Close

Results 1 to 2 of 2
 1. #1
  Junior Member
  Join Date
  Jan 2014
  Posts
  2
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Mobile view ya Mwanahalisi forum kwenye simu

  Kwenye simu yangu napata full view ya website. Nataka kuweka mobile view ya forum. Naomba msaada wa jinsi ya kubadilisha setting. Asante.

 2. #2
  Super Moderator Masalu's Avatar
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  1,095
  Rep Power
  10
  Likes Received
  76
  Likes Given
  41

  Re: Mobile view ya Mwanahalisi forum kwenye simu

  Quote Originally Posted by Dr F. Ndugulile View Post
  Kwenye simu yangu napata full view ya website. Nataka kuweka mobile view ya forum. Naomba msaada wa jinsi ya kubadilisha setting. Asante.
  shukrani mkuu kwa kuwa pamoja ndani ya jukwaa hili, jukwaa lipo katika mchakato wa kubadili version ambayo itampa uwezo wa mtumiaji kufanya mambo yote kupitia simu yake ya mkononi na hilo litakamilika ndani ya muda mfupi sana.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •