Close

Results 1 to 7 of 7
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Sarafina

Thread: DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  UKISTAAJABU YA MUSSA UTAYAONA YA FIRAUNI. SOMA KISA HIKI NILICHOSIMULIWA KWA DAKIKA 42 NA MSICHANA MMOJA WA MIAKA 25, ANAYEISHI WILAYANI KYELA MKOANI MBEYA. BALI YEYE NI MWENYEJI WA MUHEZA TANGA.

  KATIKA SUMULIZI HII, JINA LA MSICHANA NIMELIHIFADHI LAKINI HUMU ATATAMBULIKA KAMA ‘MUITAJI’ – MPIGAJI WA SIMU.

  Muitaji: Haloo!
  Babu Jongo: Haloo!

  Muitaji: Naomba kuongea na babu Jongo.
  Babu Jongo: Babu Jongo yupi?

  Muitaji: Yule anayetoa ushauri kwenye gazeti la Mseto.
  Babu Jongo: Kwani hivi sasa unaongea na nani?

  Muitaji: Sijui
  Babu Jongo: Huyu ndiye Babu Jongo unayemtaka.

  Muitaji: Kweli?
  Babu Jongo: Kwanini usiamini wakati umepiga namba yake? Au sauti yake unaijua?

  Muitaji: Basi shikamoo.
  Babu Jongo: Basi marahaba.

  Muitaji: Kama wewe ndiye Babu Jongo mimi nina shida naomba unisaidie.
  Babu Jongo: Enhe, shida gani hiyo?

  Muitaji: Mimi…mimi…
  Babu Jongo: Ndiyo wewe, umefanya nini?

  Muitaji: Dah, hata sijui nianze vipi?
  Babu Jongo: Anza hivi, babu Jongo mie nimeachwa na mpenzi ninayempenda…halafu sasa…

  Muitaji: Sio kuachwa babu
  Babu Jongo: Sasa umefanywa nini mpaka ushindwe kulisema…au umefumaniwa?

  Muitaji: Kicheko… sio kufumaniwa bwana.
  Babu Jongo: Sasa kumbe nini?

  Babu Jongo: Kwanza uko wapi?
  Muitaji: Nani mimi?

  Babu Jongo: Ndio wewe, kwani naongea na nani?
  Muitaji: Mimi niko wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga, ila wiki tatu zilizopita nilikuwa Kyela mkoani Mbeya, ambako niliishi kwa miaka mitatu na nusu.

  Babu Jongo: Hata mimi kwa sasa niko Tanga, nimekuja juzi na kesho naondoka.
  Muitaji: He, uko Tanga sehemu gani?
  Babu Jongo: Niko hapa Tanga Mjini.

  Babu Jongo: Sasa huko Kyela ndio umepatwa na nini?
  Muitaji: Nilipata mvulana mmoja, ambaye kumbe hakuwa mwanadamu wa kawaida.

  Babu Jongo: Ebo, alikuwa Jini?
  Muitaji: Ndiyo

  Babu Jongo: Hebu acha utani, nina kazi nyingi za kufanya.
  Muitaji: Kweli babu.

  Babu Jongo: Sasa imekuaje?
  Muitaji: Ujue, nilianza naye uhusiano kama miezi sita iliyopita, lakini hatukuwahi kukutana kimwili, wiki tatu zilizopita ndio tulitaka kukutana baada ya mimi kulalamika sana.

  Babu Jongo: Ulilalamika nini?
  Muitaji: Yeye ndiye aliyenitongoza lakini hakuwa tayari kukutana kimwili, kila tunapokuwa pamoja alikuwa ananichezea na kuniacha kisha ananiambia tutafanya siku nyingine.

  Babu Jongo: Sasa ikawaje?
  Muitaji: Siku moja alikuja kwangu jioni, alipojaribu kunichezea nikakataa, akanilazimisha na akaniahidi leo tutafanya tendo la ndoa. Sasa wakati ananichezea mimi nilikuwa tayari nishakolea nikavua chupi.

  Babu jongo: Enhe!
  Muitaji: Nilipovua chupi akanichezea ukeni mwishowe akawa ananinyonya.

  Babu Jongo: Alikunyonya wapi?
  Muitaji: Alininyonya… (ukeni), baadaye nikajisikia maumivu fulani hivi na yeye akanyanyuka nikamuona kama ameng’ata kinyama kwenye meno.

  Nilipopeleka mkono ukeni nikakuta damu zinatoka na kiharage hakipo. Nikamuuliza vipi umening’ata? Hakunijibu badala yake akanionyesha kipande cha nyama ameking’ata kwenye meno.

  Nikaona meno mawili ya mwisho yamechongoka kuliko kawaida, na mamcho yake yamebadilika na kuwa mekundu sana. Nikapata hofu. Nikazimia.

  Babu Jongo: Ulijuaje kama umezimia.
  Muitaji: Niliambiwa na dada ninaye ishi naye.

  Babu Jongo: Alikuambiaje huyo dada?
  Muitaji: Aliniambia alimuona yule mtu niliyeingia naye chumbani kwangu anatoka, alipomsalimia hakujibu na alimuona na mikono mirefu yenye makucha na masikio marefu kama ya punda.

  Dada akapatwa na hofu ndipo alipoamua kuja kunigongea lakini sikumuitikia na kwakuwa mlango ulikuwa wazi akaingia ndani akanikuta sijitambui huku nachuruzika damu. Akaita jerani yetu, wakanimwagia maji nikazinduka.

  Babu Jongo: Kwa hiyo amekutahiri?
  Muitaji: Afadhali angenitahiri, amekingo’a kabisa.

  Babu Jongo: Mmm, kwani hakikubaki hata kipande?
  Muitaji: Kuna kialama tu, tena mpaka upeleke kidole ndio unakigusa.

  Babu Jongo: Pole sana, sasa umeenda hospitali?
  Muitaji: Hapana, nimeogopa, ndio nimerudi kwetu Tanga kuja kutibiwa.

  Babu Jongo: Umeogopa nini?
  Muitaji: Nitajielezaje kwa daktari?

  Babu Jongo: Nakushauri pamoja na matibabu unayofanya lazima uende hospitali, tena uende haraka ukajieleze kama ulivyonieleza mimi, daktari atakupima na kukushauri, kama kutakuwa na hitajio la matibabu atakutibu.

  Muitaji: Lakini nimeshapona, pamekauka kabisa.
  Babu Jongo: Sawa, lakini hospitali ni muhimu, hata meno yana madhara.

  Muitaji: Nakushukuru babu, nitakueleza nilichoelezwa na daktari.
  Babu Jongo: Ondoa hofu, umeshapona na utafanya mambo yako kama kawaida.
  Muitaji: Asante kwa kunitia moyo.

  MWISHO WA MAZUNGUMZO NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE.
  Last edited by Babu Jongo; 28-07-2014 at 13:35.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  Ndo akome kulazimisha ngono, si amemlazimisha mwenyewe. Unaenda ugenini unashobokea mali za watu, haya sasa ndio ajifunze.

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  299
  Rep Power
  7
  Likes Received
  6
  Likes Given
  5

  Re: DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  Hahahahaaa Taaabu sana

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  8
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  1

  Re: DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  duh.....tha atapta raha ya kugegedana ktk maisha yake tena???

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Sep 2014
  Posts
  178
  Rep Power
  6
  Likes Received
  10
  Likes Given
  5

  Re: DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  da maskin weeeeeeeeeee sema ndo ivo huwezi kujua la mbele yako............ila dah tusipende kunyonywaaaaaaa.
  Masalu likes this.

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Nov 2014
  Posts
  3
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  Jamani meno gani hayo, raha imegeuka karaha.

 7. #7
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  8
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: DAKIKA 42 NA ALIYE NYOFOLEWA KIHARAGE

  Du, inamaana Kaseja hayupo golini!!!

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •