Close

Results 1 to 2 of 2

Thread: FUNDI MAJENEZA

 1. #1
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  FUNDI MAJENEZA

  Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari yake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wanne wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.
  Askari: Unaenda wapi na hilo jeneza usiku huu?
  Jamaa: Nilikuwa nimezikwa makaburi ya Mwananyamala sasa sijapapenda ndio naelekea Kinondon aliko Kanumba nikajizike au ndugu zangu mnanishaurije? Acha maskari watimue mbio!

 2. #2
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: FUNDI MAJENEZA

  Heeee.... kwaherii
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •