nafurahi ni kwamba maneno hayatoboi mwili wala hayana sumu wala siyo moto kuwa yataunguza mwili ngosha na kikosi chao cha kumwagia watu tindikali kwani wameacha kazi yao kwani wao ndiyo walimwagia kubenea tindikali ndiyo walimuuwa grace mbowe na ndiyo ilikuwa wakamteke msaki kwenye ule mpango wa lwakatare.
  Mkuu, umeongea mambo ya msingi sana. Kuna kipindi iliwahi kusemwa bungeni kuwa Tanzania kuna mtambo wa kuzalisha uongo. Huyu Ngosha atakuwa amezalisha kwenye mtambo huo

 14. #38
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Huyu ngosha yeye ndiye anauwa watu halafu anasingizia wengine mburula kweli huyu jamaa huyu atakuwa mchaga siyo nhosha wala nini hakuna ngosha mpumbavu kama yeye ambaye anaweza kutumiwa kirahisi kama anavyodhani.
  Nambalapala likes this.

 15. #39
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Mahakama ya Kadhi, watu kama hawa akina Ngosha ni hatari sana kwa jamii. Yaani wanafanya wao mauaji wanasingizia watu wengine. Huu ni mkakati kama ule wa CHADEMA. Wanajiteka namkujilipua wenyewe halafu wanarudi na kusingizia vyombo vya dola

 16. #40
  Senior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  321
  Rep Power
  6
  Likes Received
  12
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Kikundi cha kuuwa watu mimi najua ni ngosha ambaye ndiye kipara bonge na wenzake watatu wote hutumiwa kuuwa watu.
  Na idara ya usalama wasipoangalia wanaweza kufuga vikundi wasivyovifahamu vinavyotumiwa na maadui wa taifa hili ilimradi tu ionekane ndiyo inayohusika. Huyu Kipara bonge ni wazi yuko TISS lakini kuna kazi zingine anazifanya pasi na viongozi wake kujua, anaweza kuwa kundi moja na yule mwenzao aliyehusika kwenye tukio la kumuua Mzeru

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mahakama ya Kadhi, watu kama hawa akina Ngosha ni hatari sana kwa jamii. Yaani wanafanya wao mauaji wanasingizia watu wengine. Huu ni mkakati kama ule wa CHADEMA. Wanajiteka namkujilipua wenyewe halafu wanarudi na kusingizia vyombo vya dola
  There you are

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Huyu ngosha yeye ndiye anauwa watu halafu anasingizia wengine mburula kweli huyu jamaa huyu atakuwa mchaga siyo nhosha wala nini hakuna ngosha mpumbavu kama yeye ambaye anaweza kutumiwa kirahisi kama anavyodhani.
  Wabaya wa pesa wanatokea kanda hiyo, inawezekana kabisa akawa mchagga, ila pia anaweza kuwa mtu wa Iringa sababu wale nao kama wa aweza kujinyonga kirahisi akipewa dili la kumuuwa mwenzake atashindwa kweli
  Nambalapala likes this.

 17. #41
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mahakama ya Kadhi, watu kama hawa akina Ngosha ni hatari sana kwa jamii. Yaani wanafanya wao mauaji wanasingizia watu wengine. Huu ni mkakati kama ule wa CHADEMA. Wanajiteka namkujilipua wenyewe halafu wanarudi na kusingizia vyombo vya dola
  Wauaji ni nyie kwani nani asiyejua kuwa watesi wa Kibanda walitumwa na bosi wenu Benard Membe?

 18. #42
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  KISIKI, afadhali umekuja. Wasaidie nduguzo Kipara Bonge na Ngosha ambao ni wewe huyo. Umemwaga pumba weeeee sasa umeamua kuja na ID ya KISIKI. Sijui kisiki cha Mpingo au mnazi. Taarifa juu ya Kibanda ilishatolewa na MCT na CHADEMA hawawezi kukwepa kuhusika na tukio lile. Kisa ni baada ya kuacha kufanya kazi kwenye gazeti la Mbowe na kuhamia Mtanzania. Mbowe anajua kuwa Kibanda amemtumia kwenye mikakati mingi ya kijinga. Hivyo kitendo cha kwenda Mtanzania, kwa Fisadi Lowasa kilikuwa ni tishio kwa Mbowe hivyo alipanga kummaliza. Ukumbuke kuwa Tanzania Daima licha ya kumilikiwa na Mbowe lakini linafanya kazi za CHADEMA

 19. #43
  Super Moderator Kubenea's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  710
  Rep Power
  10
  Likes Received
  193
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mkuu Uwemba 1. Najua umeungana na Bonge si kwa mantiki ya hoja bali kutokana na kushabihiana itikadi zenu za kisiasa. Kipara Bonge yupo ndani ya TISS na ni swahiba mkubwa sana wa kubenea. Wameshirikiana na kubenea kuanzisha mtandao huu na huyu ameajiriwa na kubenea na analipwa kwa kazi yake hiyo. Ila kuna kitu anakosa. Taarifa anazoleta ni za kusadikika na za jumla. Hana ajualo ila kww vile anapaswa kumridhisha bosi wake kuwa anafanya kazi, ndo maana anatengeneza stiry na kusema kuwa taarifa kamili atazitoa siku nyingine. Huyo ndo Kipara bana. Al mradi mkono uende kinywani

  Kuhusu madai kuwa na mimi nipo TISS huo ni mtazamo wako. Mimi ni mwandishi wa habari na ndo maana kazi ninazofanya zinazingatia misingi yote ya uandishi ikiwa ni pamoja na kudisclose source. Huyu Kipara Bonge kama ni Afisa basi Idara imepata hasara

  Kila mjadala huu unavyoendelea ndivyo nami ninavyozidi kugundua mengi. Kwa mfano, nimeambiwa kuwa Kipara Bonge ambaye pia anafahamika kwa jina la Ngosha, ndiye aliyenitesa. Lakini papo hapo kumeelezwa kuwa mimi na Kipara Bonge ni marafiki. Kumeelezwa kuwa Kipara Bonge tumeshirikiana kuanzisha mtandao huu.

  Aidha, andishi likasema, Kipara Bonge ni mwajiliwa wa Usalama wa Taifa. Mbele kidogo kukakolezwa: Kipara Bonge analipwa na Kubenea. Sasa kwa mtu makini kama mimi, haya yananithibitihia kile ambacho nimekuwa nikikijua kuhusu watesaji wangu.

  Nashukuru Mungu kwa kupitia jukwaa hili, baadhi yao wameanza kutaja. Mungu ni MWEMA.

 20. #44
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Nambalapala

  Nakutolea uvivu.

  1. Unajadiri sana taarifa za watu ndiyo mwisho wa akili zako

  2. Unajatribu kuihusisha CHADEMA na matukio ya kupanga na genge lenu. Basi yangekuwa ya kweli mbona vyombo vyenu vya dola havijafanya cho chote? Jibu ni kuwa haviwezi kufanya cho chote ilihali wahusika ni nyinyi wenyewe mnajua ukweli. Kama sivyo basi ni wadhaifu sana hamna uwezo wa kufanya lo lote.

  3. Hujitambua kufanya propaganda zinazokushtaki wewe mwenyewe, Kibanda sijui nani kwa nini msijitambue kuwa nyinyi si tawi la siasa za watawala?

  Kwa kweli unadhihirisha jinsi mfumo wa elimu ulivyowanyima elimu; pia unadhihirisha mfumo wa kikanjanja ambao haujikiti kwenye masuala ya nchi na maendeleao umejikita kwenye umbeya hadi Ikulu.

  Kwa wewe, binafsi sitasita kusoma upuuzi wako na kukujibu AHSANTE KWA KUNIPA WIGO NA ZULIA LA KUHOJI UPUUZI WAKO

 21. #45
  Senior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  802
  Rep Power
  6
  Likes Received
  62
  Likes Given
  126

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kubenea View Post

  Kila mjadala huu unavyoendelea ndivyo nami ninavyozidi kugundua mengi. Kwa mfano, nimeambiwa kuwa Kipara Bonge ambaye pia anafahamika kwa jina la Ngosha, ndiye aliyenitesa. Lakini papo hapo kumeelezwa kuwa mimi na Kipara Bonge ni marafiki. Kumeelezwa kuwa Kipara Bonge tumeshirikiana kuanzisha mtandao huu.

  Aidha, andishi likasema, Kipara Bonge ni mwajiliwa wa Usalama wa Taifa. Mbele kidogo kukakolezwa: Kipara Bonge analipwa na Kubenea. Sasa kwa mtu makini kama mimi, haya yananithibitihia kile ambacho nimekuwa nikikijua kuhusu watesaji wangu.

  Nashukuru Mungu kwa kupitia jukwaa hili, baadhi yao wameanza kutaja. Mungu ni MWEMA.
  Mkuu wacha tutiririke ndiyo fursa ya forum huru. Fungua macho waache wajinafasi watachamba hadi mavi mwisho tutafaidika na ubozi wao.

  Nionavyo mimi ni hatua za mwanzo za kulipotosha jamvi hili kutoka hoja za maslahi ya taifa kulekea hoja za TISS na watawala. Poa tu tuendelee ila isije ikawa kama JF.

 22. #46
  Super Moderator Kubenea's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  710
  Rep Power
  10
  Likes Received
  193
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  KISIKI, afadhali umekuja. Wasaidie nduguzo Kipara Bonge na Ngosha ambao ni wewe huyo. Umemwaga pumba weeeee sasa umeamua kuja na ID ya KISIKI. Sijui kisiki cha Mpingo au mnazi. Taarifa juu ya Kibanda ilishatolewa na MCT na CHADEMA hawawezi kukwepa kuhusika na tukio lile. Kisa ni baada ya kuacha kufanya kazi kwenye gazeti la Mbowe na kuhamia Mtanzania. Mbowe anajua kuwa Kibanda amemtumia kwenye mikakati mingi ya kijinga. Hivyo kitendo cha kwenda Mtanzania, kwa Fisadi Lowasa kilikuwa ni tishio kwa Mbowe hivyo alipanga kummaliza. Ukumbuke kuwa Tanzania Daima licha ya kumilikiwa na Mbowe lakini linafanya kazi za CHADEMA

  Msijaribu kuficha ukweli. Kama mmeamua kuanikana, basi ni vema mseme ukweli wote na daima ukweli utawaacha huru. Namfahamu Kibanda. Ni rafiki yangu sana. Anawajua watesaji wake. Anawajua waliopanga kuangamiza maisha yake. Anawajua.

  Akiwa hospitari ya taifa (MN), tena akiwa katika wakati mgumu wa kuokoa maisha yake, Kibanda alieleza waliokuwa karibu yake nani anahisi amemteka. Baadaye amerejea maneno hayo akiwa amepata nafuu nchini Afrika Kusini.

  Kibanda anajua kuwa Mbowe siyo miongoni mwa wanatuhumiwa wake. Hivyo basi, kujaribu kutaka kumuingiza Mbowe katika jambo hili, ni kutaka kuficha ukweli. Tunatarajia KIPARA Bonge kwa kuwa ameamua kuwa mzalendo atalisaidia taifa lake kuanika watekaji na watesaji wa Kibanda.

 23. #47
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Tutawaumbua hao. Huyu Madafa anasema, ripoti ya utesaji wa Kibanda imeshawekwa wazi na MCT? Ipi? Ile siyo ripoti ya uchunguzi; ile ilikuwa ripoti ya waandishi wa habari.

  Ngoja tuje hapa na ripoti kamili ya kuteswa Kibanda. Ndipo mtakapojua bosi wenu Membe kuwa ni muuaji.
  KISIKI and Mtambalike like this.

 24. #48
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Kubenea, sasa naanza kufahamu kuwa mnashirikiana na Kipara Bonge katika uovu. Unasema kuwa Kibanda ni Rafiki yako sana. Pia umesema kuwa akiwa Hospitali ya Rufaa na kule Afrika ya kusini, Kibanda alitaja majina ambayo anahisi kuwa ni watekaji na watesaji wake. Hayo maneno Kibanda alinukuliwa na nani? Na je hao waliomtesa ni akina nani? Kwa nini Kubenea utegemee uzalendo wa Kipara Bonge kuanika majina hayo? Ina maana wewe si mzalendo? Na una hakika gani kama Kipara Bonge anajua majina ya watekaji na watesaji wa Kibanda? Tukisema kuwa mateso ya kibanda ni mkakati wa CHADEMA na wewe unahusika tutakuwa tunakosea? Hakika kwa bandiko hili umeonesha kiwango cha chini kabisa cha kujitetea. Umejiweka kwenye njia ambayo hata ufanyeje huwezi kujinasua na janga hili.

  - - - Updated - - -

  Najua tu kuwa Kipara Bonge una mahusiano na Kubenea kwa vile ni dakika 10 tu tangu aliposema kuwa wewe Kipara Bonge utakuja kuanika majina ya watekaji na watesaji wa Kibanda. Nilisema toka mwanzo kuwa Kipara Bonge ana mahusiano ya moja kwa moja na Kubenea. Ndivyo ilivyo. Amempigia simu au amekaa naye jirani kamweleza kuwa kuna hoja inapaswa aijibu.

  Halafu wewe Kipara Bonge, kila kitu unasema kuwa unajua? Ni mtu gani wewe unayejifanya ni Mungu? Kila kitu unasema kuwa utaweka hadharani halafu unaishia hapo. Kama si uongo ni kitu gani? Najua unamfurahisha bosi wako kubenea ndo maana unajifanya unajua kila kitu al mradi tu mkono uende kinywani

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by Mimibaba View Post
  Mkuu wacha tutiririke ndiyo fursa ya forum huru. Fungua macho waache wajinafasi watachamba hadi mavi mwisho tutafaidika na ubozi wao.

  Nionavyo mimi ni hatua za mwanzo za kulipotosha jamvi hili kutoka hoja za maslahi ya taifa kulekea hoja za TISS na watawala. Poa tu tuendelee ila isije ikawa kama JF.
  Sina muda wa kujibizana na nyang'au wewe

 25. #49
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Kubenea, nakupongeza sana kwa kuchangia mjadala huu na kuujua ukweli kuhusu watekaji wako – Kibanda na Ulimboka.

  Information is power! Tutashinda. Uwezo wa kumshughulikia Madafa na wauaji wenzake wengine, like Zoka ninao. Nia ninayo na sababu zipo lukuki.

  Wote wanaomtetea Madafa, nawaomba wasome haya na wajipange kuyakana, badala ya kurukia hoja dhaifu na ambazo hazina mashiko kuhusu Kubenea.

  Mnakumbukuka Zoka alivyoongezewa mkataba wa mwaka mmoja na Rais Kikwete? Sasa, nawaambia ule ulikuwa mkakati wa Membe ili kumaliza kazi yao ya mauaji ambayo waliianza.

  Zoka alikuwa kaishafungasha mizigo yake anarudi kijini kwake Bunda. Tangazo la Ikulu likamfanya asubiri kidogo.

  Sheria zinataka mtumishi akistaafu, anapoongezewa muda, asipewe majukumu ya madaraka. Lakini huko TISS, watu wanaongezewa muda, wanapewa madaraka na marupurupu yote kana kwamba hakuna watu wenye sifa kushika nafasi zao.

  Lazima tuwafikishe mahala wajue maisha ya mwanadamu yana thamani kuliko siasa chafu na ufisadi wanaofanya. Huwezi kuua mtu kwa sababu yeyote ile.

  Nimepata taarifa tayari kwamba Madafa ametoa maelekezo kwa kijana wake mmoja kuhakikisha anafuatilia mawasiliano ya KIPARA BONGE.

  Mwambieni kuwa hatafanikiwa. Asubiri hukumu kutoka kwa mungu.

  Nakumbuka wakati wa utekaji wa Ulimboka, yule kijana Ighondu alipoanikwa na Mwanahalisi, Zoka alikwenda mbio kwa Membe kumuomba Kubenea asiendelee kuandika ile stori.

  Katika kujenga ushawishi, ZOKA alitaka kumtupia mzigo huu DG. Alisema yeye anafanya kazi chini ya DG. Anapokea maelekezo yote kutoka kwake, jambo ambalo halikuwa na ukweli.

  Mikakati yote ya kumteka Ulimboka, ilifanywa na Zoka na huyu Madafa. Wao ndiyo waliokuwa wanamtumia Ighondu kutekeleza ufedhelu ule.

  Mkutano kati ya Membe, Kubenea na Zoka ulilenga kumlinda ZOKA kwa kuingiza idadi kubwa ya watuhumiwa, akiwamo DG na wasaidizi wake.

  Hata hivyo, Kubenea alikataa mchezo.
  Last edited by Kubenea; 27-08-2014 at 11:40.
  KISIKI and Mtambalike like this.

 26. #50
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Movie inaanza kunoga, vijibwa vya muuaji Membe mtakoma.

Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •