Hi Link modems ukishaiplug in tu inaconnect internet unless umeiset kuiconnect manually. Hazitumii normal Huawei dashboard zinatumia their own “Web UI” hivyo haziwezi kuwa detected kwenye normal dashboard za Huawei. Na hata ukiiconnect kwenye PC, jamaa wanakuwa wamedisable PORT na hutaweza kuiona ktk device manager under Ports, Modems or Network adapter, so ukisema uiunlock kwa kutumia Flashing method kama za E303 za kawaida hautafanikiwa.

Click image for larger version. 

Name:	huawei-e303-hi-link-hdspa-3g-7-2mbps.jpg 
Views:	625 
Size:	15.0 KB 
ID:	259


NJIA YENYEWE
Vodacom Huawei E303 Hi link modem ni customized Firmware so njia pekee ya
see more