Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  9
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Lake Victoria Basin Commission Offices

  Wakuu salaam.

  Naombeni msaada wenu, niko mwanza nafanya utafiti na nina dodoso ambalo nataka kufanya mahojiano (interview) na watu wa LVBC katika ofisi zao za mwanza. Naombeni msaada kama kuna mtu anafahamu ofisi zao zilipo hapa mwanza iliniweze kuwafikia.

  nitashukuru sana kwa msaada wenu.

 2. #2
  Member Mchambuzi's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Precambrian
  Posts
  92
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Re: Lake Victoria Basin Commission Offices

  Weka dodoso humu tukusaidie kujibu hayo maswali.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •