Close

Results 1 to 4 of 4

Thread: SIASA

 1. #1
  Member pcosmas70's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  53
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  3

  SIASA

  Tunapozungumzia siasa tunalenga kukipata chombo kinachoitwa serikali ambacho huinuka kuunda mfumo wa uongozi na uendeshwaji wa rasilimali za nchi kwa faida ya mwananchi(mtanzania) na kwa maendeleo ya nchi(Tanzani)

  je wananchi wanamiliki na kupata faida kutoka katika rasilimali za nchi kupitia siasa ya Tanzania? siasa imebadilisha maisha ya mtanzania?

  NINI KIFANYIKE?

 2. #2
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: SIASA

  Tunapata faida waTz japo si kwa kiasi sahihi.
  Siasa imebadilisha maisha kwa namna wengi tusivyo penda.

  Hivyo basi kwa tathmini hii, siasa bado haija tunufaisha waTz kwa kiwango sahihi.

 3. #3
  Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  38
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: SIASA

  Mimi naona serikali ya Tz inatakiwa iwe kisiwa cha hekima chenye mawazo makubwa ya kuhakikisha kila mtanzania anafanana na Tanzania.Kumiliki rasilimali za Tanzania kwa faida ya mtanzania kwa mtu mmoja mmoja si kazi rahisi bali kwa nguvu ya umoja inawezekana hivyo serikali ya tanzania inapaswa kuwekwa madarakani na watanzania wenyewe lakini kwenye chaguzi uchakachuaji wa kura za wananchi imesababisha kuwepo kwa serikali mbovu

 4. #4
  Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  55
  Rep Power
  7
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: SIASA

  Quote Originally Posted by double D View Post
  Mimi naona serikali ya Tz inatakiwa iwe kisiwa cha hekima chenye mawazo makubwa ya kuhakikisha kila mtanzania anafanana na Tanzania.Kumiliki rasilimali za Tanzania kwa faida ya mtanzania kwa mtu mmoja mmoja si kazi rahisi bali kwa nguvu ya umoja inawezekana hivyo serikali ya tanzania inapaswa kuwekwa madarakani na watanzania wenyewe lakini kwenye chaguzi uchakachuaji wa kura za wananchi imesababisha kuwepo kwa serikali mbovu
  Tujiandae kisaikolojia kuitwa wa Tanganyika huko tutapata wanasiasa wazalendo watakao tutendea haki na wote tutanufaika lakini Tanzania patupu mpaka sasa

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •