Katika hali ya bumbuwazi, mahakama kuu imeipiga stop mahakama ya kinondoni kuendelea kuendesha kesi dhidi ya watuhumiwa wanne waliofikishwa kizimbani hapo kwa kuhusishwa na sakata la IMTU dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu kwa kutupa mabaki ya wanadamu yaliyokwisha kutumika kwa mafunzo chuoni hapo.

Imetajwa kuwa waliofikishwa kizimbani hapo ni Wahadhiri wanne wa chuo hicho.
Kwa sasa kesi hiyo imesimamishwa na mahakama kuu kwa muda usiojulikana.