Close

Results 1 to 3 of 3
 1. #1
  Member pcosmas70's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  SHERIA YA TANZANIA IMELEGEA

  Watanzania tumejikuta kuwa tumekuwa na katiba tangu uhuru tena baadhi ya sheria zimefanyiwa marekebisho na zingine kufutwa kabisa tangu mkoloni mpaka muungano wa Tanganyika na Zanzibar lakini mpaka sasa mtanzania anaitwa maskini JE! TATIZO LIKO WAPI? hili swali tutaweza kulijibu vyema kwa kutazama sehemu kuu tatu tupate kuyatambua mapungufu na jinsi ya kuyatatua sehemu tunazopaswa kuziangalia ni

  1. Muhusika wa sheria ambaye ni mtanzania mwenyewe
  2. Serikali na Bunge ambavyo vinahusika katika kutunga na kupitisha sheria
  3. Vyombo vya dola na mahakama ambavyo vinahusika na usimamizi na utekelezwaji wa sheria

  Nawasilisha
  KARIBU MWANA MF

 2. #2
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  38
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: SHERIA YA TANZANIA IMELEGEA

  Mh kwa swala la kipengele cha kwanza sisi wenyewe watanzania tunajiletea umasikini kwa kukosa kutambua haki na ufahamu na uelewa juu ya katiba inayotuongoza kuhusiana na mazingira yanayotuzunguka hivyo yatupasa kuifahamu katiba hasa hii rasimu mpya inayojadiliwa huko mjengoni kwa kufanya hivyo tunafahamu haki zetu

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  12
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: SHERIA YA TANZANIA IMELEGEA

  Hapo suala la ni kwamba serikali na wote wenye dhamana wameshindwa kuwafanya watanzania wajue haki na wajibu wao

  - - - Updated - - -

  Pia kwa upande mmoja ntakubaliana na ww kwa kuwa zipo sheria zinazo wanufaisha wageni mfano mambo ya Tax holiday kwa wawekezaji pia zipo sheria zinazo mkandamixa raia wa Tanzania kuanzia masuala ya ulipaji kodi ,umiliki wa ardhi and e.t.c

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •