Close

Results 1 to 16 of 16
Like Tree11Likes
 • 1 Post By El nino
 • 2 Post By shakidinkili
 • 1 Post By mbinguni
 • 1 Post By Ulumba
 • 1 Post By Kadiri Kasimba
 • 1 Post By Akili Pana
 • 1 Post By Kajunjumele BA
 • 1 Post By PAMBAZUKO
 • 1 Post By ukwelidaima
 • 1 Post By tanira1

Thread: Jaji warioba au Proffesor Shivji

 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  12
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Jaji warioba au Proffesor Shivji

  kumekuwa na mkanganyiko kutokana na views za watu tofauti kuhusiana na rasimu ya pili ya katiba ya Tanzania.. Proffesor Issa shivji anasema kuwa rasimu siyo Msaafu mpaka isobadilike huyu ni moja wa mabingwa wa sheria katika masuala ya katiba pia Jaji warioba anasema bunge la katiba halina nguvu ya kubadilisha mambo ya msingi katika katiba.. hoja hii anaitetea kutumia kifungu cha 25 cha sheria ya marekebisho ya katiba pia logically kama wananchi kupitia tume walianisha mambo ya msingi wanayo yataka..iweje bunge iyabadilishe ..je katiba si kwa ajili ya watu ?

  Hizo ni hoja za Jaji warioba pamoja Proffesor Issa Shivji...Upi ni mtizamo wako katika hili?...je Nguvu ya bunge maalum la katiba ipo katika Mipaka Ipi?

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  25
  Rep Power
  0
  Likes Received
  2
  Likes Given
  0

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Huu ni mtazamo wangu. Wananchi wa Tanzania, bara na visiwani, tumetoa maoni yetu kuhusu sura ya Katiba ya nchi yetu kupitia Tume ya Marekebisho ya Katiba chini ya Jaji Warioba. Rasimu ya pili ya Katiba ni maoni ya wananchi moja kwa moja, Tume Ya Warioba imeyakusanya tu na kuyaweka kwenye maandishi. Iweje leo Bunge la Katiba lijipe mamlaka ya kufuta kabisa au kubadilisha kabisa baadhi ya vifungu kwa matakwa yao wenyewe ambayo yanaenda tofauti na matakwa ya Wananchi. Kitendo hiki kikiruhusiwa ni sawa na kuwanyan'ganya Watanzania haki ya kupata Katiba inayokidhi matakwa yao. Bunge linatakiwa kuboresha Rasimu ya Katiba, sio kupangua. Tayari mivutano ya Wabunge tumeiona inayoashiria njama za kuhujumu Katiba, Wananchi tusipokataa kuburuzwa tutaletewa Katiba yenye mtazamo wa Chama fulani cha Kisiasa. Yakitokea haya, Watanzania tujiandae kupiga kura ya HAPANA.

 3. #3
  Member activister's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Kapugi Village
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  GABACHORI chivji ANATUMIKA......................................... ......
  "A man who will not conform to the rules of his own profession is not to be trusted and, of course, should not be employed or retained"- Clemenceaus D'Abexeaus Jr.

 4. #4
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  387
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  5

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Elimu dunia haiwezi kushindana na Elimu ya Kimungu.Shivji anawakilisha elimu dunia, warioba anawakilisha Elimu ya Kimungu ambayo ni sauti ya wengi

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  157
  Rep Power
  7
  Likes Received
  11
  Likes Given
  0

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Kuna siku Shivji atajutia usaliti wake kwa Watanzania na naamini atatoka mbele ya umma kuomba radhi kwa usaliti wake, najua anachokifanya sasa hakipo kwenye dhamira yake. atalia na kusaga meno!

 6. #6
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  122
  Rep Power
  7
  Likes Received
  7
  Likes Given
  2

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Shivji ni mamuluki, kigeu geu!

 7. #7
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  maoni ya wananchi yaheshimiwe

 8. #8
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Kimsingi Shivji amejivunjia heshma yake kabisa.Ametuhangaisha sana na tuvitabu twake kumbe hata yeye alikuwa hakiamini kile anacho kiandika.Ni aibu kubwa kwa mtu wa kaliba yake .Na hii aibu itaendelea kumtafuna na kimsingi haisameheki kabisa

 9. #9
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  98
  Rep Power
  7
  Likes Received
  5
  Likes Given
  2

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Shivji kwa kweli namsikitikia sana kwa kuamua kuweka pembeni taaluma yake na kufanya ushabiki wa kiccm?

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  KAMPALA
  Posts
  188
  Rep Power
  7
  Likes Received
  3
  Likes Given
  5

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  HUYU SHIVJI NI ACADEMIC DISHONEST AS WARIOBA SAYS

  HANA LOLOTE, NAZANI PROF KABUDI ALIWEKA SAWA POSTIONI

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  May 2014
  Posts
  431
  Rep Power
  7
  Likes Received
  34
  Likes Given
  24

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Hakupaswi kuwa na mkanganyiko!

  Mtu hawezi kupata shida kujibu hili swali, wala hatuhitaji kuangalia Uprofesa wa mtu!

  Mantiki inanielekeza kukiri kwamba kweli Katiba si Msahafu kama anavyosema Prof. Shivji, kwa sababu watu wale wale wenye kumiliki Kitabu chao (Katiba) wana uwezo kubadilisha, kadri watakavyoridhiana wenyewe, kubadilisha vipande au Katiba yote! Kuendeleza hoja hii, nguvu ya bunge maalum la katiba ipo katika Mipaka ya RIDHAA YA WENYE KUIMILIKI RASIMU YA KATIBA, ambao MAONI YAO LAZIMA YAHESHIMIWE, NDIYO MSINGI WA KATIBA yenyewe!!

  Hoja ya Jaji Warioba imebebwa ktk mantiki iliyoshonwa hapo juu...MSINGI WA KATIBA, UNATOKANA NA/UMEJENGEWA JUU YA MAONI YA WANANCHI, YALIYOWEKWA KWENYE RASIMU YA KATIBA!

 12. #12
  Junior Member
  Join Date
  Sep 2014
  Posts
  11
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Kama bunge la katiba linaamua kubadili maoni ya wananchi basi hakukuwa na sababu kutumia mapesa mengi kutafuta maonia ambayo baadae yatabadilishwa kwa misingi iyo hiyo haitakuwa katiba iliyotoka na maoni ya wananchi bali ya bunge la katiba. Huo ndio ukweli

 13. #13
  Junior Member
  Join Date
  Sep 2014
  Posts
  11
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Kama bunge la katiba linaamua kubadili maoni ya wananchi basi hakukuwa na sababu kutumia mapesa mengi kutafuta maonia ambayo baadae yatabadilishwa kwa misingi iyo hiyo haitakuwa katiba iliyotoka na maoni ya wananchi bali ya bunge la katiba. Huo ndio ukweli

 14. #14
  Senior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  213
  Rep Power
  7
  Likes Received
  18
  Likes Given
  11

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  hata kama wewe ungekuwa shivji ungefanya kama anavyofanya shivji hawezi kamwe kuwanyoshea kidole watawala anadhani kwa kufanya hivyo na hasa ukizingatia asili yake hawa manyang'au hawakawii kusema sio raia kwa kiwango fulani keshaanza kuchumia tumbo kama benson prof feki

 15. #15
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  14
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Quote Originally Posted by activister View Post
  GABACHORI chivji ANATUMIKA......................................... ......
  Fanya ustaarabu usitumie majina ya kibaguzi huyo unaemtaja ana jina, hayo mambo yamepitwa na wakati dunia imekuwa mji mdogo watu hawatizami kabila au rangi ya mtu kinachotizamwa ni uraia wa mt,u tembea uone toka nje ya nchi utaona kila rangi , nyeusi, brown, nyeupe wewe taja rangi utaiona katika kila nchi.

 16. #16
  Senior Member FaizaFoxy's Avatar
  Join Date
  Dec 2014
  Posts
  171
  Rep Power
  6
  Likes Received
  26
  Likes Given
  83

  Re: Jaji warioba au Proffesor Shivji

  Mzee Warioba ajipumzikie tu, hana jipya. Alifikiri anatunga msahafu.

  Maoni ya wananchi yangekuwa ni ya mwisho kusingekuwa na Bunge Maalum la Katiba.

  Hata wakati wa Mwinyi maoni ha wananchi wengi yalikuwa kubaka chama kimoja na wananchi wengi hawakutaka vyama vingi lakini busara zikatumika ikaamuliwa kuwa na vyama vingi, nani leo hii asiyependa vyama vingi?
  Pedagogist At Heart

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •