Close

Results 1 to 5 of 5

Thread: Daladala

 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  13
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Daladala

  Hata mtukifu Rais wangu katumia sana usafari huu, kuna vihoja vingi sana. ukitaka ufurahi panda daladala ya Mwenge- Mbagala kuanzia saa nne usiku siku za Ijumaa, jmosi.

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0
  Usafiri wa daladala una raha zake hata kama una pesa mpaka unaumwa! Mkenya mmoja alikuwa meneja kwenye kampuni fulani ya magazeti hapa Tanzania, bosi huyu alikuwa na gari lake binafsi lakini pia kazini alipewa gari, jamaa huyu hakupenda kutembea na gari yake, bali alikuwa anapanda daladala kwa madai akipanda daladala anakutana na wanawake wengi tena wazuri kuliko akiwa peke yake kwenye gari. huo ndio uzuri mmoja wa daladala.

 3. #3
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  uzur wake unapata kuibiwa pia

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Naupenda mimi huo usafari na siuachi hadi naingia kaburini. Hata ukipanda ukiwa na mawazo utayasahau kwa muda. Kuna vituko balaa

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  6
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  usiombee unaenda kufanya mtihani, kisha daladala haindoki kituoni hadi ijaze abilia, utaimba haleluya.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •