Close

Results 1 to 11 of 11
 1. #1
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0

  Hivi ni kwanini jamani?

  Maisha yazidi kuwa magumu siku hadi siku. Viongozi wetu wamejilimbikizia mali hadi kufuru, hawatosheki kila kitu wanakomba. Yaani watanzania wenzao tumekuwa kama wakimbizi ndani ya nchi yetu, kila kitu tunalipia ushuru. Hii nchi mwenzenu imenichosha sana

 2. #2
  Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  30
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post

  Maisha yakikushinda achana nayo, fanya mambo mengine

 3. #3
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  123
  Rep Power
  6
  Likes Received
  3
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post
  Maisha yazidi kuwa magumu siku hadi siku. Viongozi wetu wamejilimbikizia mali hadi kufuru, hawatosheki kila kitu wanakomba. Yaani watanzania wenzao tumekuwa kama wakimbizi ndani ya nchi yetu, kila kitu tunalipia ushuru. Hii nchi mwenzenu imenichosha sana

  Wewe unataka kuishi bila kulipa ushuru? Anzisha nchi yako.

 4. #4
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  24
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Kaka maisha kibidubidu ipo siku yatakuwa supa usife moyo

 5. #5
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  390
  Rep Power
  6
  Likes Received
  16
  Likes Given
  7
  Wakati mwingine sitaki kuwalaumu viongozi kwa maisha tuliyonayo, upuuzi, ufisadi na ujinga wa viongozi wetu unabeba sura ya wananchi walivyo, mabadiliko huanza na mimi na wewe.

 6. #6
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  10
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  WEWE MNUKANUKA, MAMBO MENGINE NDIYO YAPI?

 7. #7
  Senior Member Kilaza's Avatar
  Join Date
  Feb 2014
  Posts
  3,033
  Rep Power
  9
  Likes Received
  8
  Likes Given
  0
  alichomaanisha mnukanuka kwamba "maisha yakikupiga chenga ww yachezee rafu"

 8. #8
  Junior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  20
  Rep Power
  0
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Mpamato View Post
  Maisha yazidi kuwa magumu siku hadi siku. Viongozi wetu wamejilimbikizia mali hadi kufuru, hawatosheki kila kitu wanakomba. Yaani watanzania wenzao tumekuwa kama wakimbizi ndani ya nchi yetu, kila kitu tunalipia ushuru. Hii nchi mwenzenu imenichosha sana
  Viongozi kama kina mwalimu hawapo siku hizi, waliopo sasa ni mafisadi watupu huku wakiacha wananchi wakizidi kuteseka kutokana na ukata wa maisha

 9. #9
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Jadidi View Post
  Wewe unataka kuishi bila kulipa ushuru? Anzisha nchi yako.
  Siwezi kubishana na mawazo ya mtu maana unavyowaza ndio Mungu kakuumba hivyo, thanx kwa maoni yako. karibu sana!

 10. #10
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Jumong View Post
  Viongozi kama kina mwalimu hawapo siku hizi, waliopo sasa ni mafisadi watupu huku wakiacha wananchi wakizidi kuteseka kutokana na ukata wa maisha
  Yaani we acha tu, watu wanatafuta uongozi kwa nguvu na mali zao zoote ili tu wawe na uwezo wa kujichuulia mali za watanzania bila vikwazo. Viongozi siku hizi ndiyo wanaongoza kwa kuvamia viwanja vya mipira na kujenga nyumba zao bila kuhojiwa na mtu. Hawaguswi hawa, nani wa kuwagusa! Inauma sana!

 11. #11
  Senior Member
  Join Date
  Dec 2013
  Posts
  139
  Rep Power
  6
  Likes Received
  0
  Likes Given
  0
  Quote Originally Posted by Chiku sei Unyu View Post
  Kaka maisha kibidubidu ipo siku yatakuwa supa usife moyo

  Ni siku gani hiyo mdau, wakati kila leo afadhali ya jana. Bei ya vitu iko juu kila kukicha, ajabu mishahara pale pale!

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •