Close

Results 1 to 8 of 8

Thread: NAOMBA KUULIZA

 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  299
  Rep Power
  7
  Likes Received
  13
  Likes Given
  8

  NAOMBA KUULIZA

  Hakimu anapokufunga bila ya hatia.
  Naweza kumdai fidia?

  MAELEZO.
  endapo hakimu kanifunga kumbe baadae nikaonekana na mahakama ya rufaa sina hatia. naweza kumdai fidia hakimu alienifunga mwanzo?

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  236
  Rep Power
  7
  Likes Received
  7
  Likes Given
  6

  Re: NAOMBA KUULIZA

  sheria ni msumeno
  Siasa za tanzania ndio siasa bora kuliko siasa zote duniani.

 3. #3
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: NAOMBA KUULIZA

  mara nyingi naona wanaofunguliwa kesi za madai ni walio/alio kushitaki, kuhusu hakimu hapo pagumu. Ila kama kakufunga kwa hila zake binasfi inabidi awajibishwe tu.

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Dar es salaam
  Posts
  9
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: NAOMBA KUULIZA

  Hakika kuna haki ya kufungua kesi ya madai, na madai yako yataelekezwa kwa waliokushataki na sio hakimu aliyesimamia kesi yako. Ila endapo ushahidi aliopewa hakimu kutoka kwa mshitaki ulionekana wazi kutokuwa na mashiko ya kukuweka hatian ila yeye kwa hila zake binafsi ambazo unaweza ukazithibitisha mbele ya baraza la mahakama basi unayo haki na nafasi ya kumshitaki huyo hakimu. I THINK SO.

 5. #5
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  97
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: NAOMBA KUULIZA

  Quote Originally Posted by Sifuri View Post
  Hakimu anapokufunga bila ya hatia.
  Naweza kumdai fidia?

  MAELEZO.
  endapo hakimu kanifunga kumbe baadae nikaonekana na mahakama ya rufaa sina hatia. naweza kumdai fidia hakimu alienifunga mwanzo?
  Hao Mahakimu wangekuwa wanashtakiwa nafikiri kazi ya uhakimu ingekuwa ngumu na isiyotekelezeka. Just imagine Hakimu kashtakiwa kwa kila kesi atakayoendesha, wengi, kama si wote, watakimbia hiyo kazi!! Ndio maana Judicial Officers wote hawashtakiwi kwa makosa waliyofanya "in the course of business!"

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: NAOMBA KUULIZA

  Quote Originally Posted by Sifuri View Post
  Hakimu anapokufunga bila ya hatia.
  Naweza kumdai fidia?

  MAELEZO.
  endapo hakimu kanifunga kumbe baadae nikaonekana na mahakama ya rufaa sina hatia. naweza kumdai fidia hakimu alienifunga mwanzo?
  Huwezi kumdai fidia hakimu, kwani uamuzi alioutoa ulikuwa ni wa mahakama.

  Pia ikumbukwe kuwa, Hakimu huwa hakosei bali huteleza. Wanasheria tuna msemo kuwa "the magistrate or judge does not mistaken. But erred in law

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  Re: NAOMBA KUULIZA

  Huu ni usanii

 8. #8
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: NAOMBA KUULIZA

  Katika nchi iliyokomaa kwa umri wa nusu karne (50) ya kujitawala (Uhuru), hakika tunashuhudia mauzauza mengi ya kustaajabisha hasa wanyonge huko mahakamani kiasi kusababisha swali ambalo mdau kauliza kutaka kufahamu....swali zuri sana!

  Sisi ambao si wanasheria bila shaka tunayo maoni kutokana na uzoefu na maumivu tokana na Mahakimu ambao wamechangia taasisi ya Mahakama kuwa miongoni mwa taasisi nyeti za kisheria ambazo haki imewekwa sokoni, wanufaika kwa utajiri wa ghafla wakiwa Mahakimu, vijana wadogo kwa wakubwa!

  Katika mazingira ya soko huria la haki kuwekwa sokoni mchana kweupe, na uongozi madhubuti kukosekana kitaasisi, achilia mbali kitaifa, kuthibiti ufisadi huo kumshitaki huyo hakimu hata km fursa ipo, mnyonge atanyongwa tu!! Lakini kama tulivyodokezwa hapo juu, hao wataalam, wasomi huwa hawakosei! Iwe iwavyo kuna kamsemo nimepata kukasikia wakisema "The Law is an ass", wana maana gani? Naweza kubahatisha tu maana ikiwa kwamba mambo ya sheria hayajanyooka sana, yamepinda pinda sana!

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •