Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0

  KULEA MTOTO KWELI SHIDA

  Baba mmoja alimuuliza mwanae, hivi ukiwa mkubwa utapendelea kufanya kazi gani?
  mtoto :mie napenda sana udaktari.
  Baba :kwanini?
  mtoto : kwasababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa mtu avue nguo na akavua na bado mumewe anakulipa pesa. unapouliza swali kwa mtoto tegemea jibu lolote
  .
  Last edited by Kilaza; 24-02-2014 at 09:31.

 2. #2
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  6
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: KULEA MTOTO KWELI SHIDA

  Kilaza mimi napita tu.
  At the End of your rope Tie a Knot and Hold On.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •