Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member Cannibal OX's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Location
  Iron Galaxy
  Posts
  422
  Rep Power
  7
  Likes Received
  26
  Likes Given
  30

  Help Me.Please!!!!!!!!!!!

  Naomba msaada yoyote anayeweza ku-convert aina ya folder hasa ni za misiki zinazoishia na ( .rar ) na kuwa kwenye Window Media Player.
  Mfano wa folder husika nimeshindwa kuuweka .

 2. #2
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: Help Me.Please!!!!!!!!!!!

  Ndugu hilo folder limekiwa compressed, hivyo basi download software ya kuextract files zilizopo ndani yake. Software hiyo inaitwa Winrar, install kwenye pc yako baadae ulifungue hilo folder afu juu yake kutakuwa na button ya Extract ukiiclick mambo yatakuwa barabara kabisaa.

 3. #3
  Senior Member Cannibal OX's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Location
  Iron Galaxy
  Posts
  422
  Rep Power
  7
  Likes Received
  26
  Likes Given
  30

  Re: Help Me.Please!!!!!!!!!!!

  Kaka asante sana kwa msaada wako.
  Right now mambo barabara kabisaa.
  PeAce.

 4. #4
  Senior Member Mozila Fire Fox's Avatar
  Join Date
  Jan 2014
  Location
  Tanzania
  Posts
  731
  Rep Power
  7
  Likes Received
  4
  Likes Given
  32

  Re: Help Me.Please!!!!!!!!!!!

  Quote Originally Posted by Cannibal OX View Post
  Kaka asante sana kwa msaada wako.
  Right now mambo barabara kabisaa.
  PeAce.
  Shukran pia. Karibu tena.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •