Close

Results 1 to 5 of 5
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Masalu

Thread: Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

 1. #1
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

  England kama ilivyokuwa ada kuwa ni wazuri sana wa matangazo kuliko wanapokuwa uwanjani, hapa wanawachimba mkwara timu watakazokutana nazo kuwa hata wakipaki basi watashindwa kuwazuia kwani kupitia mshambuliaji wao, Wayne Rooney atachana basi na mashuti yake.

  Angalia video hii hapa chini


  pcosmas70 likes this.

 2. #2
  Member pcosmas70's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  Re: Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

  Hao ni wasindikizaji wapo kukamilisha ratiba

 3. #3
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  10
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  Re: Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

  kwanza wao ndo watakao paki bas maana hawana straika wala mieldfield wa ukwel

 4. #4
  Member chitalula's Avatar
  Join Date
  Mar 2014
  Location
  Mtaani kwetu
  Posts
  87
  Rep Power
  6
  Likes Received
  2
  Likes Given
  1

  Re: Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

  hao jamaa mwaka huu wataondoka mapema sana

 5. #5
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Malambamatatu
  Posts
  70
  Rep Power
  7
  Likes Received
  1
  Likes Given
  4

  Re: Angalia mkwara wa England kuelekea Kombe la Dunia

  Wazee wa maonyesho na ubishoo tu hao hamna kitu humo. Raundi ya pili nna mashaka km watavuka

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •