Close

Results 1 to 4 of 4
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  WANAWAKE KENYA KUNYIMWA HAKI YA KUMILIKI MALI YA NDOA

  Bunge la Kenya limeidhinisha mswada unaowanyima wanawake haki ya kugawana nusu kwa nusu mali ya ndoa kama watatalikiana na waume zao. Mume na mke watagawana mali ya ndoa kulingana na mchango wa wote.

 2. #2
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  40
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Akili Pana View Post
  Bunge la Kenya limeidhinisha mswada unaowanyima wanawake haki ya kugawana nusu kwa nusu mali ya ndoa kama watatalikiana na waume zao. Mume na mke watagawana mali ya ndoa kulingana na mchango wa wote.
  Kenya wananifurahisha sana. safi sana

 3. #3
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  21
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  wamewaonea maana wanawake wana kazi nyingi sana ikiwemo na mambo yake ya faragha lakini mwisho wa nsiku wananyimwa haki yao

 4. 09-02-2014, 06:47

  Banned


 5. #4
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  7
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7

  Re: WANAWAKE KENYA KUNYIMWA HAKI YA KUMILIKI MALI YA NDOA

  kama ndiyo hivyo. Basi kila mtu aoshe vyombo vyake, apike cahakula chake, afue nguo zake na pawe na zamu ya kulea watoto na hakuna kupetiana ili na wanawake wapate muda wa kutafuta mali.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •