Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  NDOA YA OBAMA MATATANI.

  Click image for larger version. 

Name:	Barack-Obama-na-Yingluck-Shinawatra7-638x400.jpg 
Views:	1322 
Size:	48.7 KB 
ID:	452

  Ndoa ya Michelle na Barack Obama yaweza kuvunjika kwa talaka kutokana na mapito magumu ambayo ndoa hiyo ilipitia na bado inaendelea kupitia.

  Michelle Obama amechoshwa na ndoa yake na Obama. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Bombshel , Mitchel na Obama wamekuwa wakilala vyumba tofauti ndani ya White house. Michelle pia anajiandaa kuhama katika jumba lao pale Chicago ambalo wameishi wakati wa uchumba wao miaka 21 iliyopita na kwa msisitizo watajadili juu ya talaka.
  Tatizo limeanza miaka nane iliyopita pale Obama alipodhamiria kujijenga kisasa. Ni mtoto wao Sasha ambaye anumwa ugonjwa unaosababishwa na woga wa maisha unaoitwa Spinal Meningitis ndio uliowafanya waendelee kuwa pamoja.
  Kitabu cha Anderson kinaelezea ndoa ya Mitchel na Obama kama ndoa halisi ya Wamarekani ikielezea tatizo lilivyoanza baada ya Barack Obama kuamua kuingia kwenye siasa. Alisikika Mitchel, 48 mara kadhaa akimwambia mume wake

  “Wewe unajifikiria mwenyewe tu” Naye Barack Obama amesikika akisema:
  “Sikuwahi kufikiri kamwe kwamba ningelea familia mwenyewe”
  Anderson anadai kuwa Obama amechoka na malalamishi ya mke wake
  “Nampenda sana Michelle lakini ananiuwa na ubishi wake wa kila siku” Barack Obama alisikika akiongea hivyo na bibi yake Madelyn Dunham
  “Anaonekana tu mchungu, na hasira siku zote”
  Anderson pia anafunua siri ya ugonjwa wa moyo ambayo Mitchel alikuwa nayo kabla hajajifungua mtoto wao wa kwanza. Akizungumza na CBS Anderson anadai kuwa ilikuwa nusura Mitchel atembee nje ya ndoa kwa sababu ya upweke.

  Kipindi cha useneta wa Barack Obama kilikuwa ni kipindi kigumu cha cha giza nene kwenye ndoa yao.
  Kwa miaka mitano wamekuwa na wasiwasi juu ya uwezo wao wa kupata watoto kabla Malia hajazaliwa. Walishajadili sana suala la adoption na marafiki zake wa karibu lakini kwa bahati nzuri Malia akazaliwa mwaka 1998.
  Wanandoa hawa wamekuwa wakipitia katika hali ngumu ya ndoa yao na wamekuwa pamoja tu kwa sababu ya motto wao na ikulu.

  Hata mwandishi huyo anadai Barack Obama na Mke wake Michelle ambao wanaenda kusheherekea miaka 17 ya ndoa yao mwezi ujao kuwa ndoa yao iko imara kwa sasa
  Lakini vyanzo vingine vya taarifa zinadai kuwa ndoa haiko imara, hasa baada ya tukio la Obama kupiga picha za pamoja bila aibu na mrembo wa kidenish, 46 kwa jina Helle Thorning-Schmidt wakati wa huduma yakumuaga aliyekuwa rais wa kwanza wa Afrka ya Kusini, Bwa Neslon Madiba Mandela. Obama, 52 alikuwa akicheka na kuongea kwa taratibu na kwa muda wote na mrembo huyo kwenye sherehe hiyo maalumu kwa viongozi wa dunia.

  Mara nyingi alikuwa akimshika shika na kumkumbatia mabega yake.
  “Lakini sasa Michelle ni kichaa kama jehanamu, anajiona kanyanyasika mbele ya dunia. Alisikika akimtapikia mume wake huku akisema “Nimechoshwa” “Alikutana na mwanasheria wake wa talaka na kamwambia Barack Obama kuwa anataka maisha nje nay eye. Michele atabakia whitehouse mpaka Obama amalize muda wake uliobakia kwa ajili ya kujionyesha tu lakini ameweka wazi kuwa kila mtu ataishi maisha yake.
  Msemaji wa ndani ya ikulu anaendelea kusema kuwa Barack Obama amechoshwa sana na mpango wa afya na sasa anakutana na tatizo kubwa zaidi la Michelle juu ya ndoa yake
  “ Michelle kwa upande wake anahamia kwenye mojawapo ya vyumba tupu kwenye nyumba yao ya kifamilia ya binafsi na anajiandaa kuamisha nguo zake nje ya jumba lao la mamilioni ya dola pale Chicago
  Pia tatizo limekuzwa na safari ya kikazi ya Obama hivi karibuni kule Thailand ambayo ilimkutanisha na Waziri Mkuu mrembo kuliko pengine wote duniani , Yingluck Shinawatra.
  Last edited by MV Salama; 27-06-2014 at 10:11.

 2. #2
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  10
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: NDOA YA OBAMA MATATANI.

  salama vp izo pic hazipo hapa chin

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  299
  Rep Power
  7
  Likes Received
  6
  Likes Given
  5

  Re: NDOA YA OBAMA MATATANI.

  Aisee hii sasa balaa, kiukweli ndoa nio kitu kigumu sana

 4. #4
  Senior Member KISIKI's Avatar
  Join Date
  May 2014
  Posts
  2,831
  Rep Power
  9
  Likes Received
  171
  Likes Given
  339

  Re: NDOA YA OBAMA MATATANI.

  Hata mimi ningekuwa Obama uzalendo ungenishinda, Shinawatra yuko vizuri.

 5. #5
  Senior Member MV Salama's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  New York
  Posts
  1,880
  Rep Power
  8
  Likes Received
  104
  Likes Given
  80

  Re: NDOA YA OBAMA MATATANI.

  Mh; Kisiki,

  Ngoja nkakushtaki kwa shem hizi mambo zako ww.

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Apr 2015
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  NDOA YA OBAMA MATATANI.

  kumbe na hayo yapo

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •