Close

Page 1 of 4 1234 LastLast
Results 1 to 25 of 85
Like Tree34Likes

Thread: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowasa

  Hivyo ndivyo vinavyowaumiza wapinzani wake.

  Huyu Nambalapala, hawezi kukimbia kitu alichokianzisha mwenyewe. Ameingia hapa akaweza uzi, lakini mashambulizi yalipokuwa makali ameamua kuufuta. Akaweka vijineno hivyo hapo juu vyenye rangi nyekundu.

  Nimeamua kuurejesha ili kulinda heshima ya jukwaa.

  Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara.

  Katika taarifa hizo, Madafa amepewa sifa mbaya ambazo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kujinasibisha nazo. Kwamba, Madafa ni muuaji na mtesaji wakimpachika sifa ambazo hapo awali alipachikwa aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TISS, Jack Zoka hasa baada ya tukio la kutekwa na kuumizwa Dr Steven Ulimboka. Hata hivyo kwenye taarifa hizo, akina Kipara Bonge na genge lake wameshindwa kuthibitisha juu ya sifa hizo.

  Kutokana na taarifa hiyo, nimelazimika kuwasiliana na wadau wangu ambao wapo ndani ya Idara hiyo. Lengo langu ni kutaka kufahamu uhalisia wa hizo sifa ambazo amevikwa George Madafa kama anaishi nazo.

  Kwa hakika wadau wote niliowasiliana nao wamenithibitishia bila chembe ya shaka kwamba Madafa ni muadilifu na ni mchapa kazi mkubwa. Mdau mmoja ambaye amesoma pamoja na Madafa shule ya Sekondari ameniambia kuwa Madafa ana moyo wa huruma na asiyependa kudhulumu haki za watu. Kwamba, Madafa ni mtu ambaye anathamini kazi za wenzake na anawatakia mema. Pia shuhuda mwingine ndani ya Idara hiyo amenidokeza kuwa Madafa ni mtu anayejali taaluma ya mtu na anathamini sana kazi za watu.

  Wadau wangu wamenidokeza kuwa, Baada ya Madafa KUTEULIWA KUWA Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu, mtu mmoja ambaye anatambulika kama Kipara Bonge na ambaye pia ni Ngosha, Duma na KISIKI, alianza kuandika mada za kumchafua Madafa.

  Uchafuzi huo ulikuwa una malengo mawili, kwanza ni kuharibu sifa njema alizonazo Madafa ndani ya Idara hiyo ili waliompa nafasi ya kukaimu wasiwe na fikra ya kumteua kushika nafasi hiyo. Lengo la pili ni kumdisclose kwenye public ili wapinzani wa Zoka waelekeze mapambano yao kwa Madafa.

  Ndivyo inavyojitokeza ambapo kwa hivi sasa kuna mada kadhaa zinaanzishwa kwenye mtandao huu zenye lengo la kumhusisha na matendo kadhaa ikiwa ni pamoja na kudhoofisha wapinzani.

  Inapoonekana ni Kwamba Kipara Bonge ana mtu wake ambaye ndiye chaguo lake lakini kwa bahati mbaya mtu huyo hajapewa madaraka hayo. Ndo maana kila kukicha wanajitahidi kumchafua Madafa huku wakiamini kuwa aliyefanya maamuzi hayo anaweza kuyabatilisha.

  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia.
  Last edited by Kubenea; 27-08-2014 at 21:21.

 2. #2
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Ndiyo maana niliona wale waliokosa maadili wameanza kumpalamia madafu kumbe kazi yake iliyotukuka ndiyo tishio kwa mafisadi na wale watovu wa nidhamu.
  Nambalapala likes this.

 3. #3

  Mtu ambaye hujamuumba huwezi kumuathiri kirahisi hata iweje mimi naona kama madafa kapangiwa na mungu atasonga mbele tu hata kama watafunga njia ila hawatafunga riziki ya mtu.
  Nambalapala likes this.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Kweli kabisa Mkuu Mahakama ya Kadhi. Kipara na Genge lake wanahangaika sana kumchafua Madafa. Huu ni mpango mkakati ambao bila shaka umeratibiww na kuwadi wa fisadi Mkuu

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Wadau, amani iwe kwenu,

  Kwa siku kadhaa, kumekuwa na taarifa za propaganda zinazosambazwa kwenye mtandao huu zinazomhusu George Madafa ambapo kwa mujibu wa taarifa hizo, anatajwa kukaimu nafasi ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kwa upande wa Tanzania Bara. Katika taarifa hizo, Madafa amepewa sifa mbaya ambazo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kujinasibisha nazo. Kwamba, Madafa ni muuaji na mtesaji wakimpachika sifa ambazo hapo awali alipachikwa aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TISS, Jack Zoka hasa baada ya tukio la kutekwa na kuumizwa Dr Steven Ulimboka. Hata hivyo kwenye taarifa hizo, akina Kipara Bonge na genge lake wameshindwa kuthibitisha juu ya sifa hizo.

  Kutokana na taarifa hiyo, nimelazimika kuwasiliana na wadau wangu ambao wapo ndani ya Idara hiyo. Lengo langu ni kutaka kufahamu uhalisia wa hizo sifa ambazo amevikwa George Madafa kama anaishi nazo. Kwa hakika wadau wote niliowasiliana nao wamenithibitishia bila chembe ya shaka kwamba Madafa ni muadilifu na ni mchapa kazi mkubwa. Mdau mmoja ambaye amesoma pamoja na Madafa shule ya Sekondari ameniambia kuwa Madafa ana moyo wa huruma na asiyependa kudhulumu haki za watu. Kwamba, Madafa ni mtu ambaye anathamini kazi za wenzake na anawatakia mema. Pia shuhuda mwingine ndani ya Idara hiyo amenidokeza kuwa Madafa ni mtu anayejali taaluma ya mtu na anathamini sana kazi za watu.

  Wadau wangu wamenidokeza kuwa, Baada ya Madafa KUTEULIWA KUWA Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu, mtu mmoja ambaye anatambulika kama Kipara Bonge na ambaye pia ni Ngosha, Duma na KISIKI, alianza kuandika mada za kumchafua Madafa. Uchafuzi huo ulikuwa una malengo mawili, kwanza ni kuharibu sifa njema alizonazo Madafa ndani ya Idara hiyo ili waliompa nafasi ya kukaimu wasiwe na fikra ya kumteua kushika nafasi hiyo. Lengo la pili ni kumdisclose kwenye public ili wapinzani wa Zoka waelekeze mapambano yao kwa Madafa. Ndivyo inavyojitokeza ambapo kwa hivi sasa kuna mada kadhaa zinaanzishwa kwenye mtandao huu zenye lengo la kumhusisha na matendo kadhaa ikiwa ni pamoja na kudhoofisha wapinzani. Inapoonekana ni Kwamba Kipara Bonge ana mtu wake ambaye ndiye chaguo lake lakini kwa bahati mbaya mtu huyo hajapewa madaraka hayo. Ndo maana kila kukicha wanajitahidi kumchafua Madafa huku wakiamini kuwa aliyefanya maamuzi hayo anaweza kuyabatilisha.

  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia
  Nilishaandika mada juu ya Kipara bonge alivyokuwa akiwashambulia maboss wake , aliyemaliza muda wake na wa sasa. Nami nilitonywa na mtu kutoka huko kwao kuwa Kipara bonge anafahamika. Ngona nijaribu kumtafuta jamaa yangu kama atakubali anipe kabisa jina la kazini nitawawekeeni hapa

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Ndiyo maana niliona wale waliokosa maadili wameanza kumpalamia madafu kumbe kazi yake iliyotukuka ndiyo tishio kwa mafisadi na wale watovu wa nidhamu.
  Hakika nchi hii, mwadilifu hawezi kuishi kwa amani, hivi Kipara bonge, Kisiki, Duma na Ngosha mlitegemea mteremko toka kwa bosi wenu?

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by mahakama ya kadhi View Post
  Mtu ambaye hujamuumba huwezi kumuathiri kirahisi hata iweje mimi naona kama madafa kapangiwa na mungu atasonga mbele tu hata kama watafunga njia ila hawatafunga riziki ya mtu.
  inaonekana enzi za Apson walikuwa wanapeana vyeo hovyo sasa haki inapotendeka wanaanza kumuona mzee wa watu hafai

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Hivi inakuwaje mfanyakazi anakuwa nyoka ofisini na kuanza kung'aka wenzake? mbona kati ya taasisi zinazoogobeka nchini ni pamoja na hiyo ya mashushushu, iweje waishi na watu kama akina kipara bonge? Eti kisa rafiki yake hakupata nafasi? Hiyo ni hatari sana

 7. #7
  Senior Member mahakama ya kadhi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  993
  Rep Power
  7
  Likes Received
  31
  Likes Given
  31

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Kweli kabisa Mkuu Mahakama ya Kadhi. Kipara na Genge lake wanahangaika sana kumchafua Madafa. Huu ni mpango mkakati ambao bila shaka umeratibiww na kuwadi wa fisadi Mkuu
  Hawa watu wajinga sana wanadhani uongozi ni kununua kama karanga hii ni aibu kwa wazee wazima kupanga mipango ya kuchafua wenzao wa matakwa yao.

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Hivi inakuwaje mfanyakazi anakuwa nyoka ofisini na kuanza kung'aka wenzake? mbona kati ya taasisi zinazoogobeka nchini ni pamoja na hiyo ya mashushushu, iweje waishi na watu kama akina kipara bonge? Eti kisa rafiki yake hakupata nafasi? Hiyo ni hatari sana
  Wanasumbuliwa na jaa tu hawana lolote mtumishi mziama analipwa na serikali halafu anakuwa mburula kwanini wasiwauwe make nasikia wenyewe huwa wanauana wawauwe tu ili wasituzingue siye na nchi yetu.

 8. #8
  Member nnyamundu's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Location
  Kiwalani
  Posts
  31
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Vita yote hii ni kwa sababu usalama wa Taifa umetoka katika mstari wake sasa unakuwa usalama wa viongozi. Haya mambo hatukuwahi kuyashuhudia wakati wa Nyerere.

 9. #9
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Hata hivyo, nakushauri Madafa kuwa usikate tamaa. Wao wana mapesa na ukatili, wewe una Mungu. Ni hofu, chuki, wivu, fitina na kihoro vinavyowasukuma wapinzani wako kukushambulia
  Nimeingia MF na kukutana na mada hii iliyowekwa na huyu kuwadi wa mafisadi na wauaji. Niseme wazi kuwa mimi siyo Kisiki wala Ngosha waliotajwa na mleta mada. Namshauri awatafute hao kina Ngosha na KIsiki. Mimi ni mtu huru, sihusiki na anaowataja.

  Hili la kuwa mimi niko ndani ya Idara, au vinginevyo, nitalieleza wakati mwingine.

  Lakini hizo sifa ulizompa Madafa, nakuapia hana. Hebu muulize yafuatayo:

  Uhusiano wake na Peter Mwakilasa, lile jambazi linalotumiwa na kina Madafa kuendesha mauaji, ni upi? Huyu ndiye yule mmoja kati ya yale majambazi manne yaliyomvamia Kubenea nyumbani kwake kutaka kumdhuru miaka minne iliyopita.

  Anafahamu Msepa - yule afisa usalama aliyekuwa akiendesha genge la wahuni na majambazi kwenye kazi chafu na dhalimu za kumwagia watu tindikali. Hivi sasa yuko Kibaha kwa mganga mmoja wa jadi akitafuta dawa kwa ajili ya anaowaita wabaya wake. Ndugu zake wanaamini amerogwa na Kubenea ndo maana alikuwa akifanyiwa aliyofanyiwa India.

  Anafahamu nini kuhusiana na kifo cha Mzeru, yule afisa usalama aliyeuawa katika mazingira tata? Je, Mohammed Othman alitumwa na nani katika kutekeleza mauaji ya Mzeru?

  Huyu Mzeru ndiye alikuwa mweka fedha mkuu wa Othman. Fedha zinazohifadhiwa na idara yake ni zile ambazo hazipaswi kufanyiwa auditing. Ni fedha maalumu. Ni mfuko huo ndo ambao fedha zake hutumika kuwapoza vigogo wengi wa nchi bila kuacha trace yoyote. Ni mfuko huo ndiyo unatunza fedha za kuhongea watu, hasa wanasiasa.

  Idara yake ina orodha yote ya wahongwaji (hata kina Zitto) na kiasi ambacho kila mmoja anahongwa. Hata orodha ya kina Peter Mwakilasa nayo imo humo.

  Kupitia mfuko wa idara yake, hata michongo fulani ya EPA ilifanyika wakati ule.

  Msipojibu maswali haya, nitakuja kuwaanika.

  Last edited by Kipara Bonge; 26-08-2014 at 22:45.
  Mtambalike likes this.

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  321
  Rep Power
  7
  Likes Received
  12
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Mimi sidhani kama hiyo ndiyo sababu mashushushu kuwa hivyo, mimi nadhani vijana wanaoajiriwa huko ni wale wanaoshikiliwa mkono na ndugu zao, bila kuwa na maadili ya kazi, hakika huo ni ukiukwaji wa maadili ya kazi uliovuka mipaka

 11. #11

  Quote Originally Posted by Kipara Bonge View Post
  Nimeingia MF na kukutana na mada hii iliyowekwa na huyu kuwadi wa mafisadi na wauaji. Niseme wazi kuwa mimi siyo Kisiki wala Ngosha waliotajwa na mleta mada. Namshauri awatafute hao kina Ngosha na KIsiki. Mimi ni mtu huru, sihusiki na anaowataja.

  Hili la kuwa mimi niko ndani ya Idara, au vinginevyo, nitalieleza wakati mwingine.

  Lakini hizo sifa ulizompa Madafa, nakuapia hana. Hebu muulize yafuatayo:

  Uhusiano wake na Peter Mwakilasa, lile jambazi linalotumiwa na kina Madafa kuendesha mauaji, ni upi?

  Huyu ndiye yule mmoja kati ya yale majambazi manne yaliyomvamia Kubenea nyumbani kwake kutaka kumdhuru miaka minne iliyopita.

  Mzeru ndiye alikuwa mweka fedha mkuu wa Othman. Fedha zinazohifadhiwa na idara yake ni zile ambazo hazipaswi kufanyiwa auditing. Ni fedha maalumu. Ni mfuko huo ndo ambao fedha zake hutumika kuwapoza vigogo wengi wa nchi bila kuacha trace yoyote. Ni mfuko huo ndiyo unatunza fedha za kuhongea watu, hasa wanasiasa.

  Idara yake ina orodha yote ya wahongwaji (hata kina Zitto) na kiasi ambacho kila mmoja anahongwa. Hata orodha ya kina Peter Mwakilasa nayo imo humo.

  Kupitia mfuko wa idara yake, hata michongo fulani ya EPA ilifanyika wakati ule.

  Anafahamu Msepa - yule afisa usalama aliyekuwa akiendesha genge la wahuni na majambazi kwenye kazi chafu na dhalimu za kumwagia watu tindikali. Hivi sasa yuko Kibaha kwa mganga mmoja wa jadi akitafuta dawa kwa ajili ya anaowaita wabaya wake. Ndugu zake wanaamini amerogwa na Kubenea ndo maana alikuwa akifanyiwa aliyofanyiwa India.

  Anafahamu nini kuhusiana na kifo cha Mzeru, yule afisa usalama aliyeuawa katika mazingira tata? Je, Mohammed Othman alitumwa na nani katika kutekeleza mauaji ya Mzeru? Msipojibu maswali haya, nitakuja kuwaanika.

  Nani ajibu mkuu, wewe si ndiyo afisa usalama unayetajwa humu kukiuka maadili ya kazi yako, tuambie wamekunyima nini mpaka ung'ake hivyo?

 12. #12
  Senior Member
  Join Date
  Apr 2014
  Posts
  321
  Rep Power
  7
  Likes Received
  12
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Mmemuona Kipara bonge alivyoingia akitokwa mapovu? Kashikwa pabaya na akina Nambalapala sasa anatapatapa, hakika huyu ni shushushu, ngonja tuendelee kumchokonoa aendelee kuuonesha usaliti wake waziwazi. TataMadiba ulisema utatupa jina kamili analotumia Kipara bonge kazini, vipi bado hujafanikiwa kulipata?

 13. #13
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Bado kaka sijalipata jina halisi la Kipara Bonge, nipeni muda nitawambia kama jamaa yangu anayetokea
  Huko akikubali kunitafutia. Kipindi kile nilipoanzisha mada kumpongeza kwa jinsi alivgokuwa akimshambulia naibu mkurugenzi aliyemaliza muda wake sikuweza kupata jina lake kamili kwa vile jitihada zangu hazikuzaa mztunda

 14. #14

  Quote Originally Posted by BOENG370MALASYA View Post
  Mimi sidhani kama hiyo ndiyo sababu mashushushu kuwa hivyo, mimi nadhani vijana wanaoajiriwa huko ni wale wanaoshikiliwa mkono na ndugu zao, bila kuwa na maadili ya kazi, hakika huo ni ukiukwaji wa maadili ya kazi uliovuka mipaka
  Mkuu, ukiona mwanaume anatunga uongo kiasi hiki basi ujue kuwa kuna mkubwa nyuma yake anayemuamlisha afanye hivyo. Na hii yote ni hofu aliyonayo. Amesema kuwa Madafa hana sifa hizo, mbona hajaeleza kwa nini anasema hivyo? Badala yake anamhusisha na matukio mengi mabaya kwa lengo tu la kumchafua

  - - - Updated - - -

  Mkuu TataMadiba, wewe utatusaidia katika hili. Kwa vile una ABC juu ya Kipara Bonge, utakuwa msaada mkubwa sana.

 15. #15
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Madafa hana sifa hizo, wakati huo huo anasema yeye siyo member wa TISS! hata mtoto mdogo anang'amua kitu hapo. Kipara bonge awe muazi tu kuwa Madafa ni bossi wake na labda atuambie sababu ya kumuandika mitandaoni bossi wake ni nini?

  - - - Updated - - -

  Bado kaka sijalipata jina halisi la Kipara Bonge, nipeni muda nitawambia kama jamaa yangu anayetokea
  Huko akikubali kunitafutia. Kipindi kile nilipoanzisha mada kumpongeza kwa jinsi alivgokuwa akimshambulia naibu mkurugenzi aliyemaliza muda wake sikuweza kupata jina lake kamili kwa vile jitihada zangu hazikuzaa mztunda

 16. #16
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by BOENG370MALASYA View Post
  Nani ajibu mkuu, wewe si ndiyo afisa usalama unayetajwa humu kukiuka maadili ya kazi yako, tuambie wamekunyima nini mpaka ung'ake hivyo?
  Ni kweli Mkuu. Kaandika mambo mengi ya kipuuzi badala ya kujibu hoja zangu. Anahangaika sana. Haya ndo madhara ya mwanaume kuwa na jinsi za kike.

 17. #17
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Nambalapala View Post
  Mkuu, ukiona mwanaume anatunga uongo kiasi hiki basi ujue kuwa kuna mkubwa nyuma yake anayemuamlisha afanye hivyo. Na hii yote ni hofu aliyonayo. Amesema kuwa Madafa hana sifa hizo, mbona hajaeleza kwa nini anasema hivyo? Badala yake anamhusisha na matukio mengi mabaya kwa lengo tu la kumchafua

  - - - Updated - - -

  Mkuu TataMadiba, wewe utatusaidia katika hili. Kwa vile una ABC juu ya Kipara Bonge, utakuwa msaada mkubwa sana.

  - - - Updated - - -

  Mkuu TataMadiba, wewe utatusaidia katika hili. Kwa vile una ABC juu ya Kipara Bonge, utakuwa msaada mkubwa sana.
  Msiwe na wasiwasi jamani, ni kwa nia njema tu tunatka mambo hawe hadnarani madamu dalili zote zinaonesha Kipara bonge naye ni mtumishi wa idara ya usalama wa taifa na kwa vile yeye kisha mtaja bossi wake kwa jina, iko haja nae jina lake lifahamike ili kila mmoja amjue mbaya wake. Hizi ni zama za uwazi na ukweli. Ila naamini Kipara bonge hana sababu ya msingi kumbwatukia bosi wake zaidi ya kinyongo cha nafasi ambayo rafiki yake angeichukua baada ya zoka kustaafu kukaliwa na Madafa kwa muda

 18. #18
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by TataMadiba View Post
  Bado kaka sijalipata jina halisi la Kipara Bonge, nipeni muda nitawambia kama jamaa yangu anayetokea
  Huko akikubali kunitafutia. Kipindi kile nilipoanzisha mada kumpongeza kwa jinsi alivgokuwa akimshambulia naibu mkurugenzi aliyemaliza muda wake sikuweza kupata jina lake kamili kwa vile jitihada zangu hazikuzaa mztunda
  Kama hujanijua, basi umeshindwa kazi. Lakini wewe utaniajuaje mimi wakati mwenyewe unaishi kwa buku 7 pale Lumumba?

 19. #19
  Senior Member Kipara Bonge's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  478
  Rep Power
  7
  Likes Received
  41
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Huyu Madafa ni mtu anayejihisi kwamba anajua dhana ya usalama. Ni jitu fedhuli, lakini jepesi… Anajigamba kwamba yeye ndiye kamfundisha kazi Othman... Ule mchezo wa Zoka kushughulikia, kina Ulimboka na Kubenea, huyu jamaa alikuwa nyuma yake. Kwa hili, atalipa kazi ya mikono yake.

  Mjadala kumuhusu yeye kwa undani zaidi, nitaufanya siku nyingine. Kwa sasa, acha niendeleze kampeni zangu za bunge la katiba.

 20. #20
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Utajulikana tu mkuu, mimi ninajuana na watu wengi sana hapo kazini kwako, kwa mzee Othman watanitonya tu, ulifanya makosa mwanzoni, unakumbuka niliwahi kuandika mada kukupongeza ulivyokuwa unamshambulia Zoka? Nilipewa jina lako na jamaa yako wa karibu sana, alikuwa anajua Id yako ya Kipara bonge kabla haujasajili zingine kama Duma, Kisiki, Ngosha n.k

 21. #21
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kipara Bonge View Post
  Huyu Madafa ni mtu anayejihisi kwamba anajua dhana ya usalama. Ni jitu fedhuli, lakini jepesi… Anajigamba kwamba yeye ndiye kamfundisha kazi Othman... Ule mchezo wa Zoka kushughulikia, kina Ulimboka na Kubenea, huyu jamaa alikuwa nyuma yake. Kwa hili, atalipa kazi ya mikono yake.

  Mjadala kumuhusu yeye kwa undani zaidi, nitaufanya siku nyingine. Kwa sasa, acha niendeleze kampeni zangu za bunge la katiba.
  Wewe unamjuaje hajui dhana ya usalama? Jitu fedhuli lakini jepesi? Anajigamba kuwa kamfundisha
  Kazi Othman?
  kwa maneno hayo bado unajificha kuwa wewe siyo shushushu kweli? Mbona nasikia huko kwenu mpaka uajiriwe unakuwa umepitia mchakato mrefu, wewe mbona kama walikuokota kwenye genge la wanywa gongo tu. Idara ya usalama wa taifa ina kazi ya kufanya kama watu mnaokula kodi zetu ndiyo kama wewe basi tena

 22. #22
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  57
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  0

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  kipara bonge huna unachokijua.

 23. #23
  Super Moderator Kubenea's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  710
  Rep Power
  10
  Likes Received
  193
  Likes Given
  1

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kipara Bonge View Post
  Nimeingia MF na kukutana na mada hii iliyowekwa na huyu kuwadi wa mafisadi na wauaji. Niseme wazi kuwa mimi siyo Kisiki wala Ngosha waliotajwa na mleta mada. Namshauri awatafute hao kina Ngosha na KIsiki. Mimi ni mtu huru, sihusiki na anaowataja.

  Hili la kuwa mimi niko ndani ya Idara, au vinginevyo, nitalieleza wakati mwingine.

  Lakini hizo sifa ulizompa Madafa, nakuapia hana. Hebu muulize yafuatayo:

  Uhusiano wake na Peter Mwakilasa, lile jambazi linalotumiwa na kina Madafa kuendesha mauaji, ni upi? Huyu ndiye yule mmoja kati ya yale majambazi manne yaliyomvamia Kubenea nyumbani kwake kutaka kumdhuru miaka minne iliyopita.

  Anafahamu Msepa - yule afisa usalama aliyekuwa akiendesha genge la wahuni na majambazi kwenye kazi chafu na dhalimu za kumwagia watu tindikali. Hivi sasa yuko Kibaha kwa mganga mmoja wa jadi akitafuta dawa kwa ajili ya anaowaita wabaya wake. Ndugu zake wanaamini amerogwa na Kubenea ndo maana alikuwa akifanyiwa aliyofanyiwa India.

  Anafahamu nini kuhusiana na kifo cha Mzeru, yule afisa usalama aliyeuawa katika mazingira tata? Je, Mohammed Othman alitumwa na nani katika kutekeleza mauaji ya Mzeru?

  Huyu Mzeru ndiye alikuwa mweka fedha mkuu wa Othman. Fedha zinazohifadhiwa na idara yake ni zile ambazo hazipaswi kufanyiwa auditing. Ni fedha maalumu. Ni mfuko huo ndo ambao fedha zake hutumika kuwapoza vigogo wengi wa nchi bila kuacha trace yoyote. Ni mfuko huo ndiyo unatunza fedha za kuhongea watu, hasa wanasiasa.

  Idara yake ina orodha yote ya wahongwaji (hata kina Zitto) na kiasi ambacho kila mmoja anahongwa. Hata orodha ya kina Peter Mwakilasa nayo imo humo.

  Kupitia mfuko wa idara yake, hata michongo fulani ya EPA ilifanyika wakati ule.

  Msipojibu maswali haya, nitakuja kuwaanika.

  Nashukuru kwamba wabaya wangu wameanza kujidhihirisha. Ni hadithi ya wanga kushikana uchawi. Namshukuru Mungu kwamba wale walionidhihaki kwa yaliyonikuta na wale walionifanyia unyama wote huu, wameanza kutajana majina mmoja baada ya mwingine. Mungu mkubwa.

  Ni bahati mbaya sana kwamba vyombo vya dola ambavyo tunapaswa kuvikimbilia, ndivyo vimegeuka makaburi ya kutesa na kuuwa raia. Mungu wa Yakob, Issa, Mussa, Ibrahim na Mohammad, hakika atawaumbua.
  Last edited by Kubenea; 27-08-2014 at 13:07.
  KISIKI and Mzibondo like this.

 24. #24
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,867
  Rep Power
  9
  Likes Received
  76
  Likes Given
  130

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Kubenea unajichekesha kweli. Huyu Kipara Bonge anaripoti kwako. Na connection yake ni kwamba Kipara Bonge ni mfuasi wa CHADEMA ndani ya TISS na wewe Kubenea ni Mshauri wa CHADEMA kwenye masuala ya kisiasa na kiusalama. Hivyo haishangai Kipara Bonge kutunga uongo na wewe kuushabikia

  - - - Updated - - -

  Halafu yaonekana Kipara Bonge anafanya jitihada kweli za kuwachonganisha Madafa na Othman. Anajua kuwa kama Othman atakosa imani naye malengo yake yatatimia. Nakuambia wewe Kipara Bonge kwamba, mahusiano ya Othman na Madafa ni katika kazi tu. Najua upo kwenye moja ya kitengo ambacho kipo karibu na Othman na najua kuwa unamshauri vinginevyo huyo boss wako kuhusu Madafa. Kumbuka hiyo kazi unayofanya haina maslahi kwako na soon utaumbuka

  - - - Updated - - -

  Quote Originally Posted by simba View Post
  kipara bonge huna unachokijua.
  Ni kweli Mkuu. Hana ajualo. Sana sana amefanikiwa kujua tu kuwa Madafa ni nani na mazingira ya kazi yaliyomzunguka ni yepi

 25. #25
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2,227
  Rep Power
  9
  Likes Received
  73
  Likes Given
  3

  Re: Uadilifu, Uchapa Kazi, Usiri wa George Madafa wawatia Kihoro Apson na Fisadi Lowa

  Quote Originally Posted by Kubenea View Post
  Nashukuru kwamba wale wabaya wangu wameanza kujidhirisha. Ni hadithi ya wanga kushikana uchawi. Namshukuru Mungu wale walionidhihaki kwa yaliyonikuta na wale walionifanyia, wote wameanza kutajana mmoja baada ya mwingine.

  Ni bahati mbaya sana kwamba vyombo vya dola ambavyo tunapaswa kuvikimbilia, ndivyo vimegeuka makaburi ya kutesa na kuuwa raia. Mungu ya Yakob, Issa, Mussa, Ibrahim na Mohammad, hakika atawaumbua.
  Ndugu Kubenea, kama haumjui aliyekutesa basi ni Kipara bonge manake inaonekana anajua vizuri issue yako, tazama post zake utagungua kuwa yeye ni mhusika na asitake kuchafua watu wengine kama ambavyo anataka kufanya kwa huyo anayemuita Madafa

Page 1 of 4 1234 LastLast

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •