Close

Results 1 to 1 of 1
 1. #1
  Senior Member kichondi77's Avatar
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  183
  Rep Power
  6
  Likes Received
  11
  Likes Given
  5

  Jana Balozi wa Ubelgiji Amemtembelea Tundu Lissu Hospitalini

  Jana Balozi wa Tanzania hapa Ubelgiji na Jumuiya ya Ulaya, Mheshimiwa Joseph E. Sokoine, amenitembelea katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Gasthuisberg, kwa lengo la kunijulia hali kufuatia operesheni kubwa niliyofanyiwa mapema wiki hii. .

  Balozi Sokoine aliongozana na maafisa watatu wa Ubalozi wa Tanzania mjini Brussels. .

  Hii ni mara ya pili kwa Balozi Sokoine na maafisa wake kunitembelea tangu nilipolazwa hospitalini hapa tarehe 6 Januari ya mwaka huu."

  Tundu Lissu
  Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	lissu.jpg 
Views:	139 
Size:	32.7 KB 
ID:	1706  
  You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •