Close

Results 1 to 6 of 6
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  CCM:JANGA LA KITAIFA

  Hakuna wanachofanya zaidi ya kuiba resilimali za nchi

 2. #2
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  6
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: CCM:JANGA LA KITAIFA

  Wala si jambo la kuuliza kuhusu janga la taifa linalotukabili.....

  Matokeo yako wazi kwa kila mwenye uwezo wa kutafakari na kutathmini thamani ya uhuru tulionao kulinganisha na matarajio yetu sote na ya waasisi waliojitoa kwa moyo mmoja/uzalendo wa hali ya juu kupigania uhuru!

 3. #3
  Member pcosmas70's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  Re: CCM:JANGA LA KITAIFA

  Sasa naona imekuwa kawaida kuwaita majina ya kila namna mi naona hatua zichukuliwe za jinsi ya kuwaondoa na kuweka ladha mpya madarakani CCM wamegeuka bazoka utamu umeisha kilichobaki ni kuwatema

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  240
  Rep Power
  7
  Likes Received
  2
  Likes Given
  2

  Re: CCM:JANGA LA KITAIFA

  TUMEISTUKIA MWAKANI TUNAITUPA KAPUNI

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  Re: CCM:JANGA LA KITAIFA

  Hakuna njia nyingine ya kupata maisha mazuri bila kuiondoa ccm madarakani kwa njia ya kura.

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Aug 2014
  Posts
  2,379
  Rep Power
  8
  Likes Received
  144
  Likes Given
  164

  Re: CCM:JANGA LA KITAIFA

  Nina imani walifanya sherehe siku Mwl.Nyerere alipoaga dunia.Mwl.alikuwa kinga ya rasilimali.Tunahitaji kuokoa rasilimali zilizobaki kwa kuwatimua hawa majangili.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •