Close

Results 1 to 2 of 2
Like Tree1Likes
 • 1 Post By Mapambano Yetu

Thread: Wabunge wa Ukawa wameitisha mkutano na waandishi wa habari bungeni jijini Dodoma leo

 1. #1
  Senior Member kichondi77's Avatar
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  183
  Rep Power
  5
  Likes Received
  11
  Likes Given
  5

  Wabunge wa Ukawa wameitisha mkutano na waandishi wa habari bungeni jijini Dodoma leo

  Wabunge wa Ukawa wameitisha mkutano na waandishi wa habari bungeni jijini Dodoma na kueleza kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa tena Sh. milioni 600 ikiwa ni ruzuku ya CUF upande wa Prof. Ibrahim Lipumba. Fedha zimetolewa ilhali kuna zuio la mahakama
  Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	lipumba.jpg 
Views:	14 
Size:	21.3 KB 
ID:	1705  
  You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time

 2. #2
  Junior Member
  Join Date
  Mar 2014
  Posts
  5
  Rep Power
  0
  Likes Received
  1
  Likes Given
  0

  Re: Wabunge wa Ukawa wameitisha mkutano na waandishi wa habari bungeni jijini Dodoma

  Hapo kinachoangaliwa ni ccm kwanza. Wanataka waisambaratishe CUF kabla ya 2020
  KISIKI likes this.

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •